Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,157
- 6,163
Maji Kuna Kauwasa (Yaani hakuna maji ya visima) ule mradi wa Lake Victoria ulioasisiwa na Edward Lowasa ilikuwa ni kuleta maji Kahama ambao umewafaidisha kidogo Shinyanga DC, Misungwi ndio wanakumbukwa Sasa na Mama atazindua kesho mradi wao wa maji)
Afya - Aga Khan / Marie Stoper na bado hivi karibuni nitawaletea picha ya jengo jipya la Hospital ya wilaya aliyozindua JPM
Shule / Vyuo - Anderlek / Kwema modern / Rocken Hill ambazo zimekuwa zikifanya vizuri kwenye matokeo mbali mbali ya mitihani ya kuhitimu nchin. Mbali na Vyuo vya serikali Kuna chuo cha Afya cha binafsi Kahama College of health and Allied Science bado Open Univery of Tanzania wana branch Kahama
Barabara ndio tumeanza yaaani mpaka muite maji mmaaaa, Sina haja ya kuzungumzia hili