Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal

EPA account payments to Kagoda: Revealed: Names of the BoT officials involved

-Internal ’purge’ already in progress

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

AT least four senior Bank of Tanzania officials are understood to have been directly involved in the processing of dubious payments amounting to over $30.8m (approx. 40bn/-) from the BoT’s external payment arrears (EPA) account to Kagoda Agriculture Limited company in 2005, it has been established.

According to THISDAY’s latest findings, the names of the four officials from the central bank’s debt management department repeatedly appear in internal memos and other confidential bank documents supporting the payments to Kagoda.

The officials from the same BoT department are Imani Mwakosya, Esther Komu, Martha Nderimo, and A.A. Chaula.

The findings also show that other senior officials from the central bank’s legal department were also heavily involved in the payments to Kagoda, by approving forged contracts known as deeds of assignment in favour of the payments.

Our investigations have furthermore established that a number of senior officials in both the BoT legal and debt management departments have already been removed from those posts, as part of a ’purge’ of individuals who in one way or another participated in the EPA payments.

Well-placed sources say the senior BoT officials processed the payments to Kagoda under instructions from the late, disgraced central bank governor Daudi Ballali, who is now reportedly deceased and buried in the United States.

The special audit report of the EPA account for 2005/06, conducted by the international auditing firm Ernst & Young, is understood to have recommended disciplinary action against all BoT officials who authorized dubious payments from the key account.

And the bank’s new board of directors, under the chairmanship of new governor Prof. Benno Ndulu, is understood to have already made headway in implementing the report recommendations.

According to informed sources, the BoT management is undertaking its own investigation to establish whether or not the concerned officials were just following orders from Ballali, or themselves also benefited from the dubious EPA payments.

A source familiar with the investigation told THISDAY: ’’The ’transfer’ of officials from the bank’s legal and debt management departments is just a preliminary move, pending further disciplinary action to be taken against those found to have been involved in criminal wrongdoing with regard to the matter at hand.’’

Some of the leaked internal BoT memos reveal how Ballali himself personally authorized payment of over 25.7bn/- to Kagoda, as part of a pay-out exceeding 40bn/- to the mysterious company via a series of forged documents.

Latest findings by THISDAY show that the payments to Kagoda were spread across at least six bank accounts operated by the company at different CRDB Bank branches within Dar es Salaam.

It appears the bank accounts were opened on the same day, and the BoT funds immediately withdrawn after being deposited into these accounts.

The CRDB bank accounts involved (name of branch, account number, and amount of funds deposited) are as follows:

Vijana 01J1021795705 (1.26bn/-), Kijitonyama 01J1021795703 (1.056bn/-), Azikiwe 01J1021795701 (1.26bn/-), Holland House 01J1021795705 (2.32bn/-), PPF Tower 01J1021795705 (more than 702m/-), and Lumumba 01J1021795704 (1.59bn/-)

Our investigations have established that after the payments were confirmed, the monies were swiftly transferred to other bank accounts as part of an elaborate money-laundering operation under the supervision of certain prominent local business tycoons.

Although the names of two virtually unknown individuals - John Kyomuhendo and Francis William ? are listed as directors in the Kagoda Agriculture Limited official registration documents, it has come to light that they were in fact not the real owners of the company, but merely used to formalize legal requirements for registration, official correspondence with BoT, and the forged deeds of assignment.

According to our well-placed sources, immediately after the EPA money was paid into Kagoda’s various CRDB bank accounts, Kyomuhendo and William granted full power of attorney to a local, city-based businessman to handle all matters related to the bank accounts.

The mysterious Kagoda Agriculture Limited company was paid a total sum of $30,732,658.82 by BoT using 12 falsified deeds of assignment it had purportedly signed with foreign creditors of the government.

So far, the ongoing official government EPA investigation led by Attorney General Johnson Mwanyika has been reluctant to reveal the real identities of the beneficiaries of the huge amounts of funds paid to Kagoda.
 
