Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Hz
Kadogo Sana kwa Njombe,, Makambako kata 12,Njombe 13,, Makambako watu 93,000 ,,Njombe 130,000 nadhani bwanamdogo Makambako tulia mkubwa akikohoa
Hzo Ni takwimu za 2012 kumbuka mwakan sensa ndo utapata majibu na mafichoni kwenu njombe
 
Aaah! Sasa milimani si wanakaa mijusi!?
Hebu watake radhi bwana.. kule ni njox.. milima iko ludewa huko 🙂))))
Kwan uongo wa angalia hata makazi ya wanavo pata shida kujenga bado gari sehemu nyingine haiingi Wala bajaji na bajaji njombe zipo Mia mbili zote zinapita main road mitaan haziingi zinajua shughuli za milima na kumwaga abiria
 
Sasa hapa kuna nini,weka hata aerial view basi ya Makambako,,za Njombe ziko nyingi sana
Alaf hyo aerial view ilichukuliwa kufuata barabara ya songea oneshen mji mzima watu waione milima maana ukitoka dakika moja barabaran una kutana na bonge la korongo ndo mnasema mji umetanuka mji sio organised kabisa umefuata road tu hiv hata mtu akisema tukatembee mitaan cjui huwa mnafanyaje maana jiografia ya huo mji Ni balaa
 
Kwa Nini njombe inategemea makambako hii Ni kutokana na maagent wa kubwa wa makampuni wapo makambako mfano kampuni ya bia cement ya dangote ,Simba ,spea za scania ,be forward ,Hawa Depot zao zpo makambako bdo za bidhaa za kilimo maghara ya export, seedco,ginning ,kibo ,mo ,tfa yapo makambako na bdo bidhaa za ndan mo ana magodauni Kama mawil na bado wafanyabiashara biashara wa ndani et mtu anasema mji wa wachuuzi Hawa ndo wenye pesa maana ndo wanna sambaza bidhaa mkoa mzima
 
Rate ya ukuaji njombe Ni 0.8 wakati makambako Ni 4 kwa uliye Soma population unapata picha wapi Ni fire
 
jengo la Njombe ni kongwe zaidi ya hilo la Kahama naamini kama NSSF wangekua wanajenga leo wasingejenga hivyo kwa kua jengo la pembeni yake lingewaonesha nini wanatakiwa kujenga.
Hayajapishana muda Our Projects – Construction Services Consultants Limited
1613025731109.png
 
Kwa Nini njombe inategemea makambako hii Ni kutokana na maagent wa kubwa wa makampuni wapo makambako mfano kampuni ya bia cement ya dangote ,Simba ,spea za scania ,be forward ,Hawa Depot zao zpo makambako bdo za bidhaa za kilimo maghara ya export, seedco,ginning ,kibo ,mo ,tfa yapo makambako na bdo bidhaa za ndan mo ana magodauni Kama mawil na bado wafanyabiashara biashara wa ndani et mtu anasema mji wa wachuuzi Hawa ndo wenye pesa maana ndo wanna sambaza bidhaa mkoa mzima
wewe na wewe umeanza kua wa ajabu kila siku kushindanisha ndugu wa familia moja unapata faida gani.Makambako mji iko ndani ya wilaya ya njombe kuna ubaya gani hivyo vitu kuwekwa pale,utasema kua na station ya Tazara iko makambako hivyo sisi tunaoshuka hapo kuelekea Njombe tunaitegemea makamabako.Ni lazima ujue kua uwepo wa hivyo vitu huchangiwa na geographical location yake na demand zake.Ukiweka makambako ni rahisi kwa mtu anayetokea mbeya kupata service kuliko achepuke kwenye Njombe,mbona husemi uwepo wa viwanda Njombe pia.Mkoa nao unakua na strategy za kuukuza mkoa hivyo kuna vitu tunaamua pamoja we vipi?
 
Mdatchu pigaaa hapo hapoo mpaka warudi kwenye umandeee 😀 😀 😀 😀 😀
 
Sasa mimi nawezaje kubishana na waziri.. kiongozi. Hayo ni maneno ya Jaffo. Hahaha

Lakini majiji yapi unayatolea mfano.. DSM kwa sasa walikuwa na miradi Yao DMDP kilomita 400. Acha hizo 36

Arusha zile ring road ni zaidi ya kilomita 50
Bado za mjini.

Dodoma ring road ni kilomita 105. Hahaha

Sema hatakahama ni potential area.. hizo 36 zinaweza hata zisiende mbali.. maana naona barabara mbili tuzikijengwa haipungui km 30 ndani ya mji. Mitaa bado
Tunazungumzia mradi wa TACTIC ambao utahusisha na majiji pia,achana na miradi maalum ya dar na dododa..wapi Arusha wamejenga km 50 za Tarura?
 
Back
Top Bottom