Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Hivi Makambako kuna basi liendalo miji ifuatayo:
1. DSM
2. Dodoma
3. Morogoro
4. Mtwara/ Masasi
5. Sumbawanga
6. Mwanza
7. Tanga
Kama hayapo, hapo tayari kinakua ni kijiji, maana kwa Kahama wana mabasi kutoka maeneo tofauti tofauti, hapo ni kuonesha bado hicho kimji hakijitoshelezi! Gari nyingi zinaanzia Njombe, Songea, Mbeya na Tunduma!
 
Sasa utawekaje route hizo kunagari zinapita hapo kwa muda mwafakaka nyie kutoka njombe Kama unaenda mwanza lazima uje makambako ss hatuna shida
Kwani Kahama, Singida, Iringa hakuna gari zinazopita miji hiyo, mbona wana magari yao, hiyo inaweza isiwe sababu. Sababu ni udogo wenu na utegemezi wenu kwa Njombe na Mbeya, hakuna lingine.
 
Soma comment ya chaza
Comment yangu na au swali langu lilianza baada ya wewe kuweka mabasi yanayopita Makambako(tena yanayopita tu, siyo yanayoanzia), ndipo nikataka kujua kama kwa mji mkubwa unayo magari yanayoanzia hapo kwenda maeneo mbalimbali ya Tanzania au ni tegemezi?
 
Soma comment ilimaanisha nn
 
Kifo cha hako kakijiji ka wachuuzi ka Makambako ni kukamilika kwa hizi road hapa View attachment 1702020
Jambo usilo lijua Ni jiografia ya mkoa wa njombe ikoje na wapi Kuna wakazi wengi na kunazidi kujaa ndo maana nilikwambia usipende kusimuliwa tembelea eneo husika huu mkoa wa njombe una Kanda mbili ya kasikazini na kusini ambapo kasikazini mji mkuu Ni makambako na huu ukanda unaanzia wangama ,igwachanya kidugugala ilembula ,wangingombe mtwango kitandililo nk na ndio ukanda wenye wakaz wengi na unakua kwa Kasi ili kudhibitisha Hilo hata crdb kwenye hafla ya kufungua mwaka wakiwa na mkuu wa mkoa waliongea pia wamefungua matawi 6 ya benki yao kwenye hii zone ambapo yapo igwachanya ,ilembula ,mtwango,wangingombe, kidugala ambapo baba lao Ni makambako hata ongezeko la daladala Ni kubwa zinazo kuja makambako kutoka sehemu hiz Ni tofauti na zone ya njombe ambayo barabara yenye kas ya ongezeko la watu Ni ya makete t zingine Ni mashambani na miti milima imetawala unatembea km nyingi Ni misitu tu ko biashara Ni watu na position ya mji ulipo
 
Acha porojo zako wewe,kama hizo road unazozitaja hazipo hapo Basi jua ni njia za punda na mikokoteni mengine ni yako kujifariji.

Wewe subiri hizo road zikamilike ndio uje tena na wishful thinking zako
 
Vitu vikali kama hivi watu wa Kijiji cha Makambako mtaishia kuviona vinapita tuu
JamiiForums110847391.jpg
 
Back
Top Bottom