Kahama VS Njombe/Mafinga

Wa kwanza na wa pili Ni mkoa gani?
 
nasikia wakinga wanatawala sana kariakoo.kumbe Njombe anasupply mbao hadi Sudan?
 
Halafu parachichi unayozungumzia njombe ambayo ilianzia tukuyu hadi ushirika na viwanda vikajengwa Rungwe, maana pale njombe ile ni raw material mnazalisha na impact yake ni ndogo na ndio maana bei za miaka ile ilikua juu kuliko wakati huu
viwanda gani vimejengwa Rungwe?
 
Sasas kwa upuuzi wako hukumbuki Magu alisema ilala iwe ndio Dar CC? Source hii hapa πŸ‘‡
 

Attachments

Sasa kwa upuuzi wako hukumbuki kipindi Magu anasema alitolea mfano wa jiji la Mwanza ambapo Nyamagana ndo City Council. Lakini umeshindwa kuonyesha Mwanza CC ni Nyamagana lakini umeweza kuonyesha Dar CC ni Ilala
Aaaaahhh umepiga kwenye mshono
 
Kwanza pole Sana kwa kuugua/kuuguza hapo hospital ya Mt.Emaculate Ikonda.Hospital za govt zingekiwa na landscape nzuri na huduma bora kama hapo usingesikia kelele.

Afu shukuru umekuta mkeka uko poa,miaka 2 ijayo utaweza kufika Mbeya via Makete kwenye mkeka ,kwa sasa mkeka unaishia Makete mjini.

Fimbo gani unaisemea ndugu just kwa kupita tuu njiani? It is a matter of fact kwamba Mafinga imekua Sana kwa sasa na ni kweli ni kubwa na imeendelea kuliko Makambako.

Ila kwa Njombe hapana,nyie mnapita road tuu na kukutana na old town ya Njombe mnaishia kusema ni Mji mdogo.Jiografia ya Njombe ni milima na mabonde na ina nuclear settlement pattern unlike Mafinga ambayo ni linear settlement hivyo rahisi kuonekana.

Kingine Njombe is green all over is like makazi yamejificha ndani ya misitu kwa hiyo unaweza usielewe.Personally nafurahia Sana mandhari ya Njombe.

Lakini jambo kubwa na la muhimu ni wewe kukubali kwamba Miji yetu ya Kusini imeendelea kuliko ya huko kwenu πŸ˜ƒπŸ˜ƒ na kwamba govt inazidi kuifungua kwa miundombinu.
 
Lakini jambo kubwa na la muhimu ni wewe kukubali kwamba Miji yetu ya Kusini imeendelea kuliko ya huko kwenu
na kwamba govt inazidi kuifungua kwa miundombinu.

Miji ya kanda ziwa ni habari nyingine huwezi linganisha na kusini, hata kama kwa msaada wa serikali, serikali inawekeza zaidi miundombinu kanda ya ziwa kuliko huko kusini kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…