Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

View attachment 1823017wale wa njombe nn shida apoo soko la Bei mbaya afuu wateja Hamna na wafanyabiashara wanazulula njee hawataki kulitumiaa mnafeli wapppp?
Masoko yote mapya yanashida sababu inajulikana sera ya uuzaji holela wa bidhaa ndio sababu,watu wametapakaa mtaani na bidhaa ambako hawalipi ushuru na wanauza popote,tatizo liko nchi nzima nenda Morogoro tatizo,Dodoma tatizo,Bado kutakua na shida kisutu,Magomeni pia.Hivyo kukosekana wateja ndio sababu ya masoko kuyumba.Serikali isipofumba macho masoko yatageuka magofu
 
Iyoo ndo changamoto ya masoko mengi apoo itabidi serikali ichukue Kodi kidogo Sana ili kuwashawishi waludi ndani soko la njombe liko poa halijaenda Sana juu tofauti na kisutu na machinga complex ayoo ni vigumu kuwashawishi wafanyabiashara watumie mfano Nani umpandishe floo ya5 au ya nne hayako poa ilaa kwa njombe halmashauri ikijipanga watu watajaa sokoni au waweke kituo Cha daladala au bajaji kalibu na sokoo apoo watashinda tuuu
 
Waachane na biashara kichaa ya kutumia pesa ya mwananchi eti kujenga soko la mabilioni sawa tuu na kujenga mastendi ya magorofa ni hasara tupu kuliko tija.

Mtu anaepokea salary ya serikali hawezi kubuni biashara yenye tija la sivyo hayo majengo yawe huduma.

Ndio maana kishimba wa Kahama kawauliza huko Bungeni wanaosoma CBE na wamachinga wapi wanaishia kuwa wafanyabiashara au wabunifu wa biashara?
 
Stendi za gorofa apoo wanazingua tunatumia pesa nyingi Kati stendi ni kuweka vigai chini na majengo ya abilia na kukatisha tiketi yaan izo pesa wangetumia kujenga barabara at least ingesaidia kuliko kujenga masoko ambayo hayatumikiii
 
Kujenga soko ni kitu kizuri tatizo linakuja tunapotaka sifa za machinga au wafanyabiashara,huwezi Jenga soko hapo hapo ukasema watu wawe huru kuuza wanapotaka kwaniv hii ni ishara wa watu wasiopenda kua na mpangilio ila wangeweza kutumia mfumo wa mlimani city kwa masoko ya kawaida.Ubunifu unahitajika kusaidia haya masoko aisee.
 
Kujenga soko sio shida. Tatizo unalijenga wap? Ni Kama kwenye kujenga appartment au nyimba za kupanga.inategemea umejenga wap.

Kuna miji bongo inaachwa tu Wala haiko kwenye bajeti ya serikali kwa sababu ya siasa.

Mfano mji wa kibaha una stendi nzuri na kubwa lakin Haina magari ya kulala ni kupita tu. Sasa walishindwa Nini kuweko stendi ndogo Kama ya pale Morocco dar magari yakawa yanapita tu na kutoa ushuru?
Lakin njoo kwenye mji letsay bukoba stendi ya mabasi magari yanajaa mpaka wanashushia njia na ni manispaa kubwa tu kuliko hata kibaha lakin Kila mwaka huambiwa wanachagua upinzani na wanajichelewesha wenyew.
 
Stendi za gorofa apoo wanazingua tunatumia pesa nyingi Kati stendi ni kuweka vigai chini na majengo ya abilia na kukatisha tiketi yaan izo pesa wangetumia kujenga barabara at least ingesaidia kuliko kujenga masoko ambayo hayatumikiii
Huwa wananiboa Sana,hivi stendi kama ya Kibaha au Simu 2000 au Korogwe ina shida gani?

Kwa nini kupoteza mabilioni eti kujenga mastendi ya ghorofa kama Msamvu,Iringa, Sumbawanga, Magufuli ya Kazi gani? Wanapoteza kodi za watu,hii miradi uchwara ni sawa tuu na hiyo ya kujenga masoko makubwa ya ghorofa.

