Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal

Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal

kwi kwi kwi kwi kwi.... hao magest leo wanasubiri dondoo tu.. leo haingii mtu sinema bure, leo hampati kitu hata mkipanda juu ya miti... tumeweka bati leo.. babakee... JF inataka mchezo...?

Tuandamane ... mkuu hii ni vunja mbavu;umenifurahisha kwa hii. teh teh teh !!
 
Tuandamane ... mkuu hii ni vunja mbavu;umenifurahisha kwa hii. teh teh teh !!
Mr. Dennis ukweli ni kwamba haya ndo maisha yao na amri zao, wanatuchezea kama watt, oohh mara fedha si za umma,ooh hii hoja ni ya CCm si ya wapinzani, hivi kweli wana akili hao, badala ya kujadili nini kifanyike ili hali hii isirudiwe na na hatua gani zichukuliwe, mizee mizima inayo*&%^%^&% inasimama mbele za umma kubishania umiliki wa hoja badala ya utatuzi wa hoja yenyewe???? jinsi walivo usingizini, watu wazima na akili zao wanaweza wakaamrisha TV zizimwe.... uniujinga na utopia wa namna gani...
 
Mwafika,

Una maana Apson ........... Je ni Mwang'onda au Mwangonda?. Just curious!
 
sasa nadhani muda umefika wa MSEMAJI MKUU WA EPA, BWANA MKULLO atuambie huo umiliki wa MANJI kwa Kagoda uko wapi??? taarifa za Umiliki wa manji soma HAPA
 
Nafikiri Mkuu umeuliza swali zuri sana Dr Kimei atakuwa alikuwa na Mkono wake.

Angalia hili

01j1021795700-Holland

01j1021795701-Azikiwe

01j1021795702-Tower

01j1021795703-Kijitonyama

01j1021795704-Lumumba

01j1021795705-vijana

Kwa experience yangu hizi zote zitakuwa zilifunguliwa tawi moja tu na kuzisambaza.

Tobaaa!!!! Hapa Kuna Jambo!!!!!!
 
sasa nadhani muda umefika wa MSEMAJI MKUU WA EPA, BWANA MKULLO atuambie huo umiliki wa MANJI kwa Kagoda uko wapi??? taarifa za Umiliki wa manji soma HAPA

Mkuu hiyo link uliyoweka mbona the page is unavailable????

Niko gizani kuhusu yaliyomo in this thread, nahitaji kuupata huo mwangaza kama chakula kwa mwenye njaa kali sana....
 
Mkuu hiyo link uliyoweka mbona the page is unavailable????

Niko gizani kuhusu yaliyomo in this thread, nahitaji kuupata huo mwangaza kama chakula kwa mwenye njaa kali sana....

Hata mimi nimeshindwa kuifungua! Kama inawezekana icopy na kuipaste
 
Haya mambo ya kuuziana kesi inatakiwa waangalie kifungu cha sheria, hili Manji alipe pesa na kifungo jela miaka 20, ili akome kununua kesi za watu.

Iko siku Manji naye ataipata. Mtakuja sikia kwamba analia oh na mimi nimetolewa kama Bangusilo. Subiri kifungo kitakapomjia maana anadhani mambo huwa hayabadiriki. Haya tusubiri Mungu wetu atakapoingilia kati na kutoa hukumu.
 
Iko siku Manji naye ataipata. Mtakuja sikia kwamba analia oh na mimi nimetolewa kama Bangusilo. Subiri kifungo kitakapomjia maana anadhani mambo huwa hayabadiriki. Haya tusubiri Mungu wetu atakapoingilia kati na kutoa hukumu.

Nafikiri MANJI ni kati ya wachache wanaosababisha watanzania kuwa masikini anakula badala ya watanzania wengi lakini kuna siku nayeye ataanza kukimbia tu tena kuwakimbia aliokuwa anakula nao.
 
Hata mimi nimeshindwa kuifungua! Kama inawezekana icopy na kuipaste
Mkuu Jobo na wengine...