Hivi Mwanyika pamoja na kuwa Attorney General Johnson Mwanyika na kamati yake yote wameshindwa kumukamata huyu sijui (John Kyomuhendo and Francis William) hewa? Nafikiri wakienda vizuri makampuni yake mengi unaweza kukuta ni ya kwetu wote.

Itatakiwa baada ya kupona katika mikono ya richmond aburuzwe sasa na Kagoda.
 
Gazeti letu mahili la mwanahalisi limedokeza hivi:

YUSUF MANJI ndiye mmiliki wa Kagoda agriculture ltd iliyochotewa tsh 30.8 b za EPA. Hii inanikumbusha kauli aliyowahi kutoa Mzee Mengi kwamba "Manji kiburi anakitoa wapi" leo nimepata jibu.Kiburi anakitoa kwa viongozi wa ngazi za juu ikulu/serikali ambao wanamkumbatia kwa kuwa kala nao hela ya EPA.
Nimetoa machozi kupata taarifa za kilichojadiliwa dodoma na CCM nec.
Namalizia kwa ku-quote alichosema mjumbe wa mkutano huo aliyesema:

"mkutano ulikuwa hauna ajenda, ulikuwa sawa mkutano wa hadhara, inasikitisha kwamba wabunge machachari wa ccm badala ya kupongezwa, wanadharauliwa na kutishwa,hakuna lolote la maana pale zaidi ya kikwete kumsafisha lowasa na wenzake"..
Kama unataka kutoa machozi kama mimi soma magazeti ya leo ya mwanahalisi na raia mwema.
Naweka kituo kwa kutamka
"uongozi wa juu wa ccm na serikali wamepoteza mwelekeo".Natamani niende rwanda nimlete kagame aongoze tanzania.
 
Ebo!! naona sasa kale kaugonjwa ketu ka kusahausahau katatibika mwaka huu!!!!!!!
 
This was a long time coming nadhani ni Raia Mwema ndio walivunja hii habari wiki chache zilizopita...huyu Manji naye dawa yake inachemka. Amekubali kutumiwa mara nyingi lakini kwenye hili naona ameamua kujichimbia kaburi...angekubali kulipa fadhilia kwa namna nyingine.
 
Si tuliambiwa kuwa Kagoda ni ya Rostam mbona tena inakuwa ya Manji? Au lao moja? Basi sitashangaa tukiambiwa kuwa Kagoda ilikuwa ya Kikwete!
 
Ningekuwa na uwezo ningekwenda niwaombe madaktari wapime Ubongo wa viongozi wa CCM,usikute hamna kitu.Tukawa tunawalaumu bure.
 
Gazeti letu mahili la mwanahalisi limedokeza hivi:

YUSUF MANJI ndiye mmiliki wa Kagoda agriculture ltd iliyochotewa tsh 30.8 b za EPA. Hii inanikumbusha kauli aliyowahi kutoa Mzee Mengi kwamba "Manji kiburi anakitoa wapi" leo nimepata jibu.Kiburi anakitoa kwa viongozi wa ngazi za juu ikulu/serikali ambao wanamkumbatia kwa kuwa kala nao hela ya EPA.
Nimetoa machozi kupata taarifa za kilichojadiliwa dodoma na CCM nec.
Namalizia kwa ku-quote alichosema mjumbe wa mkutano huo aliyesema:

"mkutano ulikuwa hauna ajenda, ulikuwa sawa mkutano wa hadhara, inasikitisha kwamba wabunge machachari wa ccm badala ya kupongezwa, wanadharauliwa na kutishwa,hakuna lolote la maana pale zaidi ya kikwete kumsafisha lowasa na wenzake"..
Kama unataka kutoa machozi kama mimi soma magazeti ya leo ya mwanahalisi na raia mwema.
Naweka kituo kwa kutamka
"uongozi wa juu wa ccm na serikali wamepoteza mwelekeo".Natamani niende rwanda nimlete kagame aongoze tanzania.

