Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

Hongera sana Awamu ya Tano mmetuletea na Kimondo...! Kuna haja ya kuunga juhudi mkono[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Asante Mungu kwa kutuongezea fursa za utalii, asante kwa kutuepusha na mazishi sababu tunajua wote waliokumbwa na kadhia watakuwa wamezikwa automatically na kimondo. [emoji89]
 
Habari njema kwetu wanasayansi, tutakuja kukianalyse ili kitupe dataz kuhusu dunia yetu.
 
Hapa Bukoba, means kimefunika mji mzima au? Taja mtaa/kitongoji specific
 
fursa hio watu wa kagera kijijini hapo katerero...
wazungu watakuja kwa wingi...tunaishukuru serikali yetu na mwakani ituletee hata kupatwa kwa mwezi


Tusipokaa sawa Rwanda atanufaika zaidi yetu
 
Back
Top Bottom