Mbona naona ipo inafanya kazi?

Angalia kwenye
zip.gif
Kagoda Agriculture_JF_01.zip
 
Hii country ni skendo tupu kiasi najuta kuzaliwa hapa):

Nafikiri zamani tulilala sana mpaka watu wameiba kiasi hiki tukiwa usingizini. Sasa tunatakiwa kuwa macho hakuna kulala tena, maana sasa majambazi tunayajua hata kwa majina.

Sasa nimeamini akina A. masasawe waionewa
 
Hii sasa imefunguka lakini kwenye ile shortcut iligoma! Nashukuru sana mkuu Inv.
 
Malipo hewa kama haya mara zote yanakuwa na mkono wa kigogo au vigogo, kwani haiwezekani kiji kampuni feki tu cha hivi hivi kifanyiwe malipo makubwa hivyo bila sababu.

Ni Mkono Wa Chama Cha Mafisadi. Ndo maana hakuna anayeweza kumwajibisha mwenzake.
 
Huyu Kagoda jamani. Huyu ni shetani yupi? mara Manji mara Rostam! naona huyu ni shetani asiye na umbile kwa sasa lakini yupo na anaishi. Siku moja atakula nguruwe. Hakuna shaka kuna siku tutamuona kwa sura hapa jf. Mwizi na mtiaji shida za nchi hii. Upo mwisho wake.Upo kama aishivyo Mungu. Maana viapo vyao si bure ni hivyo ndivyo vitakavyowafanya wakamatike au wafe kwa pressure wao na familia zao.
 
Nasikia Kagoda wanalipa pia huko EPA, hivi tunafahamu malipo yanafanywa na nani? Inawezekana fedha zinarudishwa na hao Manji na Rostam au ni CCM!
 
Watanzania huwa ni wasahaulifu sana. Magazeti huwa yanapiga kelele lakini baada ya muda ishu zinapoa. hata hii ishu ya EPA itapoa nyie mtaona. Huyo Anne Kilango ana hasira tu za mwaka 2005 pale Chimwaga. Lakini hana uzalendo wowote.
 
Sikilizeni,
Issue ya Kagoda. Kom alitumika tu katika kufanikisha lakini mmiliki halali wa Kagoda with confidence ni ROSTAM AZIZ. Ilipotokea tu soo la EPA ili kuinusuru CCM na viongozi wake, Manji aliombwa aichukue kesi hii na walikutana wakapanga na ikawa hivyo. Hii ni kweli take it from me. Na uamuzi huu uliamumliwa na viongozi waandamizi wa CCM. Sasa jamani sielewi 2010 mipango ya mafyeza ya uchaguzi itakuwaje maana akina RA na Jeet Patel watakuwa wameisusa serikali. Hivi unajua wana EPA wote ni wafadhili wa CCM?
 
Nasikia gavana mpya wa BOT ameshaanza kuwekewa pressure atafute njia za kuipatia CCM mihela ya uchaguzi wa 2010. Kama mlimsikia gavana akizungumzia BOT kutoingiliwa na wanasiasa lengo lake lilikuwa ni hilo hilo kupinga mwingilio wa CCM katika kazi za BOT. Msishangae kama huyu akijiuzulu na kurejea World Bank kabla ya 2010. They never quit!
 
Kama huyu muhindi pumbaf ni yule aliyetoa pesa kanisani hamuoni kwamba watanzania wengi ni mang'ombe? Mr. Rostam Speaking = "Mimi nimetuhumiwa sana lakini mimi mutu safi" - Kanisa = Aaamen...!, "lakini mumeniita niwachangie, na nimechanga" - Aaamen...!, "ina maana mumedharau kauli za wale wanaonishutumu" - Aaamen...!, "na ninyi wote muliopokea hivyo vimilioni 7 ni mapumbaf wakubwa msioona hata kwa taa kutoka mbinguni" - Aaaaaamen...!
 
Back
Top Bottom