Rais kamchagua nani? sema ukweli wa Mungu!Shughuli hiyo muhimu itafanyika kesho Jumatatu Januari 18, 2021na kuonyeshwa moja kwa moja na vyombo mbalimbali vya habari
Shule ya Sekondari ya Ihungo iliyopo mjini Bukoba Mkoani Kagera iliharibiwa kufuatia tetemeko la ardhi la Septemba 10, 2016
Kumbe!?Mbantu kazi yake kuachama domo tuuh
Afu mbantu anataka ikamilike kwa buku na vifaa vyote ya mabara + madawati vifaa vya ofisi mabweni kila kitu yaniShule ya Ihungo
Huku Magufuli huku Al BashiruShughuli hiyo muhimu itafanyika kesho Jumatatu Januari 18, 2021na kuonyeshwa moja kwa moja na vyombo mbalimbali vya habari
Shule ya Sekondari ya Ihungo iliyopo mjini Bukoba Mkoani Kagera iliharibiwa kufuatia tetemeko la ardhi la Septemba 10, 2016
huko undergroud ndiko kuna uwanja wa mpira, ila ukweli ni kuwa hiyo shule imerudiwa upya na wala sio ukarabati kwa haraka naona nyumba 20 za walimu zenye uwezo wa kubeba familia 40 ( 2in 1)shule itakua na madarasa ya underground haki ya mungu tena,sio bure bure asee
Idumu milele na milele, mitano tena na tena.Kazi nzuri sana ya serikali ya awamu ya tank,ccm idumu.daima
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Ndio tunakwenda kuzindua ili mwone aibu vizuri.Hii shule inazinduliwa upya?
Rais amekosa kazi za kufanya....
Usilinganishe hostel na shule mkuu? hahahahaaaaaa, kwenye hostel kuna maabara? kwenye histori kuna vitabu? Kwenye hostel kuna maktaba? Mkuu tuwe serious basi. Kwenye hostel si kuna ni frem za vyumba tu au.Bilion 10 si zilijenga JPM hostel? Sasa iweje hayo mabanda yatumie tena 10bn ukarabati?
Hilo shule kiboko mwanangu.Naomba kuajiriwa hii shule😁, unajua mm kama mwalimu wa kiswahili nitakuwa na furaha sana nikiwa naenda darasani kufundisha mkononi na kutabu cha MATAWI YA FASIHI SIMULIZI
badaye naenda ofisini block D😆😆😆