Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

Hebu kuwa specific, brother. Unajua ulichokiandika ni kitu hatari sana. Nimejaribu kuangalia source uliyoweka haifunguki. Kama source hiyo ni kweli, Basi huo mshindo haukuwa landing ya UFO, bali ni kuanguka na kuripuka kwa chombo cha UFO. Lakini kwa nini mpaka sasa haifahamiki kimeanguka eneo lipi, au ni majini?.
Nafikiri ni Sahihi kuwa ni Aliens! Aliens wanakujaga duniani kutafuta madini muhimu ambayo yanahitajika huko kwao! Na tegemea wakija kurudi kwao eneo husika litatikisika zaidi maana takeoff force ni kubwa kuliko ya landing!
 
Nikiripotiiii kutoka katerero mm ni mjomba wake zuhura yunus bbc ...

Au inawezekana ni spacecraft imeondoka kwenye njia yake. Hivi karibuni watafiti wametuma vyombo vingi angani kwa ajili ya majaribio, navyo vinaweza kupata itilafu na kisha kudondokaView attachment 948862

Naona hii umeiokota Uturuki.
 
Nafikiri ni Sahihi kuwa ni Aliens! Aliens wanakujaga duniani kutafuta madini muhimu ambayo yanahitajika huko kwao! Na tegemea wakija kurudi kwao eneo husika litatikisika zaidi maana takeoff force ni kubwa kuliko ya landing!
Sasa, ile source inayosema UFO sight in lake Victoria,ndio inanitia hofu, nimejaribu kuitafuta sijaipata ili niisome zaidi. Isije ikawa Lake Victoria triangle. ( Bermuda triangle)
 
Does anyone know if the photo below shared by the Dailynews of Tanzania is of the actual Meteorite that supposedly landed somewhere in Kagera?

Experts looking into meteorite incident

meteroite kagera.jpg
 
Hiyo ni nyota ya Jah wanabukoba walitakiwa waombe chochote wangepata kabla hakijapotea.. Arabuni kiliwahi tokea waarabu waliomba mafuta wakapata jangwani.. Ulaya kiliwatokeaga wakaomba akili wakapata.... Issue Afrika kikitokea watu huombea kimondo na ndio hupata kimondo..tu maana hamna jinsi
 
Nimejikuta Nacheka.ningekuwa mimi ningeomba Niwe raisi wa nchi 😂😂😂😂😂
 
Wataalam wanasema kimondo kilicho na ukubwa wa mile 6 au kilomiter9 kilianguka 65 million years ago na kikaua maisha yote duniani
Kimondo kikiwa na ukubwa wa nyumba kikianguka ardhin kinatosha kuimaliza bukoba nzima
Chumvi uyo mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom