Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,511
- 6,893
utafuatwa na mmarekani popote utakapoficha kende zakokwann mkuu
utafuatwa na mmarekani popote utakapoficha kende zakokwann mkuu
Cha ajabu hizi habri tokea jana iko huku lakini hakuna picha ya hiyo UFO ikiwa ardhini! Bukoba hebu msituangushe![]()
TAHARUKI kubwa imewakumba wakazi wa mkoa wa Kagera baada ya kuonekana kwa mwanga mkali na ngurumo katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo usiku wa kuamkia leo.
Baada ya kusambaa taarifa hizo, Daily News Digital imezungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Gaguti ambaye amethibitisha kutokea kwa tukio.
"Ni kweli kumekuwa na mwanga unaofanana na nyota kubwa katika anga la Bukoba kushuka uelekeo wa Magharibi wa Ziwa Victoria uliofuatiwa na ngurumo wa wastani wa mfanano wa radi," amesema Brigedia Jenerali Gaguti.
SOURCE:HABARI LEO
kwani wao ndio wamiliki wa hao viumbdutafuatwa na mmarekani popote utakapoficha kende zako
Kumekucha...Hii kitu nimeishuhudia huku Simiyu siku ya Jumatatu mshale wa saa mbili kasoro usiku. Ilikuwa mwanga mkubwa uliotembea umbali mrefu halafu tukasikia mlio mkubwa sana kama wa radi na ulipelekea hata kutokea mtikisiko ardhini. Sijui kitu hiki ni nini kwa kweli.
eeehsemeni tu ufo mwenzeni PUTIN anajaribu vyombo vyake, anajua ukraine wataenda kudai meli zao zilitekwa na Urusi
View attachment 949269
View attachment 949270
Hivi e
eeeh
Kimondo si nyota. Ingekuwa ni nyota dunia yote ingekuwa imeyeyuka. Embu fikiria jua likipita karibu hivyo kama kimondo hali ingekuwaje?Kimondo ni nyota kubwa sana, hukaa angani lkn kuna kipindi vinashuka ardhini vikiwa kama jiwe
Nothing like that!kiukweli ukijichanganya ukasema umeziona UFOs itakuwa umesaini hati ya kifo chako
Wanajeshi wetu tayari wapo huko wameanza kujenga ukuta mrefu kuuzunguka mkoa mzima wa Kageraause ingekuwa hivyo NASA wangekuwa washafika zamani sana,wangebeba mizigo hiyo wangesepa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanajeshi wetu tayari wapo huko wameanza kujenga ukuta mrefu kuuzunguka mkoa mzima wa Kagera
Haha!!ngoja nipange safari nikaweze kuona hili jambo la kihistoriaWanajeshi wetu tayari wapo huko wameanza kujenga ukuta mrefu kuuzunguka mkoa mzima wa Kagera