instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,541
- 19,487
Yaan mkoa uongoze kwa mvua kwa mvua Tanzania halafu uwe na udongo mweupe hivyoView attachment 1921075
hizi ndio nyumba za watu wenye maisha bora huko Misenyi
NGARA
source:Ngarakwetu.bloguspot
Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanal Fabian Massawe amewataka wananchi wa wilaya za Ngara na Biharamulo kujenga nyumba kama hiyo
View attachment 1921082
View attachment 1921083
View attachment 1921084
Mkuu wa mkoa wa Kagera Fabian Massawe,nyuma pembeni ya askari ni Mkuu wa wilaya ya Biharamulo Lichard Mbeho
View attachment 1921085


We kwa akili yako mtu ambaye sio mhamiaji na wale wachoma Mikaa wa mistuni anaweza kukaa kwenye nyumba Kama hiyo?



