Rwanda kwa eneo lake ni ndogo kuliko mkoa wa Kilimanjaro ambao ni mdogo kuliko mikoa yote Tanzania. Tutamkanyaga kama kifaranga cha kuku akithubutu! Asidhani kuwa Tanzania ni kama Congo!
Mimi nitaangalia kwa hadhari kidogo;
- Kwanza itabidi nijiridhishe kama kweli kauli hii imetoka mdomoni kwa Kagame na kama alikuwa anamaanisha Kikwete
- Pili Kagame ana Maadui wengi sana ambao wangependa Tanzania ipambane nae kwa niaba yao - Tatu Kagame simchukulii kama ni mjinga kwa kuzaliwa; alivyokuwa na mazungumzo ya faragha na Museveni na Uhuru lazima aliomba msaada wa Kijeshi ikiwa atavamiwa, na kama kweli kauli hii aliitoa baada ya mkutano ule ni kwamba Tanzania kama kwa bahati mbaya ikifikia hatua ya kupambana na Rwanda kwasababu zozote; ijiandae kupambana na majeshi ya Rwanda, Uganda na Kenya kwa pamoja
Nafikiri Watanzania wenzangu tupunguze munkari na tutumie akili; tumekwenda Kongo kwa maombi ya umoja wa Mataifa ili kusaidia wenzetu wapate Amani, na si kugombana na Rwanda wala yeyote
Tuwe waangalifu kidogo na kauli zetu ndugu zangu, Rwanda wala Kagame si adui yetu.
"NEVEL LET PEOPLE KNOW WHAT YOU ARE THINKING" nimemquote Michael Coleone (THE GOD FATHER)
Mimi ninatofautiana na wewe kwenye red.... Uhuru, heshima na uwepo wa Tanzania unahitaji kulindwa hata kama nchi tatu za Rwanda, Uganda and Kenya zikiungana dhidi yetu. Watanzania wana wajibu wa kujilinda kwa gharama zozote zile. Kwa Muktadha huo tusisite kulinda nchi yetu na heshima ya nchi na Rais wetu kwa sababu ya waovu watatu wanaweza kuungana. Ni vizuri vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama pamoja na Office zingine za kisiasa kufuatilia kauli za Kagame na kuzifanyia kazi kwani ni jukumu leo na letu sote.
Hatuwezi kukaa kimya wakati Rais wa JMT na Commander-in-Chief anazalilishwa na kutukanywa na Rais na mawaziri wa nchi nyingine. We can't afford this anymore! Lazima kuwe na mikakati ya Kijeshi kumthibiti na ya kisiasa kumjibu pale anapovuka mipaka. For our own good he doesn't deserve to be our presidential neighbour anymore even if he stops his slanders now. HE MUST BE OUSTED OUT SOONER OR LATER!
Kauli hii ya Kagame ni lazima ijibiwe kwa umakini na serikali yetu kwani dharau kwa nchi hata kama ni kumuita balozi wake atoe maelezo kuonesha kukerwa na kauli ya kiongozi wao. kukaa kwetu kimya ni kukubali kuwa tumekosea tatizo la viongozi wetu ni kushindwa kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.
mh kikwete alitoa very plain and genuine plan for rwanda to find a long lasting peace,even if that isnt practical why does kagame become so harsh to our president?? he should consider jk to be a person of same high calibre!! we cant be taken aback by this lame intimidation!! nashukuru mungu raisi wetu ni mstaarabu ameamua kua kimya japo uwezo wa kumjibu kagame anao, what kagame is showing now are signs of cowardice!! barking dogs rarely bites!!
Kauli hii ya Kagame ni lazima ijibiwe kwa umakini na serikali yetu kwani dharau kwa nchi hata kama ni kumuita balozi wake atoe maelezo kuonesha kukerwa na kauli ya kiongozi wao. kukaa kwetu kimya ni kukubali kuwa tumekosea tatizo la viongozi wetu ni kushindwa kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.
siku zote ukiona mtu mzima anaongea upumbavu mbele ya media au watu dhidi ya kiongozi mwenzake ujue ana matatizo.
Rwanda ni kama sisimizi kwetu, kama anazungumzia vita tanzania inaweza kuichukua rwanda na kuifanya wilaya kama biharamulo tu.
This idiot must be stopped now.