At last wamefanikiwa. Kwa muda mrefu Rostam amekuwa katika jitihada za 'kumuuzia' Manji 'kesi' yake ya EPA. Sasa Manji atakuwa mbeba mikoba mkuu wa kesi zote za CCM. Na watamtembeza kila mahali kama 'mtoto kikojozi'. Lakini wote ni usanii wa hali ya juu kati ya yote ambayo yamewahi kufanywa na Kikwete na wenzake. Usije ukashangaa hata mzigo wa Richmond akaubeba yeye kwa niaba ya Kikwete, Lowassa na Rostam. Wasichojua tu; kwenye mahakama ya umma, ukweli hauzimwi kwa usanii.

Asha
 
Tuliambiwa hapa kwamba Bunge la kikao cha bajeti litawaka moto maana Wabunge wa CCM watalala mbele na Mkapa na Kiwira yake, EPA, Richmond, Mikataba mibovu ya madini n.k.. Nikasema tuwape siku 10 za kwanza tutajua mwelekeo wa kikao hicho. Sasa siku 10 nilizotoa ndizo zinakaribia kukatika na sijaona chochote cha maana toka kwa wabunge wa CCM zaidi ya miujiza yao maana kikao cha NEC kiliamua kuwaficha mafisadi na majambazi wote ndani ya chama cha mafisadi wanaoiangamiza nchi yetu.

Akina Makamba na wenzake ndio maana hawaishi kupigana vikumbo nyumbani na ofisini kwa Manji ili kwenda kuchukua mshiko wao maana wanajua jamaa anazo nyingi alizozipata kifisadi. Kigumu chama cha mafisadi! Kigumu!
 
Si tuliambiwa kuwa Kagoda ni ya Rostam mbona tena inakuwa ya Manji? Au lao moja? Basi sitashangaa tukiambiwa kuwa Kagoda ilikuwa ya Kikwete!

Hii yote ni zuga na kama alivyosema Mkuu MKJJ....bora watuzuge tuzugike....Inasemakana Manji has 'taken one' for RA on the grounds kuwa kutakuwa hamna repercussion zaidi ya kurudisha baadhi ya hizo bn 30...kiasi kamili kitachorudishwa/kilichorudishwa kitakuwa chini ya nusu i.e. bn 15 na nyingine zitasemekana kuwa 'zilipelekwa' kwenye kampeni ya CCM..hivyo kama ni kurudishwa zirudishwe na CCM....na hilo linaeleweka...hakitarudishwa kitu...kwasababu ni kweli jamaa alichangia kwenye kampeni lakini sio kwa hicho kiasi wanachodai..hivyo jamaa watakuwa wamebakia na kiasi kikubwa tuu...more than or about 15bn.... Sasa makubaliano yao na atakachofaidika Bw. Manji sikijui...ila hii ndiyo habari!

Obviously YM amekubali kumsave mwenzie kwasababu yeye ni mwanachama na mfadhili wa CCM tu huku mwenzie..RA akiwa ni mjumbe wa CC, mjumbe wa NEC, mfadhili, na mwanachama mwandamizi wa CCM....hapa unaweza ukaona...kama ni soo bora limdondokee YM huku RA akiendelea kuwa insider na possibly kugundua na kufungua miraji zaidi ya kufuja pesa za wenyenchi..hivyo kuendelea kuwanufaisha hilo genge lao...!
 
sasa ndio tunaanza kuiona sura halisa ya JK, hii stori yote ya EPA sijui Richmond ni ilikuwa kutafuta sifa tuu, sasa kaona au kashtushwa na wezi wenzie kuwa amekosea taratibbu ameanza kujitoa kwa kuwatetea wezi wenziwe, ameshindwa kujua kuwa waTZ wa siku zile si waleo na kwamba anahatarisha usalama wa nchi, hivi na baada ya kujua machafu yao yote anataka kuwafunika?? kuwapamba maua?? mi nashinda njaa, naandamwa na magonjwa, wanangu wanakaa chini wakiwa shule.. bei za vyakula, petroli vinapanda kiholela na mengine mengi yee anatuuzua sura

He will be doing and is doing deadly mistake kuyeyusha hii kesi
 
Back
Top Bottom