Kagera: Rais Magufuli kuzindua Shule ya Sekondari Ihungo iliyokarabatiwa kwa Tshs Billioni 10.9

Usilinganishe hostel na shule mkuu? hahahahaaaaaa, kwenye hostel kuna maabara? kwenye histori kuna vitabu? Kwenye hostel kuna maktaba? Mkuu tuwe serious basi. Kwenye hostel si kuna ni frem za vyumba tu au.
Kaka bilioni 10 zisikie tu hivi. Hata kungekuwa na maktaba gani au maabara ya aina gani (hasa kwa shule ya sekondari) tena marekebisho, hizo hela nyingi sana.
 
Kwa hiyo ile michango ya watu kusaidia wahanga wa tetemeko ndio imejenga shule?

Ama pesa za mfuko wa maafa zinazotengwa kila mwaka kwenye bajeti ya serikali ndio zimejenga shule?

Ama ni pesa za serikali zilizotengwa kukarabati shule kongwe mbalimbali nchini ndio zimejenga shule?

Kipi ni kipi haswaa.
hayo maswali yako hata ukipata majibu hayatakusaidia kitu peleka mtoto akasome hiyo shule basi
 
Kuna watu hawapendi kabisa kuona kitu Kama hiki, wangefurahi sana wangeona wanafunzi wanakaa chini hapo ili wapate cha kuisema serikali Ila kwa shule hilo hakika Kuna watu wameumia sana.
hahahaha hahahahhhhhhh, mwaka huu kwa kua vijana wa UV CCM tupo humu tutapelekeshna sana mpaka watambwela tu
 
JAMANI HAPO SIO #CHATO, NI BUKOBA...NI #YONA

Mambo hayo Dkt #Magufuli tutamkumbuka Sana uongozi unaoacha Alama kubwa, hatari kiukweli anastahiri pongezi kubwa mnooo.

Muonekano wa Shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo iliyoko mjini Bukoba inayotarajiwa kuzinduliwa na Rais Dkt. #Magufuli tarehe 18 Januari, 2020.

Shule hiyo imefanyiwa ukarabati uliogharimu shilingi Bilioni 10.9 baada ya kuharibika kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea mjini Bukoba tarehe 10 Septemba, 2016.

View attachment 1679952

View attachment 1679953

View attachment 1679954

View attachment 1679955

View attachment 1679956
Unamsifu Magufuli kwa kutumia fedha za rambirambi?
 
Kaka bilioni 10 zisikie tu hivi. Hata kungekuwa na maktaba gani au maabara ya aina gani (hasa kwa shule ya sekondari) tena marekebisho, hizo hela nyingi sana.
Mkuu hiyo imejegwa upya from scratch neno marekebisho linatumika kwasababu ilikuwa ina exist sio mpya.
 
JAMANI HAPO SIO #CHATO, NI BUKOBA...NI #YONA

Mambo hayo Dkt #Magufuli tutamkumbuka Sana uongozi unaoacha Alama kubwa, hatari kiukweli anastahiri pongezi kubwa mnooo.

Muonekano wa Shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo iliyoko mjini Bukoba inayotarajiwa kuzinduliwa na Rais Dkt. #Magufuli tarehe 18 Januari, 2020.

Shule hiyo imefanyiwa ukarabati uliogharimu shilingi Bilioni 10.9 baada ya kuharibika kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea mjini Bukoba tarehe 10 Septemba, 2016.

View attachment 1679952

View attachment 1679953

View attachment 1679954

View attachment 1679955

View attachment 1679956
Shule ipo bukoba ila cha ajabu mabweni yameandikwa majina kutoka uchagani
 
Back
Top Bottom