Kagame is very right, kama jamaa ni MNYONGE, HIT HIM UP...
Mbona huku mitaani ipo sana wale jamaa wanyonge wanamegewa wake zao kila siku. Wala sishangai mimi Kagame kutaka kum_Hit Kikwete, its human nature kumdharau mnyonge. Sisi tumejidhalaulisha mno kwa kutembeza bakuli dunia nzima kuomba misaada hadi majirani wanaona tu wanyonge na dhaifu. Hata Simba mgonjwa na dhaifu huvutwa sharubu tu na kukaa kimya.
huiwezi tanzania
Na wewe ni mtutsi inaonekana. Unajua alichokisema Mh Kikwete au unaropoka tu? Be yourself, grow up and be patriotic; otherwise go back to rwanda. You are not welcome here, in TanzaniaMnamtetea nini huyo msema hovyo wa chalinze? Aliyewaambia kagame ana bifu na watz nani? Kwama kauli za ------ nazo hazina hekima wala staha. Again he is a mediocre leader of tz.
Mkuu mbwa ni nani sasa hapo???
Siku zote ukiona mtu mzima anaongea upumbavu mbele ya media au watu dhidi ya kiongozi mwenzake ujue ana matatizo.
Rwanda ni kama sisimizi kwetu, kama anazungumzia vita Tanzania inaweza kuichukua rwanda na kuifanya wilaya kama biharamulo tu.
This idiot must be stopped now.
Kagame ni muuaji na --------, huwezi kukataa kumaliza matatizo na adui yako hata uwe nani labda tu uamini kuwa unaweza kuwaua wote ubaki peke yako. Leo tunaona marekani yenye uwezo wa kuwamaliza kabisa Taleban imekubali kukaa chini na kuongea nao sembuse Rwanda na interahamwe ambao ni wahutu na Rwanda ni nchi yao?
Ukubwa wa pua siyo wingi a kamasi. Hivi unafahamu Uingereza ina ukubwa gani??? Je TZ inaweza kushindana na Uingereza??? Please stretch your brain a little bit more and think properly ndugu.Pumbafu Kagame.
Hit Kikwete. Tanzania huiwezi. Hiyo Rwanda yako Tanzania ni mkoa tu.
:
---- wewe!
Siku zote ukiona mtu mzima anaongea upumbavu mbele ya media au watu dhidi ya kiongozi mwenzake ujue ana matatizo.
Rwanda ni kama sisimizi kwetu, kama anazungumzia vita Tanzania inaweza kuichukua rwanda na kuifanya wilaya kama biharamulo tu.
This idiot must be stopped now.
Kagame ni muuaji na --------, huwezi kukataa kumaliza matatizo na adui yako hata uwe nani labda tu uamini kuwa unaweza kuwaua wote ubaki peke yako. Leo tunaona marekani yenye uwezo wa kuwamaliza kabisa Taleban imekubali kukaa chini na kuongea nao sembuse Rwanda na interahamwe ambao ni wahutu na Rwanda ni nchi yao?
Siku zote ukiona mtu mzima anaongea upumbavu mbele ya media au watu dhidi ya kiongozi mwenzake ujue ana matatizo.
Rwanda ni kama sisimizi kwetu, kama anazungumzia vita Tanzania inaweza kuichukua rwanda na kuifanya wilaya kama biharamulo tu.
This idiot must be stopped now.
Kagame ni muuaji na --------, huwezi kukataa kumaliza matatizo na adui yako hata uwe nani labda tu uamini kuwa unaweza kuwaua wote ubaki peke yako. Leo tunaona marekani yenye uwezo wa kuwamaliza kabisa Taleban imekubali kukaa chini na kuongea nao sembuse Rwanda na interahamwe ambao ni wahutu na Rwanda ni nchi yao?
Some symptoms of mental illness:
Mwenzenu naona kama Mzee Kagame kimeshaanza.Huwa kinaanza hivi hivi!
- Overwhelmed by fear or worry
- Depressed mood
- Confused thinking
- Trouble dealing with stress
- Suicidal thoughts
- Severe anxiety
- Problems sleeping
- Distance from friends and family
- Paranoia
Look at this fool.Ajaribu aone jinsi watanzania tutakavyoungana kumfunza adabu and dump him huko lake Tanganyika.Na sisi tumekua wapole mno maana mimi ningemuonyesha cha moto.Hakuna cha intetnational community!
Rwanda kwa eneo lake ni ndogo kuliko mkoa wa Kilimanjaro ambao ni mdogo kuliko mikoa yote Tanzania. Tutamkanyaga kama kifaranga cha kuku akithubutu! Asidhani kuwa Tanzania ni kama Congo!