Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Sasa kuna nini cha maana kwenye hivyo vijiji? Hivi Kahama inaweza lingana kimiundombinu hata na Sumbawanga?

Afadhari Geita,Shinyanga walipata mradi wa ULGSP,Sasa vijiji vya Bukoba,Bariadi,Tarime,Katoro,Sirari na Sengerema haviwezi hata kusogelea Tunduma kwa kila kitu.
Kijiji kikubwa ni Mbeya, hata mkuu wake wa mkoa wa kipindi hicho alipata kusema 'mbeya ni Kijiji kikubwa' Sie Ni nani tubishane na mkuu wa kaya husika!
 
Hiki kijiji hata kwa Swax hakifikii japo kimejitahidi
Kijana huu mji ndo wa kulinganisha na bukoba kweli?

Wamejengewa hizo barabara sijui dual ndo mnaona maendeleo?

Kama hujui nyuma ya mwanza bukoba ndo inafuata kwa miundombinu na majengo Kanda ya ziwa

Bukoba hakuna mtaa ambao hauna barabara ya lami na Wala hawajawahi pata hiyo miradi

Bukoba Kuna airport kubwa,nzr ( jengo la abiria linazidi Hadi la mwanza) na iko busy na inapokea abiria 60000 kwa mwaka. Na ipo top five nchini. Atcl route ya dar mwanza bukoba ndo inawalipa Sana kwa route za ndani .

Bukoba Kuna uwanja mzr Sana wa michezo wenye nyasi bandia kaitaba stadium

Bukoba kuna bandari kubwa mbili bukoba custom na kemondo zote zinapokea kila siku meli kubwa Kama Victoria. Bandari ya bukoba ndo ya pili baada ya mwanza Kanda ya ziwa.

Umeme,maji na mawasiliano kwa bukoba sio chida. Umeme unatumika wa Uganda.

Mji huu wa sumbawanga ndo wa kulinganisha na bukoba kweli?

images%20(3).jpg
images%20(2).jpg
 
Karibuni kwenye mada.

Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.

Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji?

"Money is numbers and numbers never end. If it takes money to be happy, your search for happiness will never end."
~ Bob Marley.
 
Pesa ipo Nyanda za kusini kwa Sasa hivyo maendeleo yapo Nyanda za juu kusini kwa Sasa.Bukoba ilikua inategemea Sana kahawa ambayo soko linacheza cheza tofauti na Nyanda za juu kusini Kuna vitu vingi Sana vya kuongeza mzunguko.Madini,kilimo,usafirishaji asilimia 70 ya mizigo inayoenda nje hupita Nyanda za juu kusini.
 
Ukitaka kujua tofauti ya Nyanda za juu kusini na Kanda ya Ziwa basi Anza Safari ya Dar-Njombe-Mbeya au Ruvuma na Anza Safari ya Dar-Dodoma-Shinyanga- Mwanza au to bukoba makazi ya Kanda ya Ziwa bado ni duni Sana japo wengine Wana ng'ombe nyingi lakini haziwasaidii.Kanda ya Ziwa hadi leo jamii nyingi haziwezi kuongea kiswahili inabidi uwe na mkalimani.😂😂😂
 
Pesa ipo Nyanda za kusini kwa Sasa hivyo maendeleo yapo Nyanda za juu kusini kwa Sasa.Bukoba ilikua inategemea Sana kahawa ambayo soko linacheza cheza tofauti na Nyanda za juu kusini Kuna vitu vingi Sana vya kuongeza mzunguko.Madini,kilimo,usafirishaji asilimia 70 ya mizigo inayoenda nje hupita Nyanda za juu kusini.
Hujui kitu, hizo Kahawa huko Kusini hazipo?
 
Ukitaka kujua tofauti ya Nyanda za juu kusini na Kanda ya Ziwa basi Anza Safari ya Dar-Njombe-Mbeya au Ruvuma na Anza Safari ya Dar-Dodoma-Shinyanga- Mwanza au to bukoba makazi ya Kanda ya Ziwa bado ni duni Sana japo wengine Wana ng'ombe nyingi lakini haziwasaidii.Kanda ya Ziwa hadi leo jamii nyingi haziwezi kuongea kiswahili inabidi uwe na mkalimani.
Safari hizo mie huwa nafanya sana, kwa kweli kusini bado sana, kwanza wakisikia umetoka kanda ya ziwa wanakushangaa wanaona unafaiiidi! Wanakuuliza habari za akina brother K waigizaji wa Futuhi, habari za watangazaji wa RFA, Star Tv na kiss FM kama nimewaacha wazima afu nikirudi nikawasalimie, Last time nilisafiri Makambako to Mwanza nilikuwa nimekaa na Mama mmoja wa Mbeya akawa anasema 'huku kwenu ni pazuri sana, tulikuwa tunapaona kwenye TV kwenye msiba wa Magufuli', nami nikamuambia sasa unajionea live enjoy yourself na kesho yake nikamtembeza maeneo ya Rocky City.
 
