Ochu
JF-Expert Member
- May 13, 2008
- 976
- 49
na hawa wote wawili ni marafiki wa karibu sana wa kikwete ndio maana wana kiburi sanaManji ni swahiba wa karibu sana na RA huenda hilo ni lao moja.
na hawa wote wawili ni marafiki wa karibu sana wa kikwete ndio maana wana kiburi sanaManji ni swahiba wa karibu sana na RA huenda hilo ni lao moja.
Mgoyangi,
Kwa muda mrefu tumenyamaza kila swala la udhaifu wa vyama unapotajwa. Nadhani ni vema at some stage analysts wakatusaidia kujua sababu za msingi kwanini vyama viko dhaifu. Ziko nyingi kwa mtazamo wangu:-
........
wafanyi kazi kwenye viwanda na sekta mbalimbali wanadai haki zao. Kila moja akifika mahali anapiga kelele mabadiliko yatatokea. Kumbukeni Suharto "alipinduliwa" na wanafunzi kwa kuandamana tu mitaani kwa wiki moja hivi.
...Teh! teh! tehhhhhh!! Malila, sisi tunawaita Hamnazo hawa"Ningekuwa na uwezo ningekwenda niwaombe madaktari wapime Ubongo wa viongozi wa CCM,usikute hamna kitu.Tukawa tunawalaumu bure.
Gazeti letu mahili la mwanahalisi limedokeza hivi:
YUSUF MANJI ndiye mmiliki wa Kagoda agriculture ltd iliyochotewa tsh 30.8 b za EPA. Hii inanikumbusha kauli aliyowahi kutoa Mzee Mengi kwamba "Manji kiburi anakitoa wapi" leo nimepata jibu.Kiburi anakitoa kwa viongozi wa ngazi za juu ikulu/serikali ambao wanamkumbatia kwa kuwa kala nao hela ya EPA.
Nimetoa machozi kupata taarifa za kilichojadiliwa dodoma na CCM nec.
Namalizia kwa ku-quote alichosema mjumbe wa mkutano huo aliyesema:
"mkutano ulikuwa hauna ajenda, ulikuwa sawa mkutano wa hadhara, inasikitisha kwamba wabunge machachari wa ccm badala ya kupongezwa, wanadharauliwa na kutishwa,hakuna lolote la maana pale zaidi ya kikwete kumsafisha lowasa na wenzake"..
Kama unataka kutoa machozi kama mimi soma magazeti ya leo ya mwanahalisi na raia mwema.
Naweka kituo kwa kutamka
"uongozi wa juu wa ccm na serikali wamepoteza mwelekeo".Natamani niende rwanda nimlete kagame aongoze tanzania.
Dr. Slaa,
Kwa nini mapaka sasa hivi hamjafanya maandamano nchi nzima kupinga huu uhalifu unaofanywa na Serikali na CCM? Je, mtaungana na CUF kwenye maandamano waliyopanga, na pengine mtoe hotuba?
Tatizo nini? Mbona wafadhili wengi wako tayari kuwasaidieni.
Mgoyangi,
Kwa muda mrefu tumenyamaza kila swala la udhaifu wa vyama unapotajwa. Nadhani ni vema at some stage analysts wakatusaidia kujua sababu za msingi kwanini vyama viko dhaifu. Ziko nyingi kwa mtazamo wangu:-
a) Vyama dodoki, vilivyoanzishwa kwa lengo la ku destabilize vyama makini. Mifano sasa tunayo mingi. Hutapata muungano au hata ushirikiano wa vyama katika mazingira ya divide and rule iwapo ni dhahiri kuna vyama vimeanzishwa kwa kazi hiyo tu.
ii) Kuna vyama vinatumika na vyombo vya dola hasa usalama wa taifa, kulinda maslahi ya ccm, officially or unfofficially. Inawezekana kabisa kinacholindwa ni maslahi ya watu binafsi ndani ya usalama, na au ni official na hivyo dola yenyewe inavitumia. Siku hizi kumezuka wana usalama wanaoitwa "Kanjanja" kama mmumewasikia. Hawa ndio wanaotumika sana na CCM, kama ilivyofanyika kwenye uchaguzi mdogo wa Kiteto.
iii) Kuna vyama viongozi wakishakatiwa mshiko ndio kazi yao imemalizika.
Katika mazingira haya, wakati umefika sasa Watanzania waelewe kuwa inawezekana kabisa swala la kudai mwungano wa vyama ni swala linalopandikizwa ili ukombozi ushindikane. Katika mazingira hayo, vyama serious au vitashindwa kuungana au hata kufanya siasa kama chama mmoja mmoja. Hata ulichokiita Chama makini kingelianzishwa leo, kama dynamics ya vyama vya siasa katika nchi iliyojaa ufisadi/umafia isipofanyiwa utafiti wa kina na kidhibiti mbinu hizo chafu yote yataishia katika ndoto na au matumaini yasiyotekelezeka.
Nina amini wote wenye mapenzi mema, na watanzania watakapoendelea kuelewa dynamics za siasa na uhusiano wa siasa na maisha yao ya kila siku, siasa vs umaskini/ujinga na maradhi wakapiga kelele za kutaka haki yao. Siku hiyo CCM haitakuwa na lake tena. Siku hizo haziko mbali Wazee wa EAC wanalala kwenye viwanja vya ikulu, wastaafu wa Idara mbalimbali Serikali nao wameanza kulala kwenye viwanja vya ikulu, waalimu ambao siku zote wamekuwa docile wamefika Dar kwa malori na wameanza kudai haki zao, wafanyi kazi kwenye viwanda na sekta mbalimbali wanadai haki zao. Kila moja akifika mahali anapiga kelele mabadiliko yatatokea. Kumbukeni Suharto "alipinduliwa" na wanafunzi kwa kuandamana tu mitaani kwa wiki moja hivi.
Hivi hawa wahindi mbona katika kila ufisadi wapo,hawafikishwi mahakamani wanalindwa na viongozi wa chama na serekali kwa kutumia kodi zetu.Hii maana yake nini !.
Ukugusa EPA,Radar,Richmond ni wahindi wametamalaki.
MiratKad,
Naomba unieleweshe. Hao wafadhili wengi ni wakinanani?
niliyasema siku nyingi haya ya manji na kagoda
Watu wambea tu, wanamwonea RA, ni mtu safi!JK anasubiri Yesu aje amuhakikishie kuwa RA ni fisadi.
Watu wambea tu, wanamwonea RA, ni mtu safi!
Watu wambea tu, wanamwonea RA, ni mtu safi!
JK anasubiri Yesu aje amuhakikishie kuwa RA ni fisadi.