Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Kwa hiyo i vijiji vikubwa bora na Tabaora kuna hadi tawi la chuo kikuu na cha utumishi wa ummaKwahiyo!
Kwa hiyo i vijiji vikubwa bora na Tabaora kuna hadi tawi la chuo kikuu na cha utumishi wa ummaKwahiyo!
Njombe inaitwa bustani ya Mungu ,hizo porojo zenu hazijawahi badilisha kituKwan uongo wa angalia hata makazi ya wanavo pata shida kujenga bado gari sehemu nyingine haiingi Wala bajaji na bajaji njombe zipo Mia mbili zote zinapita main road mitaan haziingi zinajua shughuli za milima na kumwaga abiria
Ndio najua leo hiliNjombe inaitwa bustani ya Mungu ,hizo porojo zenu hazijawahi badilisha kitu
Mtoto kaota sharubu na nywele za kule chini anadhani sikio linaweza zidi kichwa,never ever ,,ukimwambia leta mradi hata 1 ulioahidiwa kwenye kampeni kwa Makambako hana ila kubwabwaja domo anawezawewe na wewe umeanza kua wa ajabu kila siku kushindanisha ndugu wa familia moja unapata faida gani.Makambako mji iko ndani ya wilaya ya njombe kuna ubaya gani hivyo vitu kuwekwa pale,utasema kua na station ya Tazara iko makambako hivyo sisi tunaoshuka hapo kuelekea Njombe tunaitegemea makamabako.Ni lazima ujue kua uwepo wa hivyo vitu huchangiwa na geographical location yake na demand zake.Ukiweka makambako ni rahisi kwa mtu anayetokea mbeya kupata service kuliko achepuke kwenye Njombe,mbona husemi uwepo wa viwanda Njombe pia.Mkoa nao unakua na strategy za kuukuza mkoa hivyo kuna vitu tunaamua pamoja we vipi?
Bustan ya Eden n kitulo tNjombe inaitwa bustani ya Mungu ,hizo porojo zenu hazijawahi badilisha kitu
Kama hiyo rate inatoka kwenye kichwa chako kilichojaa maharage sawaRate ya ukuaji njombe Ni 0.8 wakati makambako Ni 4 kwa uliye Soma population unapata picha wapi Ni fire
Kitulo iko mlangoni kwako au? NAa Njombe nchi ya ahadi iko mdomoni kwako au?Bustan ya Eden n kitulo t
Soma hyo wamashambaniMtoto kaota sharubu na nywele za kule chini anadhani sikio linaweza zidi kichwa,never ever ,,ukimwambia leta mradi hata 1 ulioahidiwa kwenye kampeni kwa Makambako hana ila kubwabwaja domo anaweza
Wewe mbulula vilima na mabonde ndio fahari na hadhi ya Njombe vikiwa vimepambwa na uoto wa asili all over,huwezi kustawi kwenye kimji kinavipara kama hicho kijiji cha makambakoAlaf hyo aerial view ilichukuliwa kufuata barabara ya songea oneshen mji mzima watu waione milima maana ukitoka dakika moja barabaran una kutana na bonge la korongo ndo mnasema mji umetanuka mji sio organised kabisa umefuata road tu hiv hata mtu akisema tukatembee mitaan cjui huwa mnafanyaje maana jiografia ya huo mji Ni balaa
Soma hyo wamashambani
Kama ni viwanda jengeni maana havichangii kuboresha mandhari ya mji ila kuharibu mazingira na kuleta vibaka,hivyo viwanda endeleeni navyo mtazidi kuwa maskini sisi Njombe via TAHA tumeanza mradi wa kukuza maua nadhani unaelewa pesa ya maua
Wewe mbulula vilima na mabonde ndio fahari na hadhi ya Njombe vikiwa vimepambwa na uoto wa asili all over,huwezi kustawi kwenye kimji kinavipara kama hicho kijiji cha makambako
Kweli milima Ni ya kijaWewe mbulula vilima na mabonde ndio fahari na hadhi ya Njombe vikiwa vimepambwa na uoto wa asili all over,huwezi kustawi kwenye kimji kinavipara kama hicho kijiji cha makambako
Hii picha ya mwezi wa 8 na 9,lete picha ya miezi kabla .Afu hapo unaonaje mkuu sio kijani hiyo..Sijui ni eneo gani nitajie nilifahamu naweza pata shamba nikapanda miti au parachichi hapo
Na si maneno kazi inaendeleaKama ni viwanda jengeni maana havichangii kuboresha mandhari ya mji ila kuharibu mazingira na kuleta vibaka,hivyo viwanda endeleeni navyo mtazidi kuwa maskini sisi Njombe via TAHA tumeanza mradi wa kukuza maua nadhani unaelewa pesa ya maua