ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,587
hii ni sehemu ya picha.niliyo pata jamaa alikuwa bukoba clubView attachment 949519
Hahahaha
hii ni sehemu ya picha.niliyo pata jamaa alikuwa bukoba clubView attachment 949519
Yaani mpaka sasa hakuna hata picha?
Kakudanganya mkuuhii ni sehemu ya picha.niliyo pata jamaa alikuwa bukoba clubView attachment 949519
Ukubwa wa nyumba hautoshi
Kimondo cha Chelyabinsk kilikuwa na urefu wa takriban mita 17. Sasa inategemea kinapasuka katika kimo gani. Kama kupasuka kunatokea karibu na uso wa ardhi ni vibaya zaidi. Kama sehemu kubwa haupasuki lkn kugonga kama Mbozi uharibifu utakuwa kiasi.
Soma. Kiolwa cha kukaribia dunia - Wikipedia, kamusi elezo huru
Now kalazwa ICU hana hata menoSiyo Mshana Jr. huyo kaishiwa mafuta katika safari zake angani?
Hakunaa habari kama hiyooo...Wadau mbona hata vyombo vya habari havija report ili tuweze kujua zaidi hizi habari
HATA MAMLAKA INAYOHUSIKA HAIJA TOA TAARIFA YOYOTE WALA PICHA. tumpongeze TU mleta madapicha
Kweli kilitokea hadi Mwanza tulikiona!HATA MAMLAKA INAYOHUSIKA HAIJA TOA TAARIFA YOYOTE WALA PICHA. tumpongeze TU mleta mada
Aisee Nina MASHAKA na vifaa na wataalamu wa "TIEMUEYI" yaani tukio kubwa wapo kimyaaaa!Kweli kilitokea hadi Mwanza tulikiona!
Hakikufika chini kiliishia juu kwa juu.Kingefikia magogo ni ingekuwa poa sana walahi
Aaah kumbe kiliungua juu kwa juu???Hakikufika chini kiliishia juu kwa juu.
Kilifika chini maana kulikua na mshindo (mtetemo) wa hatariHakikufika chini kiliishia juu kwa juu.
Kile cha mbozi ilikuwaje kikafika duniani Kikiwa Kizima hakijasambaratika??Kuhusu Chelyabinsk ona Kimondo cha Chelyabinsk - Wikipedia, kamusi elezo huru
Hakuna dalili cha Bukoba kilikuwa kubwa vile.