Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Acha mawazo utopolo ww hivi Nan asiye ijua historian ya njombe na makambako njombe ndo ili bebwa toka 2005 makambako ilisha wazidi nyie wamashambani ndo maana hata population yenu ilikuwa chini 2007mkaamua kuunganisha tarafa mbili wakati makambako 2010 walipo omba rcc enzi hizo mkoa wa iringa ilikuwa imesha kidhi wakaambiwa wasubili mchakato wa kugawa mkoa nao watatangazwa hpo2 na ikawa hivo fatilia historia watu tunaifahamu sana hii miji na ndo maana mji wa njombe una vijiji vingi walilazimishia population ilikuwa chini kwa kudhibitisha angalia population ya rural na urban ilivo sio unaongea kitu ambacho hujui ya miaka miwili ya kuongeza kimapato unaona ni kila mwaka fatilia vizuri
Acha upimbi mkuu Njombe ilikidhi viwango vya kuwa TC toka 2005 na ndipo 2007 ikapewa hadhi rasmi.

Jiografia ndio ililazimika kuwa na Tarafa mbili afu ziliwekwa kimkakati Ili tunapokidhi viwango vya Manispaa tusilazimike kuomba Eneo au kuchukua maeneo ya Halmashauri zingine,kwa hiyo waliona akili.

Nyie endeleeni kujikusanya bado mnasafari ndefu Sana,wachuuzi wenzenu Kahama walibebwa na mapato na idadi ya watu sasa sijui hicho kijiji Maskini kitabebwa na nini maana watu wachache na pesa kiduchu.

Sikumbuki kama Njombe TC wakati inapewa hadhi ya Mji ilikuwa na mapato madogo kama ya Makambako,kama ndivyo kueni kwanza sio kupiga makelele baada ya kuota ndevu.
 
Usikalili viwanda vya kilimo tu viwanda ni chachu ya maendeleo eneo husika najua hili Jambo watu wa njombe linawatesa polen tutaendelea kuja kununua mashamba
Viwanda ambavyo vinatumia mitambo na teknolojia zaidi kuliko labour based sivikubali na hafuvihitaji kwa pale Njombe.

Sie tunataka viwanda vya kuongeza thamani ya Mazao yetu ya kilimo.Unakaribishwa Sana kununua mashamba kama muwekezaji utatuongezea pesa
 
Acha upimbi mkuu Njombe ilikidhi viwango vya kuwa TC toka 2005 na ndipo 2007 ikapewa hadhi rasmi.

Jiografia ndio ililazimika kuwa na Tarafa mbili afu ziliwekwa kimkakati Ili tunapokidhi viwango vya Manispaa tusilazimike kuomba Eneo au kuchukua maeneo ya Halmashauri zingine,kwa hiyo waliona akili.

Nyie endeleeni kujikusanya bado mnasafari ndefu Sana,wachuuzi wenzenu Kahama walibebwa na mapato na idadi ya watu sasa sijui hicho kijiji Maskini kitabebwa na nini maana watu wachache na pesa kiduchu.

Sikumbuki kama Njombe TC wakati inapewa hadhi ya Mji ilikuwa na mapato madogo kama ya Makambako,kama ndivyo kueni kwanza sio kupiga makelele baada ya kuota ndevu.
Yana wewe ndo hujui ulisemalo hebu fatilia mapato ya 2017 uone mkoa wa njombe Nan alikuwa anaongoaza usijisifu na mapato ya miaka miwili mzee
 
Vikao vya dcc kama umeanza kusikia Leo endelea kusubilia hiyo ahadi maana tumeanza kuisikia muda mrefu ila juzi wakaamua wawaridhishe na nyinyi mjisikie bado safar ni ndefu na kumbuka wenzenu makambako rcc ilishajadili kuwa wilaya na kwa taarifa usizojua inaweza ikaambatana na vyote toeni mapori ndo muanze kushindana miji Kama makambako ,kahama na tunduma na ukitaka kujua njombe ni ya kiboya wambie wakupeleke mtaa wa kidon Kama ilivyo miji mingine utacheka kila mwaka ni mji mwema na uzungun Yan ukiona utacheka yan bado wanakazi kubwa mno unajua mji uliofuata barabara kila mtu anataka ajenge barabarani tofaut na miji inayo sambaa Ina kuwa na mitaa mingi ya maana
Unajifariji vumilia tuu nanyi mtafika..hapo awali ilikuwa maandalizi na mapendekezo vigezo vilikuwa bado.Kwa sasa tumekidhi vigezo baada ya sensa mwakani tutakuwa na population rasmi ya serikali ambapo minimum ni watu 150k

Taja wewe vigezo ambavyo unadhani hatujakidhi.. Changamoto ya barabara itatatuliwa na Tactic mwaka ujao yaani saizi wanakamilisha procedures za kiserikali tuu.
 
Viwanda ambavyo vinatumia mitambo na teknolojia zaidi kuliko labour based sivikubali na hafuvihitaji kwa pale Njombe.

