severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,404
Mbona hakuna aloleta Picha hapa au kimefichwa?
Meteor, au waweza ita shooting star.
Ni mawe makubwa yaliyo na gas inayowaka ndani yake, na gas hiyo huyafanya yasafiri kwa mwendo wa kasi yakiacha mwali wa moto nyuma.
Mawe hata huweza kuwa na ukubwa kuzidi nyumba ya vyumba vitatu na hata yaweza kuwa makubwa zaidi ya hapo.
Acheni uongo wenu sikuhizi mambo hayaendi kihivyo kungekuwa na tukio Kama hilo NASA wangekuwa wametoa onyo week moja kabla kuwa kunakitu Kama hicho kutoka anga za juu kitatua duniani,msitufanye sisiwajinga.Muda sio mrefu kimedondoka kimondo kikubwa saaana hapa Bukoba.
Taarifa zaidi zinafuatia
Hatujawafanyia nyie wajinga Bali nyie WAJINGAAcheni uongo wenu sikuhizi mambo hayaendi kihivyo kungekuwa na tukio Kama hilo NASA wangekuwa wametoa onyo week moja kabla kuwa kunakitu Kama hicho kutoka anga za juu kitatua duniani,msitufanye sisiwajinga.
Nyinyi ndo WAJINGA hamjui hata kudanganya,rudi mkajipange upya.Hatujawafanyia nyie wajinga Bali nyie WAJINGA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna cha kimondo mzee hapoo..Yani leo ingekuwa trendind news dunia nzimaa..![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]Labda katereroo
HahahahahaaHiyo ni serikali ya CCM imeleta kimondo ili kuzima ishu ya mbowe? [emoji16][emoji16]
Hiyo picha ni ya kugoogle, umeitoa hapaKIMONDO kimetua kwa sauti kubwa yakuogofya watu wametoka nje wakidhani ni tetemeko nyumba zimetikisika kwa mshindo mkubwa mpaka sasa niwasiwasi mtupu. View attachment 948550
Shukrani Sana Kwa Serikali Ya Viwanda
Kimondo Ni Maendeleo
Nategemea Tupate Watu Wengi Toka Nje
Yaani mpaka sasa hakuna hata picha?Muda sio mrefu kimedondoka kimondo kikubwa saaana hapa Bukoba.
Taarifa zaidi zinafuatia
Mitandao ilivyoenea TZ hii ndo leo unaanza kusikia habari hizi , pole.Hapana sijawahisikia ndio kwako nasikia