Machinga complex,mwanjelwa market,Njombe nk yote hayo yako tuu hayana tija kwa watu
 
Kujenga soko ni kitu kizuri tatizo linakuja tunapotaka sifa za machinga au wafanyabiashara,huwezi Jenga soko hapo hapo ukasema watu wawe huru kuuza wanapotaka kwaniv hii ni ishara wa watu wasiopenda kua na mpangilio ila wangeweza kutumia mfumo wa mlimani city kwa masoko ya kawaida.Ubunifu unahitajika kusaidia haya masoko aisee.
Ndo icho mkuu serikali inajenga soko kwa ajili ya machinga lakini wanajenga la hadhi ya juu tofauti na la wamachinga Kati wa machinga inatakiwa wawasaidie maswala ya umeme na bati kwajili ya kujikinga na mvua
 
Huwa wananiboa Sana,hivi stendi kama ya Kibaha au Simu 2000 au Korogwe ina shida gani?

Kwa nini kupoteza mabilioni eti kujenga mastendi ya ghorofa kama Msamvu,Iringa, Sumbawanga, Magufuli ya Kazi gani? Wanapoteza kodi za watu,hii miradi uchwara ni sawa tuu na hiyo ya kujenga masoko makubwa ya ghorofa.

Machinga complex,mwanjelwa market,Njombe nk yote hayo yako tuu hayana tija kwa watu
Hata kwa makambako mpango wao wa kujenga stendi kipagamo naona hauko sawa Basi nyingi zinapita tuu itabidi waiboleshe iii ya Sasa afuu ni Ina eneo kubwa lakutosha iyo pesa kwajili ya stendi ya kipagamo wajenge barabara za kwenda vijijini kwa kiwango Cha lamii itasaidia sanaaaa
 
Kahama imewazidi mbali huwezi linganisha na mapori hayo usipanic relax tukupe dozi inaoneka na makambako ulikuwa huijui kuwa imesha wapiga gap
Imetuzidi mbali au sio?

Screenshot_20210621-044138.png

Screenshot_20210621-044257.png
 
Bulyanhulu na Buzwagi ina ajiri zaidi ya watu 4000, ni kipi Njombe kinaweza kutoa ajira za moja kwa moja kama hiyo migodi?!
images%20(47).jpeg
images%20(38).jpeg
Screenshot_20210621_225935_com.android.chrome.jpeg
Screenshot_20210621_225647_com.android.chrome.jpeg
images%20(41).jpeg
images%20(43).jpeg
 
Attachments

  • Screenshot_20210621_225935_com.android.chrome.jpeg
    Screenshot_20210621_225935_com.android.chrome.jpeg
    62.5 KB · Views: 8
Mhhh. Kahama wana hospitali ya Kanda ? Wana stand za mabus ngapi ? Wewe wa ajabu kabisa. Unalinganisha Kahana na Jiji la Mwanza ? Kihuduma na mpangilio wa mji bado Shinyanga ni nzuri kuliko hiyo Kahama yako.
Hivi Kahama unaiona kama periphery? 90% ya huduma unazoweza pata Mwanza jiji Kahama mjini huzikosi...
 
Huduma za jamii zipi Shinyanga inaizidi Kahama?

Mkoa wote wa Shinyanga unabebwa kimapato na Kahama. Serikali inashindwaje kuwekeza kwenye huduma bora za kijamii sehemu inayochuma pesa??

Uache kulinganisha KAHAMA na vitu vya kijinga...
Hospital ya wilaya ya kahama hovyo. Mji hauna hata city centre ni hovyo tu.
 
Usichanganye hoja. Bulyang'hulu haiko kwenye manspaa ya Kahama bali iko halmashauri ya msalala ! Siyo sehemu ya mji wa Kahama.
Kwa hapo kama mtu mmoja akapata hata laki moja tu kwa mwezi, manake Kahama ina uhakika wa kuongeza zaidi ya Tzs Bilioni 4 kila mwezi kwenye mzunguko wa pesa.
 
Bulyanhulu na Buzwagi ina ajiri zaidi ya watu 4000, ni kipi Njombe kinaweza kutoa ajira za moja kwa moja kama hiyo migodi?! View attachment 1825946View attachment 1825947View attachment 1825949View attachment 1825950View attachment 1825951View attachment 1825953
Hizo pesa na ndogo Sana na hao watu ni wachache sana,Njombe kwenye mashamba ya chai na vitalu vya miti ya parachichi imaajiri watu zaidi na kulipa pesa zaidi tofauti ni kwamba inakuwa Kazi za msimu vs za kudumu
 
Back
Top Bottom