Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Sasa mtashinda na makambako ambayo tayari zahanati wamesha Jenga kila Kona kaka huna jipya kwa makambako
Siongei porojo soma hiyoo
IMG_20210610_124101_622.jpg
 
Sawa itawanufaisha lakini sio Sana kwasababu yote iyoo ni miladi ya selikali mfano barabara ya lupembe mkoa mzima wa njombe utanifaika hasa njombe Dc kwasababu kilimita ka zote zinawausu hata ss makambako tutanufaika kwasabu kutakua na Basi toka mk Hadi Moro, mlimba,ifakara na dsm kupitia iyoo njia. Afuu na miladi iyoo ya umeme wote itatunufaisha kwasababu serikali haizalishi umeme kwajili ya njombe mjini tuu ndo Mana umeona watausafirisha kwenda madaba kwaiyoo iyoo miladi haitachochea mapato kivilee
 
Kule mbele kuna structures nyingi Sana kali,kuna jengo la ghorofa kama sita hapo halijakamilika

Afu unakuta pimbi mmja kutoka kijiji cha Makambako anakwambia Mji umedumaa,mtu wa hivyo ni wa kupuuza na kumhurumia.

Njombe iko geared kuwa Manispaa afu hao pimbi wanaongea ujinga mara mapori mara vijiji sasa sijui nani anaweza Jenga uwekezaji mkubwa wa majengo ya ghorofa na Hoteli kijijini.

Mbona kwenye kijiji Chao hatuoni kitu zaidi ya guests houses na Magodown?

TBC tuu wametengeneza video Crip ya Ruhudji water falls wanaitangaza ilivyo kali na mandhari yake kila mda,unaweza tune saizi ukaona.

Pimbi wa Makambako atakwambia ni porini,hii tunaita inferiority complex .. Kahama wameshindwa ndio kitakuwa hicho kijiji kikubwa?
Hahaha mmekutana wa porini naona mnafarijia na mapori yenu makambako lazima iwaonyeshe Moto
 
Unachafua uzi wa ma heavy weight Njombe vs Kahama ,anzisha uzi wa Makambako vs Njombe ndio uweke huo ushuzi wako
Kahama imewazidi mbali huwezi linganisha na mapori hayo usipanic relax tukupe dozi inaoneka na makambako ulikuwa huijui kuwa imesha wapiga gap
 
Kule mbele kuna structures nyingi Sana kali,kuna jengo la ghorofa kama sita hapo halijakamilika

Afu unakuta pimbi mmja kutoka kijiji cha Makambako anakwambia Mji umedumaa,mtu wa hivyo ni wa kupuuza na kumhurumia.

Njombe iko geared kuwa Manispaa afu hao pimbi wanaongea ujinga mara mapori mara vijiji sasa sijui nani anaweza Jenga uwekezaji mkubwa wa majengo ya ghorofa na Hoteli kijijini.

Mbona kwenye kijiji Chao hatuoni kitu zaidi ya guests houses na Magodown?

TBC tuu wametengeneza video Crip ya Ruhudji water falls wanaitangaza ilivyo kali na mandhari yake kila mda,unaweza tune saizi ukaona.

Pimbi wa Makambako atakwambia ni porini,hii tunaita inferiority complex .. Kahama wameshindwa ndio kitakuwa hicho kijiji kikubwa?
Achen kutuletea video za misiba tupieni miradi ya mapato hapa
 
Kwa wakazi wa kiumba kituo Cha afya hicho kinaendelea kunoga makambako ni 🔥 kila Kona hatushindani vijiji vingi ss
IMG_20210409_094730.jpg
 
Hizo guest zenu saiz zitalala panya njombe kazi imeanza na bado soon tunaleta za ludewa dar
FB_IMG_16233448487677432.jpg
 
Sawa itawanufaisha lakini sio Sana kwasababu yote iyoo ni miladi ya selikali mfano barabara ya lupembe mkoa mzima wa njombe utanifaika hasa njombe Dc kwasababu kilimita ka zote zinawausu hata ss makambako tutanufaika kwasabu kutakua na Basi toka mk Hadi Moro, mlimba,ifakara na dsm kupitia iyoo njia. Afuu na miladi iyoo ya umeme wote itatunufaisha kwasababu serikali haizalishi umeme kwajili ya njombe mjini tuu ndo Mana umeona watausafirisha kwenda madaba kwaiyoo iyoo miladi haitachochea mapato kivilee
Unadhani kwa nini serikali isipange hayo huko Makambako?

Soma hiyo
IMG_20210610_125033_456.jpg
IMG_20210610_123758_303.jpg
IMG_20210610_123206_360.jpg
 
Kahama imewazidi mbali huwezi linganisha na mapori hayo usipanic relax tukupe dozi inaoneka na makambako ulikuwa huijui kuwa imesha wapiga gap
Wewe ni msemaji wa Kahama au? Weka video za Makambako kama ya Njombe hapa
 
Huku ndio kutojiamini yaani hadi vituo vya mafuta ni maendeleo
Kwan wee tunavyoongelea maendeleo ya mjii unaelewa nn? Maendeleo ya mji tunazungumzia muonekano wa mjii kwaiyoo we huoni Kama izoo sheli zimebadilisha muonekano tofauti na zamani kwaiyoo apaa tunaongelea mabadiliko yanayotokea ktk mjii. S ndo ka magorofa Kwan yanauhusiano gani na maendeleo
 
Back
Top Bottom