Sie tunataka viwanda vya kuongeza thamani ya Mazao yetu ya kilimo.Unakaribishwa Sana kununua mashamba kama muwekezaji utatuongezea pesa
Makambako idadi ya watu ni kubwa tofauti na njombe wanao kaa vijijin hko hata growth rate makambako ni kubwa kuliko mashambani hko unavotoa point hebu jaribu hata kufatilia mwaka 2002 njombe ilikuwa na watu 40000 wakati makambako ikiwa na watu zaidi 50000 bado mapato makambako ikawa juu Sasa nani alibebwa Kama sio njombe na bado hadi saiz mnataka kubebwa hii itakuwa ndo manispaa ya Kwanza yenye wakaz asilimia 85 ni vijiji
 
Barabara changamoto , umeme changamoto eneo la kiutawa Wala asilimia 85 ni vijiji kitu ambacho makambako ni tofauti tena kubwa mno
 
Kumbuka tactic Kama unafatilia vizur mradi huu utatoa vipaumbele kwenye miji ambayo haikuwemo kwenye mradi wa mwanzo uwe unafatilia mzee happy mlisha jengewa stend , soko , na vibarabara
 
Bora usiende hiyo hela pigia supu tu Kuna miji ya kwenda kutalii sio njombe ukipita barabara kuu kila kitu umekiona Kuna haja gani ya kushuka maana kila huduma wameweka barabara kuu kutokana na jiografia mbovu ya mji wao maana soko , makanisa, ofisi no vyote vipo main road tofauti ilivyo miji mingine hata mtu akienda kutalii ana enjoy anapita mitaa tofauti tofauti sio kwa njombe ukichepuka mita 200 tu unakutana na bonge la korongo na bustan za mboga hapo ukiwauliza wanakwambia ni mjini kati
unfortunately hakuna mjinga anaeweza kwenda eti kutalii Makambako hayupo wote watakuja nchi ya ahadi Njombe.

Hiyo mandhari na jiografia ndio vinawaleta sasa.

Pia mwambie huyo Msukuma kwamba Njombe ni mkoa wa kimkakati kwa serikali kwa sababu zifuatazo

1.Uta host mabwawa 4 ya kuzalisha umeme ya Ruhudji,Rumakali,Ruhuhu

2.Utakuwa na migodi mikubwa ya Madini ya chuma na makaa ya mawe Liganga na mchuchuma.

3.Mkoa maalumu wa kufundishia teknolojia za Mazao ya chakula,biashara, mboga mboga na matunda baada ya Arusha ndio maana TARI na TAHA wameweka kambi.Soon tunaanza kulima maua.Hata PM alisema watajenga cold Room pale Songwe Airport maalum kwa bidhaa kutoka Njombe

4.Mkoa maalumu wa kuzalisha Mazao ya miti na bidhaa zake sanjali na wailaya za Mufindi na Kilolo.

5.Ni mkoa wenye nguvukazi ya wachapa kazi

Kwa kuzingatia hayo ndio maana serikali inafungua barabara pande zote zakutoka na kuingia Mkoa wa Njombe tena zinajengwa kwa asphalt na zege tofauti na mikoa mingine mizee.

Cha kukuongezea na wewe ni kwamba shughuli zote hizo zitakuwa centered mkoani yaani mjini Njombe.

Sasa mkoa/Mji kama huu huwezi linganisha na hivyo Vimiji uchwara vya wachuuzi kama Kahama, Makambako, Tunduma nk
 
Makambako idadi ya watu ni kubwa tofauti na njombe wanao kaa vijijin hko hata growth rate makambako ni kubwa kuliko mashambani hko unavotoa point hebu jaribu hata kufatilia mwaka 2002 njombe ilikuwa na watu 40000 wakati makambako ikiwa na watu zaidi 50000 bado mapato makambako ikawa juu Sasa nani alibebwa Kama sio njombe na bado hadi saiz mnataka kubebwa hii itakuwa ndo manispaa ya Kwanza yenye wakaz asilimia 85 ni vijiji
Unaleta takwimu za historia zitakusaidia nini mkuu at current times.By 2012 Njombe TC kwa mujibu wa sensa ilikuwa na watu 130k sasa hizo takwimu za 2002 zitakusaidia nini wewe?
 
Na kati ya mji wa ovyo nyanda za juu kusini ni njombe eneo kubwa ni mapori huwezi linganisha na miji Kama makambako ambayo eneo kubwa ni makazi unavoingi mipakan ni makazi mwanzo mwisho ila sio njombe ukitoka kibena makazi mwisho nundu hadi ukaukute mpaka wa madaba ni full mapori na vijiji kitu ambacho kwa iringa , mbeya ,songea na tunduma hakipo Yan hiyo itakuwa manispaa ya mapori
 
Na kati ya mji wa ovyo nyanda za juu kusini ni njombe eneo kubwa ni mapori huwezi linganisha na miji Kama makambako ambayo eneo kubwa ni makazi unavoingi mipakan ni makazi mwanzo mwisho ila sio njombe ukitoka kibena makazi mwisho nundu hadi ukaukute mpaka wa madaba ni full mapori na vijiji kitu ambacho kwa iringa , mbeya ,songea na tunduma hakipo Yan hiyo itakuwa manispaa ya mapori
 
