Maana tulivokuwa tunawambia makambako inapiga gap njombe mlikuwa mnakataa ikiwa makambako mwenyekit wa mji aruhusu wadau waongeze bajaji zifike 2000 ili kukidhi ongezeko la watu. Na kwa jinsi ulivotanuka kwa Sasa wakati njombe wanabajaji 250 alafu kuna mgomo wanasema nyingi mno tuliwambia muda utasema na barabara za lami za mitaa kimkoa makambako inaongoza wamejenga km 18 na bado wanaendelea wakati njombe ni km11 kutokana na TARURA MKOA WA NJOMBE na bado mtasubiri mwezi wa Saba stendi ya makambako inaanza kujengwa
Hiyo stand sijaiona popote kwenye bajeti ya Serikali kwamba itakuwa ya Viwango unless mnamwaga vifusi na kuwa na kistendi cha hovyo kama cha mjini Kati.
Ishu barabara usipate tabu ndugu,Njombe imekuwa na barabara za lami mitaani siku nyingi Sana kabla ya hicho kijiji,kwa vile kijiji chenu ndio kinabalehe imebidi kiongezewe hadhi . mtoto akibalehe anatengewa chumba chake cha nje huko.
Kwa sasa Njombe tuna vipaombele vingine kabisa na sisi tuna bajeti kubwa ya TARURA kuliko Makambako isipokuwa Geografia yetu inafanya pesa nyingi itumike kwenye Eneo dogo kuliko maeneo tambarare kama ya huko kijijini kwenu Makambako.
Mwaka wa fedha ujao tutakapokuwa na makusanyo around 7bln tunaanza kutenga pesa za ndani kuwapa Tarura kujenga miundombinu zaidi.Pesa tunayokusanya Njombe tunaweza fanyia chochote bila kusubiria ruzuku ya serikali kuu,hicho kijiji chenu hakina hiyo jeuri
By the way unaelewa maana ya gap wewe? Gap ni hii hapa chini
