Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Sasa watu maskini wanafaida gani hao?Utaongeleaje uchumi bila watu????
Sasa watu maskini wanafaida gani hao?Utaongeleaje uchumi bila watu????
Hahaha na vigofu hivyo pita makambako uone wenye mji wanalivo amua kubadilisha madhari ya mji sio kila Kona picha za soko hadi tumelichokaTuwe wakweli Njombe iko mbali sana kwa MK na Kahama angalia Muoneka wa Njombe stand ya zamani
View attachment 1783349
Unaweza ukawa na mapato mengi maendeleo 0%Hicho kijiji chenu nilishakizarau Sana maana kinaonyesha dhahiri kimejaa wqchuuzi wanaoganga njaa tuu.
Angalia mwenyewe figures za mapato hapa chini Makambako ni aibu .Fy 2019/20 na 2020/21
Njombe TC by the end of this year tunafikisha 7 bln tunaingia ligi za Wakubwa.
Makambako inaulet down mkoa wetu yaani mnazidwa mapato hadi na Halmashauri ya Njombe DC,Vimiji uchwara kama hivi wangevifuta tuu kuliko kutia aibu kiasi hiki huku makelele kila kila siku.Bila Njombe TC hakuna Mkoa wa Njombe. View attachment 1783390View attachment 1783391
Well saidMkakati wa NBS kwa sensa mpya. Matokeo ya sensa hii ni muhimu sana kwa mustakabali wa Halmashauri zetu kwenye nyanja za kiuchumi, kijamii na kisiasa. Mwenyezi Mungu atupe uhai tu tufike.
Sasa wewe kwa akili yako Njombe na Makambako wapi kuna maendeleo? Kwa hiyo hizo pesa zinazokusanywa zinaenda wapi? Ingia kwenye tovuti ya Njombe hapo kuna video za miradi afu urudi hapa kuongea ulichoongea.Unaweza ukawa na mapato mengi maendeleo 0%
Unajifariji eti? eti 🙄🙄🙄🙄Hahaha na vigofu hivyo pita makambako uone wenye mji wanalivo amua kubadilisha madhari ya mji sio kila Kona picha za soko hadi tumelichoka
Utasikia Makambako imeendelea kuliko Njombe


Mdatchu bwanaMdatchu soma hiyoHahaha na vigofu hivyo pita makambako uone wenye mji wanalivo amua kubadilisha madhari ya mji sio kila Kona picha za soko hadi tumelichoka

Pesa nyingine hiyo,ndani ya miaka 2 Njombe itakuwa inaongoza Tzn kwa kuzalisha Vanilla zaidi ya tani 20,000 Tatizo tuna bishana na mtu ambae haupo eneo husika unaenda kwa kuvizia siku tembelea kiundani hii miji miwili ndo utaamini nini tunacho semaSasa wewe kwa akili yako Njombe na Makambako wapi kuna maendeleo? Kwa hiyo hizo pesa zinazokusanywa zinaenda wapi? Ingia kwenye tovuti ya Njombe hapo kuna video za miradi afu urudi hapa kuongea ulichoongea.
Hiyo ni hotel ya kawaida naifaham ipo uzungu kumbuka makambako ni kweli ilikuwa nyuma ki ujenzi wa majengo ya juu kwa Sasa ipo kasi mno ko nalo jiandae kupigwa chini na kumbukuka mk ya mwaka jana na mwaka huu ni tofauti full mabadiliko na project zinaendelea ndo maana tuliwambia time will tell jiandae kuona gorofa za kuzidi makambako baadhi ukipita saiz zinaendelea kupandishwa kitu ambacho ni tofaut na njombe kasi imepungua sana mengi ni majengo ya serikali
AendeleaMdatchu soma hiyoPesa nyingine hiyo,ndani ya miaka 2 Njombe itakuwa inaongoza Tzn kwa kuzalisha Vanilla zaidi ya tani 20,000 View attachment 1788803View attachment 1788807
PMdatchu soma hiyo
Pesa nyingine hiyo,ndani ya miaka 2 Njombe itakuwa inaongoza Tzn kwa kuzalisha Vanilla zaidi ya tani 20,000 View attachment 1788803View attachment 1788807![]()
AendeleaMdatchu soma hiyoPesa nyingine hiyo,ndani ya miaka 2 Njombe itakuwa inaongoza Tzn kwa kuzalisha Vanilla zaidi ya tani 20,000 View attachment 1788803View attachment 1788807
PMdatchu soma hiyo
Pesa nyingine hiyo,ndani ya miaka 2 Njombe itakuwa inaongoza Tzn kwa kuzalisha Vanilla zaidi ya tani 20,000 View attachment 1788803View attachment 1788807![]()
Onyesha hiyo kasi mkuu acha porojo si umesema uko Eneo husika?Hiyo ni hotel ya kawaida naifaham ipo uzungu kumbuka makambako ni kweli ilikuwa nyuma ki ujenzi wa majengo ya juu kwa Sasa ipo kasi mno ko nalo jiandae kupigwa chini na kumbukuka mk ya mwaka jana na mwaka huu ni tofauti full mabadiliko na project zinaendelea ndo maana tuliwambia time will tell jiandae kuona gorofa za kuzidi makambako baadhi ukipita saiz zinaendelea kupandishwa kitu ambacho ni tofaut na njombe kasi imepungua sana mengi ni majengo ya serikali
Kwani maendeleo kwako ni nini hasa Mkuu maana naona unataka kubishana na uhalisia.Tatizo tuna bishana na mtu ambae haupo eneo husika unaenda kwa kuvizia siku tembelea kiundani hii miji miwili ndo utaamini nini tunacho sema
Zaidi ya kilimo kaka njombe kuna uwekezaji upi mpya na kumbuka Bei ya mazao inapanda na kushuka na uwekezaji wa viwanda vingi makambako huo ndo utaongeza maradufu hayo mapato unayo yaona na kupitia hayo mapato madogo tayari wamelipa eneo fidia ya kujenga stendi kubwa ya mabasi pale kipagamo na zoezi la ujenzi mkandarasi anaanza mwez wa saba na kumaliza mwez wa 12 kitu tayar serikali kuu Sasa imelipa fidia eneo la ujenzi one stop centre pale idofi jilan na mpaka wa mkoa wa iringa na njombe pia imelipa fidia eneo la ujenzi soko la kimataifa pale mashujaa wamebaki watu kumi na tano kumaliziwa kazi iendelee na pia kuna ujenzi wa kiwanda cha madawa chini ya msd kwaajili ya ku supply nchi za SADC kazi bado inaendelea pale idofi ,kiwanda cha kusindika nyama pale kihanga wanamalizia kufunga mitambo ,ujenzi wa soko kubwa la mazao pale kiumba inaendelea hiyo ni baadhi tu ya miradi ya serikali ambayo inaendelea kutekelezwa ndani ya halmashaur ya mji wa makambako na ya watu binafsi na makampuni hiyo tumeiweka kando kidogo maana ni mingi mno muda unaongeaKwani maendeleo kwako ni nini hasa Mkuu maana naona unataka kubishana na uhalisia.
