Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Ilemela ikianza kuvuna mzigo wa refiner itakuwa level za akina Kinondoni

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Yaa kwa pesa niliosikia ni Kati ya 20-35 bln annually,hii pesa ni ndefu Sana.

Pesa za migodi ndio zinawabeba hata Geita na Kahama.Mtakuwa mbele Sana lakini haita akisi Hali ya maisha ya watu maana hayo yatakuwa ni mapato ya corporate na sio kutoka kwenye shughuli za kawaida za wananchi.

Ila kwa kuwa zitakuwa spent kwenye Halmashauri husika itasisimua mzunguko wa pesa kwenye hiyo Halmashauri
 
Ndio maana waliachia stand ya Nyamhongolo iende Halmashauri mpya ya Kisesa walijua mzigo unakuja tu

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni kiazi tu

Sekou Toure ni Hospital ya Mkoa mzima wa Mwanza. Kahama ni Mkoa????

Yaaani ndio ujue Kahama ni Level nyingine ingekuwa ni Makao makuu ya Mkoa usinge leta hoja ya kipuuzi hivi.

Mbali na hapo huduma za Afya Kahama Bado ni za uhakika kutoka kwenye hospital za binafsi Kama Aga Khan, BAKWATA na Marie stoppers na hata zile za serikali.

Hospital ya Wilaya Kahama unaweza weka group moja na Hospital ya Nyamagana Kona ya Butimba au Hospital ya Ilemela kule Kabusungu.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Agakan hospital iko moja DSM nyingine huwa ni health centres,Marie stopes hawana hospital ila Wana health centre.Kama ndio hizo mlizo nazo basi Kuna kazi kubwa.
 
Mwanza kuna Agakhan hosp mbili tena sio health centre mkuu.
 
Agakan hospital iko moja DSM nyingine huwa ni health centres,Marie stopes hawana hospital ila Wana health centre.Kama ndio hizo mlizo nazo basi Kuna kazi kubwa.
Wewe hata Mwanza huijui. Aghakhani walijenga hospital Bugando hills. Wewe unakariri ile ya zamani pole sana.
 
Wakati na kuchafua Uzi ,Njombe TC tunazidi kuchanja mbuga kwa maendeleo kwenye sekta za jamii kama hivi 👇👇

Screenshot_20210628-144650.png

Screenshot_20210628-144928.png

Screenshot_20210628-144901.png

Screenshot_20210622-072320.png
 
Kama hiyo ndo njombe Basi bado sana aisee.kahama mnaionea bure. Kahama imepiga hatua Sana
sio kama ni njombe yote kuna eneo kubwa halionekani ktokana na location ya cameraman mkuu.Njombe ni kubwa kutokana geographia yake huwezi iona yote ndio maana kuna mahotel,NJOMBE town offices,ofisi za mkuu wa mkuu wa mkoa juwezi ziona hapo. Njombe sio tambarale kama ukanda wa kahama it is a mountainous town
 
Hebu leta picha za town centre ya njombe
 
Back
Top Bottom