Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Zaidi ya kuwekeza hapo Mwanza kuna sehemu gani kwingine kuna miundombinu? Miji ya huko ni ya kichovu Sana.Miji ya kanda ziwa ni habari nyingine huwezi linganisha na kusini, hata kama kwa msaada wa serikali, serikali inawekeza zaidi miundombinu kanda ya ziwa kuliko huko kusini kwenu.

