Funza ni mdudu hatari sana kwa ubongo, kwa taarifa yako California hukusanya zaidi ya New York, lakini New York ni
New York na California has nothing to do with Umaskini lake zone.Funza ni mdudu hatari sana kwa ubongo, kwa taarifa yako California hukusanya zaidi ya New York, lakini New York nikuliko California. Siku zote kodi kandamizi kama za hapa bongo hukusanywa kwa mandezi kama ya kusini huko. Huku town hesabu zinachezewa tu na ndo maana watu wanapiga vitu vya maana huku huko mkiendelea kutafunwa na funza tu.
Umasikini wako ni wako binafsi sie hautuhusu we komaa kimpango wako na mafunza yako, tafuta pesa uukatae ujikomboe kwenye ufukara na kuliwa funza miguuni.New York na California has nothing to do with Umaskini lake zone.
Njombe hotes,the paradise on the Earth..Tunachakaza wazee wa new York na California
View attachment 1883244
View attachment 1883245
View attachment 1883246
View attachment 1883247
View attachment 1883248
View attachment 1883249
View attachment 1883250
View attachment 1883251
View attachment 1883252
View attachment 1883253
Hiyo mlichepusha baada ya kupewa mamlaka Kama mlivyojitanga Kahama Municipal Council bila kua na vigezo.😂😂😂Pesa zinaenda hazina, na katika mikoa inayofaidi pesa za hazina ni pamoja na kanda ya ziwa, serikali haijawahi kututenga kama ilivyoitenga kusini, na ndo maana Rais juzijuzi tu kazindua ujenzi wa SGR kanda ya ziwa kwanza kabla ya kusini make kipaumbele cha nchi hii ni pwani na kanda ya ziwa kwanza afu wengine ndo wanafuata, na wa mwisho kabisa ni kusini.
Kikwete je alivyotangaza ilemela manicipal ndani ya jiji la Mwanza! Unasemaje?Hiyo mlichepusha baada ya kupewa mamlaka Kama mlivyojitanga Kahama Municipal Council bila kua na vigezo.
Ni bakora na sindano tuu 💉💉💉Umasikini wako ni wako binafsi sie hautuhusu we komaa kimpango wako na mafunza yako, tafuta pesa uukatae ujikomboe kwenye ufukara na kuliwa funza miguuni.
This time kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake.Kikwete je alivyotangaza ilemela manicipal ndani ya jiji la Mwanza! Unasemaje?
Kijiji uchwara hakina hata vigezo mwendazake wao akafanya haraka kuandaa mkataba wa kwao Ili mradi usipigwe chini.Hiyo mlichepusha baada ya kupewa mamlaka Kama mlivyojitanga Kahama Municipal Council bila kua na vigezo.😂😂😂
Endelea kutiririka na guest house, make hakuna hotel vijijini
Saizi natiririka kwa staili hii hapa 👇👇😆😆😆😆Endelea kutiririka na guest house, make hakuna hotel vijijini
Na ndo maana pwani na kanda ya ziwa wenye kamba ndefu ndo wanafaidi mema ya nchi, kusini endeleeni kusubiri tutakuwa tunawafikiria kidogokidogo make hamna msaada wowote mliotoa nchi hii, Mwana kanda ya ziwa hayati Mwalimu Nyerere ndo baba wa taifa hili ndo alileta uhuru wakati huo wanakusini mko busy mnatoleana funza tuThis time kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake.
We mshamba wa kisukuma acha kubwabwaja wishful thinking,gazeti reeefu afu pumba tupu.Na ndo maana pwani na kanda ya ziwa wenye kamba ndefu ndo wanafaidi mema ya nchi, kusini endeleeni kusubiri tutakuwa tunawafikiria kidogokidogo make hamna msaada wowote mliotoa nchi hii, Mwana kanda ya ziwa hayati Mwalimu Nyerere ndo baba wa taifa hili ndo alileta uhuru wakati huo wanakusini mko busy mnatoleana funza tu, na bila baba wa taifa mwanakanda ya ziwa J. K Nyerere hata reli mngekuwa mnaionea kwenye tv tu, na mjue hatukujenga reli kwa ajili yenu bali tulijenga kwa ajili ya kufanya biashara na Zambia na ndo maana tulishirikiana nao, na mapato yanayopatikana tunajenga kanda ya ziwa na pwani kwanza afu wengine ndo tunawafikiria kidogo ila kusini tunawaweka mwisho kabisa.
