Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Akiwa Town council kambuluza Shy vizuri tu na Dunia inajua, Sasa ni level moja Municipal na bado ana potential ya kutengeneza mapato zaidi ya hiyo Shy kwa nini serikali ishindwe kuwekeza zaidi Kahama kuliko huko Shy ili iweze kuvuna zaidi?

Kahama gari limewakaaa
Serikali iko Shinyanga, jibu rahisi kabisa! Kwa hiyo vipaumbele vinakua pale ilipo serikali.
 
Masoko yote mapya yanashida sababu inajulikana sera ya uuzaji holela wa bidhaa ndio sababu,watu wametapakaa mtaani na bidhaa ambako hawalipi ushuru na wanauza popote,tatizo liko nchi nzima nenda Morogoro tatizo,Dodoma tatizo,Bado kutakua na shida kisutu,Magomeni pia.Hivyo kukosekana wateja ndio sababu ya masoko kuyumba.Serikali isipofumba macho masoko yatageuka magofu
Hali hiyo iko pale Dodoma, Mtwara, Moro na mfano wa zamani ni Machinga Complex DSM
 
Hata kwa makambako mpango wao wa kujenga stendi kipagamo naona hauko sawa Basi nyingi zinapita tuu itabidi waiboleshe iii ya Sasa afuu ni Ina eneo kubwa lakutosha iyo pesa kwajili ya stendi ya kipagamo wajenge barabara za kwenda vijijini kwa kiwango Cha lamii itasaidia sanaaaa
Mmmh, yaani hela ya Stendi ijenge barabara ya kwenda vijijini? Stendi kama ni billion 4, barabara ni kama kilometa 3, utafika kijiji kipi mdau kwa umbali huo?
 
Kuna nini cha ajabu hapo Dom kupashinda Mbeya.

1.Mbeya ina fursa za kiuchumi kushinda Dom.
2.Population ya Mbeya kubwa kushinda Dom.
3.Kibiashara Mbeya iko hot kuliko Dom
4.Mji wa Mbeya ni mkubwa na mzuri kushinda Dom.
5.Hali ya hewa Mbeya iko safi kuliko Dom.
6.Miundombinu ndo usiseme
Duh ahsante kwa kunichekesha hiv kwel ,vumb la mbeya ulifananishe na Dom? hahah 😆
 
Mmmh, yaani hela ya Stendi ijenge barabara ya kwenda vijijini? Stendi kama ni billion 4, barabara ni kama kilometa 3, utafika kijiji kipi mdau kwa umbali huo?
Kwa Viwango vya Tarura hapo n km 8 za lami ,hii ina tija kuliko huo upuuzi wa stand ambayo hakuna hata gari moja la mikoani linalala
 
Njombe TC tunazidi kukimbiza kama kawaida yetu..

Na mwaka huu wa 2020/21 kwa mara ya kwanza tumeizidi manispaa uchwara ya Kahama kwa mapato

Njombe TC 7.50bln Kahama 7.98bln .Njombe ni 🔥🔥🔥🔥

Screenshot_20210730-053105.png
 
Wewe bure wa head..kwani Kahama na Njombe ziko level moja..?Kahama ni MC Njombe ni TC

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hivi sizungumzii level na hata kama ni ishu ya level ni aibu kwa inayojiita Manispaa kuzidiwa na isiyo Manispaa.

Pili miaka mingi Kahama imekuwa ikiizidi Njombe kimapato toka wakiwa kundi moja lakini mwaka huu tumepindua meza.

This makes sense kwamba Njombe TC ni more developed na heavy weight kuliko hicho kijiji cha Wachuuzi.

Namba hazidanganyi,iko hivi 2020/21

Kahama MC target ~6.88bln =100%
Actual Revenues. = 109%
6.88bln X109%/100%= 7.49bln

Njombe TC target~6.70bln=100%
Actual Revenues. = 131%
6.7bln X131%/100% = 8.7bln

Muwe na heshima kwa Njombe sasa,na next year we gonna hit 10 bln ..Tukiwaambia huko kumejaa Wachuuzi wa mitumba na maskini muwe mnaelewa sasa.
 
Kupambanisha Kahama na Njombe ni sawa sawa na kulimbiza Jet kwa mguu..TUnaongelea MC sasawasa na mwanafunzi wa primary akiongoza anajiona mjanja zaidi ya mwanafunzi wa form6 aliyeongoza..huo ni upuuzi na kukosa hekima.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupambanisha Kahama na Njombe ni sawa sawa na kulimbiza Jet kwa mguu..TUnaongelea MC sasawasa na mwanafunzi wa primary akiongoza anajiona mjanja zaidi ya mwanafunzi wa form6 aliyeongoza..huo ni upuuzi na kukosa hekima.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Lindi na Mpanda na Sumbawanga zote ni MC lakini ni miji ya kichovu na maskini.Hizo MC zenu zimejaza maskini mjini hakuna cha maana wanafanya.

Njombe hakuna wachovu huku tumejaa wachapakazi ndio maana unaona tunawakimbiza kimapato nyie MC wachovu
 
MC lakini inaongoza katika MC..hiyo TC kama imejaza matajiri..mbona bado haijafika levo za MC so usiwabeze lindi na MC nyingine..endeleeni kulima miti mbao tunazihitaji sana..ila huwezi shindana na wachimba dhahabu kwa pesa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MC lakini inaongoza katika MC..hiyo TC kama imejaza matajiri..mbona bado haijafika levo za MC so usiwabeze lindi na MC nyingine..endeleeni kulima miti mbao tunazihitaji sana..ila huwezi shindana na wachimba dhahabu kwa pesa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni procedures tu zinasubiliwa,MC ya Kahama haikutangazwa Rasmi kwa procedure ila Mwendazake fulani alitamka tuu ikawa MC .

Kwa hiyo kuwa mpole baada ya sensa next year itatangazwa rasmi pamoja na Geita na Mbozi
 
Msubirie Geita na Kibaha TC ndio zipo kwenye pipeline
 
Back
Top Bottom