Kwamba Makambako imeendelea kuliko Njombe au? Kuwa serious kidogo ,hapo Makambako watu na viwanda ndio wanaongezeka kutokana na jiografia lakini na wewe unajua kwamba nguvu ya Njombe iko kwenye kilimo biashara na mazingira yanaruhusu kuliko Makambako.
Soon tunakuwa Manispaa kitu ambacho kitawachukua Makambako nusu Karne kwa sababu kuu moja na mapato kiduchu ya kujiendesha.Wakati wewe inategemea miujiza wenzio Njombe TC wamefika kwenye 7bln,hizi pesa zote zinaenda kwenye huduma za jamii na kiuwekezaji.
Huo muda wa kuwa manispaa haufiki tu kila siku soon wenzenu kahama halimashari ya mji imeanza 2012 ndani ya miaka tisa imekuwa manispaa na njombe imeanza mji toka 2007 Ina miaka14 bado utasikia soon soon mnaendelea kupigwa bao na makambako ya 2012. Na growth rate ya njombe ni ndogo mno wenzenu makambako tayari wameanza ujenzi wa shule za kata za gorofa kutokana na rate ya ukuaji kuwa kubwa mno Ungesikiliza madiwan wako wanavokwambia kwambia kwa mpangilio wa njombe ilivyo Sasa msahau kuwa manispaa pia kiwango cha mapato kinashuka kutokana na watu hawataki kutumia soko kuu walilojengewa na stendi pia gari haziendiKwani maendeleo kwako ni nini hasa Mkuu maana naona unataka kubishana na uhalisia.
Kwamba Makambako imeendelea kuliko Njombe au? Kuwa serious kidogo ,hapo Makambako watu na viwanda ndio wanaongezeka kutokana na jiografia lakini na wewe unajua kwamba nguvu ya Njombe iko kwenye kilimo biashara na mazingira yanaruhusu kuliko Makambako.
Soon tunakuwa Manispaa kitu ambacho kitawachukua Makambako nusu Karne kwa sababu kuu moja na mapato kiduchu ya kujiendesha.Wakati wewe inategemea miujiza wenzio Njombe TC wamefika kwenye 7bln,hizi pesa zote zinaenda kwenye huduma za jamii na kiuwekezaji.
hoja yako ya Njombe kutokuwa Manspaa ni dhaifu kidogo.Hata wageni hua wanashangaa kwa nini Njombe imechangamka kimakazi na kibiashara kuliko baadhi ya Manspaa kama za Lindi lakini haijapewa hadhi hiyo lakini jibu ni kua wakati ule makao makuu mengi ya miko yalipewa hadhi ya manspaa ili kuchochoa maendeleo na biashara japo vigezo vilikua havijatimia.Njombe ya 2007 haingeweza kua na hadhi hiyo kwanza ilikua bado iko mkoa wa Iringa na miundo mbinu yake ilikua bado kabisaaa na hakukua na uwekezaji wa maana.Lakini Njombe ya leo inastahili kwa sababu inasonga kwa kasi na majengo yanajengwa sio kama Dar es Salaam lakini yanajengwa na ushindani ni mkubwa.Huo muda wa kuwa manispaa haufiki tu kila siku soon wenzenu kahama halimashari ya mji imeanza 2012 ndani ya miaka tisa imekuwa manispaa na njombe imeanza mji toka 2007 Ina miaka14 bado utasikia soon soon mnaendelea kupigwa bao na makambako ya 2012. Na growth rate ya njombe ni ndogo mno wenzenu makambako tayari wameanza ujenzi wa shule za kata za gorofa kutokana na rate ya ukuaji kuwa kubwa mno Ungesikiliza madiwan wako wanavokwambia kwambia kwa mpangilio wa njombe ilivyo Sasa msahau kuwa manispaa pia kiwango cha mapato kinashuka kutokana na watu hawataki kutumia soko kuu walilojengewa na stendi pia gari haziendi