Hao Serikali wenyewe ni masikini, na juzi wamepokea chanjo za msaada kutoka kwa matajiri. Masikini anaweza kusema jambo la maana!Saizi natiririka kwa staili hii hapa
View attachment 1883307
View attachment 1883308
View attachment 1883309
We pimbi kweli, yaani nitoke Mwanza kwenye huduma bora za afya nije nitibiwe huko polini?! Hapo ikonda nilienda kumcheki sister yangu tu ni daktari hapo, na kwa taarifa yako huko kusini ni kwetu pia upande wa mother, mie mwenyewe nimezaliwa Mbeya na huko kusini nakujaga sana tu na nisingekuwa nimeshaandika shit kuhusu serikali humu ningeweka picha mbalimbali nikiwa mbeya, songea, Tunduma, Sumbawanga, mbinga, Nyasa, Ikonda, namtumbo, nk. 80% ya ndugu zangu upande wa mama wako kusini, na Kuna ndugu zangu wengi tu upande wa baba wako mbeya na mmoja ni mchungaji maarufu tu hapo mbeya mitaa ya Sae. Haiwezi kupita miaka miwili sijaja huko polini nyumbani kwao Mama.We mshamba wa kisukuma acha kubwabwaja wishful thinking,gazeti reeefu afu pumba tupu.
Juzi si umetoka kwenu kuja kufuata matibabu Consolata Hospital Ikonda kwa nini hukuenda Bukwimba?
Nakutajia hospital nyingine ya ukweli inaitwa Igogo iko Tukuyu,ukishindwa hiyo nenda Peramiho..
Kusini kumesahaulika eti? Mimi ni vitendo tuu sio maneno,Mikeka(lami) hii hapa inazidi kutandazwa kuanzia mwaka huu 2021
View attachment 1883324
View attachment 1883325
View attachment 1883326
View attachment 1883327
View attachment 1883328
View attachment 1883329
View attachment 1883330
View attachment 1883331
View attachment 1883332
Somewhere in Sumbawanga/Rukwa kiboko ya Bukoba.
View attachment 1882656
View attachment 1882657
View attachment 1882658
Tuseme ukweli huko unakopost ni pabaya.Pesa ndio nguvu yetu
Kiboko ya Bukoba/Kagera ni Sumbawanga/Rukwa.
Just Heath centre sio Hospital
View attachment 1882649
View attachment 1882650
View attachment 1882651
View attachment 1882652
View attachment 1882653
View attachment 1882654
View attachment 1882655
Migodi mingine mikubwa on pipeline kujengwa Kusini,this time around ni Mkoa wa Mbeya will have a nioubium mining
View attachment 1883152
View attachment 1883153
Nyumba kali tunaachaje kuwa nazo ikiwa tunapata pesa? Sema hivi hiyo Kazi ya kuingia mitaani kupiga picha ni hobby za watu wenye blogs za picha.
Ila baadhi yake ni kama hizi ,Swax moja
View attachment 1882889
View attachment 1882890
View attachment 1882891
View attachment 1882892
View attachment 1882893
View attachment 1882894
View attachment 1882895
View attachment 1882896
View attachment 1882897
View attachment 1882898
View attachment 1882899
View attachment 1882900
View attachment 1882901
Hio sumbawanga yako unayopost asilimia 60 haina lami.Ukipata barabara za mitaani zenye mkeka kama huu hapa Bukoba nzima nitag.Swax
View attachment 1882930
View attachment 1882931
View attachment 1882932
Tuseme ukweli huko unakopost ni pabaya.
Halafu Kuna vumbi sana
Hakuna kama Kanda ya ziwa, Njombe imechakazwa na
Ilemela
Kahama
Geita
Na muda sio mrefu ( Kabla Samia hajaenda kula pension yake) tutaanzisha Uzi wa Sengerema Vs Njombe
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app