Kagame ni muuaji na --------, huwezi kukataa kumaliza matatizo na adui yako hata uwe nani labda tu uamini kuwa unaweza kuwaua wote ubaki peke yako. Leo tunaona marekani yenye uwezo wa kuwamaliza kabisa taleban imekubali kukaa chini na kuongea nao sembuse rwanda na interahamwe ambao ni wahutu na rwanda ni nchi yao?
acha uzumbukuku, kwani malumbano binafsi kati ya kagame na kikwete cc yanatuhusu nini watanzania
na tunafaidika na nini?
Ictoshe ww sio mahakama kumweka hatiani kagame kwmba ni muuaji, apo umejilopokea tu mwenyewe,
kuilinganisha rwanda na wilaya ya biaramulo ni ujinga mwingine kama sio utumbo,
kwahiyo jitahidi kufikiri kwa kutumia ur coconut kuliko kutumia ma------ kwani rwanda ni sovereign state. Nafikiri umeelewa wewe gamba.
uzalendo wa Mtanzania upo at all time low,tusiombe vita au tutaona maajabu ya wa tz wakimkumbatia adui. Huo ndio ukweli. jwtz na polisi wa endelee kuwadhibiti wapinzani mtwara, arusha, zanzibar mbeya etc etc wasidhubutu kamwe kufungua war front na Rwanda,Malawi. Time is simply not right. I am done.
Uzalendo!! Ptu! Wantanzania tunatupiana mabomu makanisani na kwenye mikutano ya hadhara mchana halafu watupaji hawakamatwi ndiyo mnasema mna uzalendo?? Huo nadhani ni utani, JK mwenyewe siyo mzalendo na wala hana HURUMA ndiyo maana hajali maisha ya watanzania wanaouawa na na kuteswa bila hatia!!! So far both, Kagame & Kikwete are soldiers so they have elements of TERRORISM!!
Hajasema I will hit THEM, kasema I will hit HIM. Baba anavyopenda kutembea achelewi kumtungua huko jangwani au baharini na hata mabaki yasionekane.
Polisi na jeshi letu kama wanashindwa kuwakamata warusha Mabomu wa hapa wataweza kuwapata majasusi wa kimataifa!!
Kagame and Kikwete again? I think this matter is more of a personal issue and it has nothing to do with any of the two countries. By the way the former is only as fool as the later
Nimechukia mkuu wangu wa nchi kudhalilishwa.Lakini pia ninapata taabu kumwamini Rais JK wa JMT.Mh Kikwete huwa anaongea vitu tofauti na anavyovisimamia na kutendeka nyuma ya pazia.Rejea swala la udini gen election 2010(Prof Lipumba shahidi),halafu msikilize Rais akilikemea hadharani.Tumewaikia CCM wakihamasisha ubaguzi mf ukabila,ukanda,jinsi ya mtu(uchaguzi wa spika 2010).Kagame ni mwanajeshi,kwake kila kitu huiita kwa rangi yake.Anajua Rwanda ilikitoka.
Sijui atampigaje,lakini nadhani ni kumwambia ukweli.Ubaguzi ulioanzishwa na CCM hapa nchini usipelekwe nchi jirani.Tanzania hatuna umoja tuliojivunia(Rejea wimbo wa kapteni(CCM):Wapinzani tuwachinje,tuwachane,tuwatupe)
.....Those people [Tanzanian President Jakaya Kikwete] you just heard siding with Interahamwe and FDLR and urging negotiations negotiations? Me, I do not even discuss this topic, because I will just wait for you [Tanzanian President Jakaya Kikwete] at the right place and I will hit you! He[Tanzanian President Jakaya Kikwete] did not deserve my answer. I did not waste my time answering him It is well known. There is a line you cannot cross, there is a line, a line that you should never cross. It is impossible
It is in these ominous terms that the Rwandan dictator General Paul Kagame threatened to get even with Tanzanian President Jakaya Kikwete, while addressing Rwandan Youth on June 30, 2013 during a summit called Youth Konnect, sponsored by his wife, Janet Kagame.
Relations between Tanzanian President Jakaya Kikwete and Rwandan leaders have soured in the last weeks. On several occasions Rwandan leaders called the Tanzanian President a genocide and terrorist sympathizer, ignorant, arrogant, and mediocre leader. The relations have deteriorated following the recommendation by President Jakaya Kikwete of open negotiations between Rwandan, Ugandan and Congolese leaders and their respective armed opposition in order to bring durable peace and security in the African Great Lakes region....
