tino shinzo
Member
- Oct 19, 2020
- 10
- 12
Kahama mabenki yapo mengi kuliko njombe. ACB, AZANIA, NBC, CRDB, NMB, TPB, hapo hujawaweka akina FINCA na wadogo zake. Kwa hilo tu, Njombe inaachwa mbali. Kimapato, mgodi wa Buzwagi unatema njulu za kutosha. Pia Kahama ni center kubwa inayohudumia wafanyabiashara kutoka Rwanda, Burundi na Uganda, Mwanza, Shinyanga, Kigoma, Katoro, Nzega, Geita, Simiyu na Ushirombo.Hivi idadi ya matawi ya Bank zilizoko Kahama unaweza linganisha na ubaridini (Njombe)?