Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

New project yenye zaidi ya ekari mbili ndani ya mtaa wa general ndani ya mk tc
IMG_20210608_114438.jpg
 
😂😂😂😂😂 zimeanza kauli za kuokoteza Hizo project zipo jilan jilani sana sio Kama njombe mzee wazee wa kuokoteza😄😄😄😄😄 na bado project zinaendeleaa
 
Sie tunaoanzisha mnyororo wa thamani ndio tunapata pesa za moja kwa moja na tuko wengi kuliko wachache wanaoajiriwa kwenye viwanda na vikodi vichache vinavyolipwa na kiwanda.
Mkuu viwanda vinaajili watu wengi kwasababu unakuta kimechukua ekari2 watu zaidi ya Mia wameajiliwaa ila kwenye kilimo natumia trekta tuu hainahaja ya kuajili watu wengi kwaiyo wengi watakua hawana ajira
 
viwanda vinaajili watu wengi kwasababu unakuta kimechukua ekari2 watu zaidi ya Mia wameajiliwaa ila kwenye kilimo natumia trekta tuu hainahaja ya kuajili watu wengi kwaiyo wengi watakua hawana aji
Viwanda ndivyo vinavoajili watu wengi mjini
 
Na bado kuna faida ya kuongeza mzunguko wa Pesa watu watawekeza majengo ya kibiashara pia vina saidia kutambulisha mji kimataifa zaidi kupitia bidhaa zake wanazo zalisha mfana viwanda vya madawa makambako vita u brand mji kimataifa zaidi na kuongeza fedha za kigeni na wageni kuongezeka kutoka nchi za SADC ndo maana wameamua kutafuta hata eneo la kujenga uwanja wa ndege
 
viwanda vinaajili watu wengi kwasababu unakuta kimechukua ekari2 watu zaidi ya Mia wameajiliwaa ila kwenye kilimo natumia trekta tuu hainahaja ya kuajili watu wengi kwaiyo wengi watakua hawana aji
Viwanda ndivyo vinavoajili watu wengi mjini
Wewe ajira za vibaruani za wahindi ndio ajira hizo? Kuchuma chai au pareto na viwanda vyenu hivyo uchwara nani wanaajiri watu wengi?

Naunga mkono viwanda pale tuu vinapotumika kama soko kwa bidhaa za kilimo
 
zimeanza kauli za kuokoteza Hizo project zipo jilan jilani sana sio Kama njombe mzee wazee wa kuokoteza na bado project zinaendeleaa
Endeleeni kukua sisi tunafukuzia kuwa Manispaa tayari DCC imepitisha,hatui ifuatayo ni RCC na hatimaye Wizarani.

Vigezo vyote tumekidhi kuanzia mapato ya ndani,makao makuu ya mkoa,kuwepo viwanda,idadi ya watu na mpango kabambe wa matumizi bora ya ardhi.

Changamoto ndogo ndogo ni kuimarisha barabara na kuhamasisha watu kuishi kimanispaa kama kutenga maeneo ya ujenzi nk kwa kufuata hadhi ya kimakundi .

Before 2025 Njombe inakuwa Manispaa na tutazidi kupiga gap hicho kijiji chenu.

Sasa nyie Makambako hata hadhi ya Mji mlipendelewa tuu maana ukitoa ruzuku ya bilioni moja inayotolewa na Serikali kuu kwa Halmashauri za miji mnaishia kupata 1.2 bln tuu sasa hata kujitegemea bado Sana wakati wenzenu tuna wastani wa 4.5 bln na ukiweka ruzuku ya Serikali Unapata 5.5bln..
 
Acha mawazo utopolo ww hivi Nan asiye ijua historian ya njombe na makambako njombe ndo ili bebwa toka 2005 makambako ilisha wazidi nyie wamashambani ndo maana hata population yenu ilikuwa chini 2007mkaamua kuunganisha tarafa mbili wakati makambako 2010 walipo omba rcc enzi hizo mkoa wa iringa ilikuwa imesha kidhi wakaambiwa wasubili mchakato wa kugawa mkoa nao watatangazwa hpo2 na ikawa hivo fatilia historia watu tunaifahamu sana hii miji na ndo maana mji wa njombe una vijiji vingi walilazimishia population ilikuwa chini kwa kudhibitisha angalia population ya rural na urban ilivo sio unaongea kitu ambacho hujui ya miaka miwili ya kuongeza kimapato unaona ni kila mwaka fatilia vizuri
 
Wewe ajira za vibaruani za wahindi ndio ajira hizo? Kuchuma chai au pareto na viwanda vyenu hivyo uchwara nani wanaajiri watu wengi?

Naunga mkono viwanda pale tuu vinapotumika kama soko kwa bidhaa za kilimo
Usikalili viwanda vya kilimo tu viwanda ni chachu ya maendeleo eneo husika najua hili Jambo watu wa njombe linawatesa polen tutaendelea kuja kununua mashamba
 
Vikao vya dcc kama umeanza kusikia Leo endelea kusubilia hiyo ahadi maana tumeanza kuisikia muda mrefu ila juzi wakaamua wawaridhishe na nyinyi mjisikie bado safar ni ndefu na kumbuka wenzenu makambako rcc ilishajadili kuwa wilaya na kwa taarifa usizojua inaweza ikaambatana na vyote toeni mapori ndo muanze kushindana miji Kama makambako ,kahama na tunduma na ukitaka kujua njombe ni ya kiboya wambie wakupeleke mtaa wa kidon Kama ilivyo miji mingine utacheka kila mwaka ni mji mwema na uzungun Yan ukiona utacheka yan bado wanakazi kubwa mno unajua mji uliofuata barabara kila mtu anataka ajenge barabarani tofaut na miji inayo sambaa Ina kuwa na mitaa mingi ya maana
 
Maana figure zingine inatakiwa tuweke hadharani tunavo wambia njombe ililazimishwa kuwa halimashari ya mji ndo wakaamua wachukue Jimbo lote la njombe kusini ambalo asilimia kubwa ni vijiji ndo et mje mji linganishe na makambako ambalo eneo lao kubwa ni town
FB_IMG_16230805881216597.jpg
 
Bora usiende hiyo hela pigia supu tu Kuna miji ya kwenda kutalii sio njombe ukipita barabara kuu kila kitu umekiona Kuna haja gani ya kushuka maana kila huduma wameweka barabara kuu kutokana na jiografia mbovu ya mji wao maana soko , makanisa, ofisi no vyote vipo main road tofauti ilivyo miji mingine hata mtu akienda kutalii ana enjoy anapita mitaa tofauti tofauti Sasa njombe huduma zote zpo barabara kuu ukichepuka mita 200 unakutana na bonge la korongo
Nije nifanye nini huko uswekeni ?
 
Bora usiende hiyo hela pigia supu tu Kuna miji ya kwenda kutalii sio njombe ukipita barabara kuu kila kitu umekiona Kuna haja gani ya kushuka maana kila huduma wameweka barabara kuu kutokana na jiografia mbovu ya mji wao maana soko , makanisa, ofisi no vyote vipo main road tofauti ilivyo miji mingine hata mtu akienda kutalii ana enjoy anapita mitaa tofauti tofauti sio kwa njombe ukichepuka mita 200 tu unakutana na bonge la korongo na bustan za mboga hapo ukiwauliza wanakwambia ni mjini kati
Nije nifanye nini huko uswekeni ?
 
Back
Top Bottom