I think to my opinion Tanzanian government should come up with straight statement either from the horses mouth or from the foreign minister to oppose the threats words from this Tutsi or Hutu president.
Siku zote ukiona mtu mzima anaongea upumbavu mbele ya media au watu dhidi ya kiongozi mwenzake ujue ana matatizo.
Rwanda ni kama sisimizi kwetu, kama anazungumzia vita Tanzania inaweza kuichukua rwanda na kuifanya wilaya kama biharamulo tu.
[\QUOTE]
Tanzania ina ukubwa wa eneo kuzidi mataifa yafuatayo:
1: United Kingdom
2: Israel
3: Germany
4: France
5: Spain
6: Belgium
Hayo tu yanatosha kuktajia. Na kama ni udogo wa eneo basi sema kwamba na hayo unaweza kuyaita sisimizi na uyavamie na kuyafanya yawe wilaya kama Biharamulo!!!!!!!!!
hili si jambo la kushabikia hata kidogo, ni vyema JK na mwenzie Kagame wakayamaliza kidplomasia.
kuna watu huku wanasema vita eti rwanda ndogo ila hawaoni congo na ukubwa wake, vita tubaki kuvisikia na si kutaka kuviona, hatujiuliz tupo salama kiasi gani kama watu wanakufa kwenye mikutano ya siasa na bomu toka china limetupwa ila wahusika mpaka leo hawajapatikana, mapadri wawili wamepigwa risasi ila wahusika hawajakatwa mpaka sana, tindikali na mambo mengi yanayoendelea ila tunaona kabsa tuna uwezo wa kupigana vita... tukumbuke vita havipiganwi na nchi husika tu ila na wapambe wapo na watasaidia kule ambapo kutawaletea neeema namanisha rasmali zetu na soko la silaha.
tuepuka migogoro isiyo na ulazima na jirani zetu hasa huu wa JK na Kagame si waku sifiwa, JK angeweza kumshauri kagame kupitia EAC na personaly na ule umoja wa maziwa makuu na si kwenda kufanya kila alichokifanya, je tujuliza kuna manufaa???? si mambo ya kushapikia haya ila kumalizwa kwa hekima na si kujenga chuki kati yetu wakat tuna mwingiliano mkubwa.
Hili liwe fundisho JK usiwe unaandikiwa kila kitu, wewe huwa unasema akili ya kwaambiwa changanya na yako. we kila unachoambiwa na kuandikiwa unakubali tu, Hongera sana Kagame.
Siku zote ukiona mtu mzima anaongea upumbavu mbele ya media au watu dhidi ya kiongozi mwenzake ujue ana matatizo.
Rwanda ni kama sisimizi kwetu, kama anazungumzia vita Tanzania inaweza kuichukua rwanda na kuifanya wilaya kama biharamulo tu.
This idiot must be stopped now.
Kagame ni muuaji na --------, huwezi kukataa kumaliza matatizo na adui yako hata uwe nani labda tu uamini kuwa unaweza kuwaua wote ubaki peke yako. Leo tunaona marekani yenye uwezo wa kuwamaliza kabisa Taleban imekubali kukaa chini na kuongea nao sembuse Rwanda na interahamwe ambao ni wahutu na Rwanda ni nchi yao?
Nina imani vijana wengi humu ni watoto waliozaliwa baada ya miaka ya CCM. Kama ulizaliwa kabla ya CCM basi unajua madhara ya vita. Na kumbuka vita ya kumtoa nduli Idd Amin tulipigana na akina Museven, Kagame, Sallim (Mdogo wake) na Watusi wengine wengi tu. Wanatufahamu sana ndani na nje na wanajua jinsi ambavyo kwa sasa tumeshajichokea.
Msifanye dharau ya kusema mtaweza kumpiga Kagame kirahisi namna hiyo.
Anaweza ndiyo kuwaachia nchi yote kama Bush alivyoshinda Afghanistan na Iraq ila ukweli hadi leo hajashinda.
HAKUNA VITA NDOGO duniani. Wao sasa Kagame na Kikwete ndiyo wakae wayamalize mezani.
BTW: Hivi hii habari ni ya kweli au wamemlisha meneno KAGAME?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.