Mtu asiyekujua huko Kanda ya Ziwa anaweza dhani kwamba unaongea cha maana kumbe kumbe huko ndio kuna Nuka umaskini wa kila aina
 
Mtu asiyekujua huko Kanda ya Ziwa anaweza dhani kwamba unaongea cha maana kumbe kumbe huko ndio kuna Nuka umaskini wa kila aina
We jamaa ni maskini sana ndo maana unazungumziaga umasikini tu ukidhani kila mtu ni maskini kama wewe.
Kusini na kigoma ni sehemu iliyosahaulika kwa sababu sio muhimu sana kwa nchi hii.
 
Hujui kitu, hizo Kahawa huko Kusini hazipo?
Wilaya kama Sengerema ni mfano tuu wa Wilaya maskini za kutupwa,ina watu Zaidi ya 600,000 lakini umewahi isikia popote kwenye kuchangia uchumi kama Wilaya za Nyanda za Juu?

Hiyo Kanda ukiwa na akili timamu huwezi ishi
 
We jamaa ni maskini sana ndo maana unazungumziaga umasikini tu ukidhani kila mtu ni maskini kama wewe.
Mada hii haizungumzii maisha ya individual bali maisha ya whole society.

Suala la mimi kuwa maskini halikuhusu,Nasisitiza huko kwenu kunanuka umaskini wa kutisha,sehemu kama Sengerema,Ukerewe,Ngudu kuna nini cha maana kuzidi Wilaya kama Busokelo?
 
Kwa Takwimu hizi,huwa najiuliza sgr inajengwa kuelekea Mwanza kwa ajili ya nini? 👇👇

Screenshot_20210803-232541.png
 
Mada hii haizungumzii maisha ya individual bali maisha ya whole society
Kusini ndo maskani ya umasikini serikali yenyewe ishakusahau, ndo maana toka rais aingie madarakani keshatembelea kanda ya ziwa mara mbili wakati kusini bado hajawahi hata kufikiria kwenda. Ni kusini matakoni mwa Tanzania mtu akiajiriwa akapangiwa kusini analia, wengine wanaacha kazi.
 
Kwa Takwimu hizi,huwa najiuliza sgr inajengwa kuelekea Mwanza kwa ajili ya nini?

View attachment 1879432
Mizigo ya kanda ya ziwa tu Mwanza, Kagera, Mara, Simiyu, Shinyanga, Geita pamoja na mizigo ya Rwanda na Uganda ni zaidi ya mizigo ya Burundi, Malawi Zambia na Congo kwa pamoja
Na kumbuka tunajenga sgr kwa ajili yetu sio kwa ajili ya majirani
 
Mada hii haizungumzii maisha ya individual bali maisha ya whole society.

Suala la mimi kuwa maskini halikuhusu,Nasisitiza huko kwenu kunanuka umaskini wa kutisha,sehemu kama Sengerema,Ukerewe,Ngudu kuna nini cha maana kuzidi Wilaya kama Busokelo?
Kwani makete, namtumbo, mbambabay, Makambako, nk kuna nini zaidi ya ufukara uliotopea, kama umaskini wako haunihusu wewe umaskini wa watu wengine unakuhusu nini?!
 
Mtu asiyekujua huko Kanda ya Ziwa anaweza dhani kwamba unaongea cha maana kumbe kumbe huko ndio kuna Nuka umaskini wa kila aina
Wewe Mwenyewe huijui kanda ya ziwa ndo maana unaona hivyo vijiji vya kusini matakoni wa Tanzania ni miji wakati hata kiongozi wenu alikiri hilo mnaloliona kwenu ni jiji kumbe sio jiji, Ni Kijiji kikuuubwa!
 
Kuna nini cha maana huko zaidi ya umaskini wa kutopea?
 
Kwani makete, namtumbo, mbambabay, Makambako, nk kuna nini zaidi ya ufukara uliotopea, kama umaskini wako haunihusu wewe umaskini wa watu wengine unakuhusu nini?!
Makete huwezi linganisha na ufukara wa huko kwenu pimbi wewe,Takwimu gani uliwahi sikia zinasema Makete ni maskini?

Hujui kwamba Wilaya ya Mbinga pamoja na Nyasa ni Kati ya Wilaya zenye maendeleo nchi hii? Unadhani ni Misungwi kule?

Makambako ni Mji mkubwa tena wenye viwanda na biashara sio sawa na Vijiji vyenu hivyo vya Karagwe sijui Katoro na upuuzi mwingine kama huo.

Maskini wa kanda ya ziwa ndio wanasababisha hii nchi inaonekana LDC kwa coz zaidi ya kuzaana hovyo hakuna kingine cha maana mnafanya nyie
 
Back
Top Bottom