Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

Kuna muda flan mida ya saa 3 au 4 hv usiku..niliangalia juu nikaona kuna kitu flan mfano wa zile baruti zinazopigwa siku ya mwaka mpya kikishuka chini..nikajiuliza hii baruti imepigwa na nani tena..hope ndio kitakuwa hicho kimondo kilikuwa kinaanguka..
Mbona hakuna updates zozote toka jana ni hadithi tu za kalmakengee...
 
Icho kimondo ata mimi nilikiona jana mida ya saa 3 usiku nikiwa sehemu inaitwa Nkome Geita.Ulipita mwanga mkali sana wa kitu kama jiwe kubwa likisafiri angani kwa mwendo wa wastani.kidogo nitimue mbio.
 
Kama cha chenorbynski Russia. Kuna kuwa na ngurumo kubwa yenye mshindo na mwanga mkali kwa muda wa Sekunde chache
 
Scientifically huwa sio kazi rahisi kwa kimondo kuanguka ardhini, wataalam wanasema uwezekano ni ( probability) 1/39,999! na hata ikitokea mara nyingi huwa vinazama ardhini adi kwenye asthenosphere au upper mantle na tukio la hivi halijawahi kutokea kwa takriban miaka milioni 100!, kwa hiyo hili la kagera kama kweli limetokea itakuwa ni fursa kwa young scientist kama mimi kwenda kupata 'shule'

Wataalam wanasema kimondo kilicho na ukubwa wa mile 6 au kilomiter9 kilianguka 65 million years ago na kikaua maisha yote duniani
Kimondo kikiwa na ukubwa wa nyumba kikianguka ardhin kinatosha kuimaliza bukoba nzima
 
Muda sio mrefu kimedondoka kimondo kikubwa saaana hapa Bukoba.

Taarifa zaidi zinafuatia

______________________________________________
Updates

TAHARUKI kubwa imewakumba wakazi wa mkoa wa Kagera baada ya kuonekana kwa mwanga mkali na ngurumo katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo usiku wa kuamkia leo.

Baada ya kusambaa taarifa hizo, Daily News Digital imezungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Gaguti ambaye amethibitisha kutokea kwa tukio.

"Ni kweli kumekuwa na mwanga unaofanana na nyota kubwa katika anga la Bukoba kushuka uelekeo wa Magharibi wa Ziwa Victoria uliofuatiwa na ngurumo wa wastani wa mfanano wa radi," amesema Brigedia Jenerali Gaguti.

SOURCE:HABARI LEO
Zip
 
Wataalam wanasema kimondo kilicho na ukubwa wa mile 6 au kilomiter9 kilianguka 65 years ago na kikaua maisha yote duniani
Kimondo kikiwa na ukubwa wa nyumba kikianguka ardhin kinatosha kuimaliza bukoba nzima
Ukubwa wa nyumba hautoshi
Kimondo cha Chelyabinsk kilikuwa na urefu wa takriban mita 17. Sasa inategemea kinapasuka katika kimo gani. Kama kupasuka kunatokea karibu na uso wa ardhi ni vibaya zaidi. Kama sehemu kubwa haupasuki lkn kugonga kama Mbozi uharibifu utakuwa kiasi.
Soma. Kiolwa cha kukaribia dunia - Wikipedia, kamusi elezo huru
 
Uchawi upo ila Mungu hayupo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wapumbavu hukaa na kujisemea moyoni kuwa Mungu hayupo..!

Ata upumbavu haupo..
Nani kasema uchawi upo?

Get a life.

Mshana Jr. ni mtani wangu, sasa watu tusitaniane kwa sababu some idiot hajui kuchukulia vitu kwa muktadha?

Get the *** out of here.
 
Muda sio mrefu kimedondoka kimondo kikubwa saaana hapa Bukoba.

Taarifa zaidi zinafuatia

______________________________________________
Updates

TAHARUKI kubwa imewakumba wakazi wa mkoa wa Kagera baada ya kuonekana kwa mwanga mkali na ngurumo katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo usiku wa kuamkia leo.

Baada ya kusambaa taarifa hizo, Daily News Digital imezungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Gaguti ambaye amethibitisha kutokea kwa tukio.

"Ni kweli kumekuwa na mwanga unaofanana na nyota kubwa katika anga la Bukoba kushuka uelekeo wa Magharibi wa Ziwa Victoria uliofuatiwa na ngurumo wa wastani wa mfanano wa radi," amesema Brigedia Jenerali Gaguti.

SOURCE:HABARI LEO
hii ni sehemu ya picha.niliyo pata jamaa alikuwa bukoba club
IMG-20181128-WA0001.jpeg
 
Wadau mbona hata vyombo vya habari havija report ili tuweze kujua zaidi hizi habari
 
Back
Top Bottom