Kumbuka tactic Kama unafatilia vizur mradi huu utatoa vipaumbele kwenye miji ambayo haikuwemo kwenye mradi wa mwanzo uwe unafatilia mzee happy mlisha jengewa stend , soko , na vibarabara
Sasa wewe una shida sana mkuu,sasa Njombe ilikuwepo kwenye tactic au? Njombe ilikuwepo kwenye ULGSP na sio TACTIC.Sio tuu kufuatilia mimi ni miko kwenye utekelezaji wa huo mradi.Nenda kwenye tovuti ya Njombe TC ukaangalie hiyo taarifa ya DCC uone Meneja wa TARURA Njombe Mji kasemeje afu urudi kufuta post yako .Wewe ndio hufuatilii sio mimi.

Kwa vigezo vyovyote huwezi jenga barabara kwenye vimiji uchwara ukaacha makao makuu ya Mkoa,bora hata hivyo vi miji uchwara kama Makambako vingekuwa vinazalisha mapesa vingekuwa considered .Ni mwehu tuu ndio anaweza weka kipaombele sehemu ambayo haizalishi akaacha sehemu inayozalisha kama Njombe.
 
Na kati ya mji wa ovyo nyanda za juu kusini ni njombe eneo kubwa ni mapori huwezi linganisha na miji Kama makambako ambayo eneo kubwa ni makazi unavoingi mipakan ni makazi mwanzo mwisho ila sio njombe ukitoka kibena makazi mwisho nundu hadi ukaukute mpaka wa madaba ni full mapori na vijiji kitu ambacho kwa iringa , mbeya ,songea na tunduma hakipo Yan hiyo itakuwa manispaa ya mapori
Huo huo mji wa hovyo ndio makao makuu ya Mkoa 😀 😀 😀 😀 na hayo hayo mapori ndio yanazalisha pesa ya kuzidi,lete point nyingine mkuu.

Miji yote yenye mapori inafanya vizuri sana kwanza ina hali ya hewa nzuri na iko liveable like Mbeya,Arusha,Njombe,Mafinga nk
 
Cool down uzur want hili Jambo wazir mkuu Alisha lieleza kuwa no wap wataanza na vipaumbele we ni mtekelezaji Kama wengine makao makuu uchwara Kama hayo waache kupambana na miji ya Pesa mzee 😄😄😄 na isitoshe makambako haikuwemo kwenye hiyo miradi ila kwa mkoa wa njombe ndo mji wenye barabara za lami km nyingi mkoa wa njombe
 
Barabara changamoto , umeme changamoto eneo la kiutawa Wala asilimia 85 ni vijiji kitu ambacho makambako ni tofauti tena kubwa mno
Changamoto za barabara zitamalizwa next yera via TACTIC,Umeme sio changamoto ya kushindwa kwa Halmashauri ni ishu ya TANESCO na Serikali haituhusu.

Eneo la mipaka kuwa na vijiji au vitongoji sio changamoto linakubalika kisheria na ndio linatumika kwa shughuli za uchumi na uzalishaji kuleta pesa mjini.

Wewe jua tuu before 2025 itakuwa Njombe TC,zile benefits za Manispaa tutaanza kuzipata kama kuongezewa bajeti ya maendeleo na utawala kwenye kila kitu mfano ruzuku ya serikali kuu kuwa 2bln,kupewa bajeti ya lami kila mwaka km 1 nk kwa hiyo tutazidi kuwatimulia vumbi.
 
Na uzuri wa mji wa makambako barabara za centre asilimia 90 wamemaliza saiz wanaanza za pembezoni na km 10 za lami tayar wamepata kinachofuata ni ujenzi tu
 
Cool down uzur want hili Jambo wazir mkuu Alisha lieleza kuwa no wap wataanza na vipaumbele we ni mtekelezaji Kama wengine makao makuu uchwara Kama hayo waache kupambana na miji ya Pesa mzee na isitoshe makambako haikuwemo kwenye hiyo miradi ila kwa mkoa wa njombe ndo mji wenye barabara za lami km nyingi mkoa wa njombe
Hakuna hisani ya PM wala huruma mtapata

Miji ya pesa ndio iko kama hii hapo chini ?
IMG_20210513_163559_260.jpg
 
Na uzuri wa mji wa makambako barabara za centre asilimia 90 wamemaliza saiz wanaanza za pembezoni na km 10 za lami tayar wamepata kinachofuata ni ujenzi tu
Hako kamji kaduchu ukijenga km 3 umemaliza Mji wote huwezi linganisha na Njombe ambayo ina mtandao mkubwa wa barabara kuliko hicho kijiji.

Ndio maana hata bajeti ziko tofauti bajeti ya Tarura Njombe TC ni kubwa kuliko ya hicho kijiji chenu,got it
 
Safi 😃😃😃 huo uloo wenu wa ku force mambo lazima mtandao wa barabara uwe mkubwa ko tegemea makambako kuwa kivingine zaidi ya Sasa maana ndo tunaanza lami pembezoni kwenye uwekezaji mkubwa wa makampuni maana umeme kila Kona upo
 
Back
Top Bottom