Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

Mkuu hivi kile cha mbea sio kimondo kwani?
Scientifically huwa sio kazi rahisi kwa kimondo kuanguka ardhini, wataalam wanasema uwezekano ni ( probability) 1/39,999! na hata ikitokea mara nyingi huwa vinazama ardhini adi kwenye asthenosphere au upper mantle na tukio la hivi halijawahi kutokea kwa takriban miaka milioni 100!, kwa hiyo hili la kagera kama kweli limetokea itakuwa ni fursa kwa young scientist kama mimi kwenda kupata 'shule'
 
Hiyo ni nyota ya Jah wanabukoba walitakiwa waombe chochote wangepata kabla hakijapotea.. Arabuni kiliwahi tokea waarabu waliomba mafuta wakapata jangwani.. Ulaya kiliwatokeaga wakaomba akili wakapata.... Issue Afrika kikitokea watu huombea kimondo na ndio hupata kimondo..tu maana hamna jinsi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wazee wa katererooo hicho kimondo kimepotelea wapi????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wabongo kwa kutafuta kiki za kijinga bhna
 
Hehehe ndio maana sisiemu inaendelea kutawala kwasabu ya watu kama nyinyi. hata kimondo hujui.???

Ni lazima nijue Kiswahili chote... acha ushambaaaaa kama vile kuna lugha moja duniani.
 
Ni lazima nijue Kiswahili chote... acha ushambaaaaa kama vile kuna lugha moja duniani.

Yaani namaanisha watu kama nyie hamna akili, kama mtu hadi leo hujui kimondo ni nini si ujinga huo inaonekana hata ile Elimu ya Shule ya Msingi ya kutoa ujinGa huna.

Ndio mmefanya tufike hapa tulipo..Shenz kweli RuDi shule
 
Yaani namaanisha watu kama nyie hamna akili, kama mtu hadi leo hujui kimondo ni nini si ujinga huo inaonekana hata ile Elimu ya Shule ya Msingi ya kutoa ujinGa huna.

Ndio mmefanya tufike hapa tulipo..Shenz kweli RuDi shule

Utakuwa unatamani ungesoma niliposoma..

Jipige tu vibao vya usoni ulie huku ukiimba kwa Kiswahili.

💀💀💀💀
Unaandika upupwu tu.. vyuma vimekukaza ni shida yako kaa huko na mihasira yako..💀
 
Muda sio mrefu kimedondoka kimondo kikubwa saaana hapa Bukoba.

Taarifa zaidi zinafuatia


______________________________________________
Updates



TAHARUKI kubwa imewakumba wakazi wa mkoa wa Kagera baada ya kuonekana kwa mwanga mkali na ngurumo katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo usiku wa kuamkia leo.

Baada ya kusambaa taarifa hizo, Daily News Digital imezungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Gaguti ambaye amethibitisha kutokea kwa tukio.

"Ni kweli kumekuwa na mwanga unaofanana na nyota kubwa katika anga la Bukoba kushuka uelekeo wa Magharibi wa Ziwa Victoria uliofuatiwa na ngurumo wa wastani wa mfanano wa radi," amesema Brigedia Jenerali Gaguti.

SOURCE:HABARI LEO


Habari zaidi, soma=>Serikali: Kilichoanguka Bukoba mkoani Kagera inawezekana ni Kimondo - JamiiForums
Hatarii
 
Ahsante sana kwa ufafanuzi ndugu Magonjwa Mtambuka.

Je ya wezekana mpaka sasa hakuna hata picha moja iliyoweza patikana ya hichi Kimondo?

Hili ni tukio la kihistoria, natamni sana kuona walau picha moja ya hiki "Kimondo"
Si kihistoria.Vimondo huanguka kila saa, mara nyingi vidogo zaidi, mara kadhaa kubwa au mara chache kubwa Sana. Asilimia kubwa havitazamiwi vikianguka baharini. Nusu vinaanguka mchana kama si kubwa havitazamiwi. Vingi havifiki uso wa ardhi vinaugua hewani. Hiki cha Bukoba hakuna dalili za Kihistoria.
 
Back
Top Bottom