Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

We ndo huelewi kitu Sasa hivyo vihotel uchwara vinautofauti gani na uwekezaji wa visima vya mafuta na kumbuka huu uwekezaji wa visima vya mafuta na gorofa pia unasidia kubadilishana madhari ya mji
Mada ni Kahama vs Njombe hicho kijiji cha Makambako kitafute size yake
 
Hebu aangalie mradi unaofadhiliwa na India kati ya njombe na makambako wapi wamepewa Pesa nyingi makambako tc billion 41 njombe bl 28 Sasa wapi kutasambazwa zaidi anaongea nn huyo
Tuna vyanzo vingi vya maji kuliko hicho kijiji chenu semi arid usijitoe ufahamu..na shida kubwa ya maji iko huko kwenu kuliko Njombe
 
Mada ni Kahama vs Njombe hicho kijiji cha Makambako kitafute size yake
Hahaha dalili za kufeli point hzo Mara shell sio maendeleo we jamaa mtu hawez kuwekeza shell yako sehemu ambayo ipo nyuma kimaendeleo ndo maana wanajua miji ya maendeleo wanawekeza shell kwa wingi Sasa njombe Ina eneo la km 3000 sq sheli zipo12 makambako yenye km 800 na point Ina shell karibia 20 haha huo ndo uwekezaji wa ndani
 
Huku ndio kutojiamini yaani hadi vituo vya mafuta ni maendeleo
Kwa nini mtu asiwekeze viwanda makambako aanze kuhangaika na porini njombe hiyo ni njia ya reli toka south
FB_IMG_16233967409752783.jpg
 
Tuna vyanzo vingi vya maji kuliko hicho kijiji chenu semi arid usijitoe ufahamu..na shida kubwa ya maji iko huko kwenu kuliko Njombe
Hahaha acha kujifariji shida ya maji ni kubwa mno njombe sema si mmezoea kuchota mtoni Hadi vigimbi vimekomaa
 
Hahaha dalili za kufeli point hzo Mara shell sio maendeleo we jamaa mtu hawez kuwekeza shell yako sehemu ambayo ipo nyuma kimaendeleo ndo maana wanajua miji ya maendeleo wanawekeza shell kwa wingi Sasa njombe Ina eneo la km 3000 sq sheli zipo12 makambako yenye km 800 na point Ina shell karibia 20 haha huo ndo uwekezaji wa ndani
Bora kufeli ila mada ni Njombe vs Kahama,ligi ya heavy weights hivyo vijiji tafuteni size yenu muanzishe ligi
 
Next year utekelezaji wa IDA 20,,Njombe imo hivyo vijiji vyenu vya Makambako mtasubiri sana. Soma hiyo View attachment 1815263
Hahaha ungekuwa unafatilia bungeni unge jua miji gani Ina husika makambako ilisha ingia kitambo au fatilia maswali ya mbunge Alisha jibiwa swali Hilo na akaomba waanze na soko unaongea nn ww makambako Ina wanyima raha kwenye huo mradi imo kazi iendelee
 
Back
Top Bottom