Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Status
Not open for further replies.
kagame karibu tanzania halafu kitakachokukuta hata mda wa kusimulia hutaupata .
 
mwanzo wa mwisho wa kagame unakaribia... and he is on a self destruction mode

pole sana kwake... sijui anatumia kilevi gani siku hizi
 
huyu jamaa vipi? anamtishia maisha rais wetu akiwa na maana gani! ole wake
 
acheni kushtuka, kwanza hiyo link iliyotolewa hapo sio verified source, sana sana inawezekana ni ya maadui wa kagame, wanakaa kuchonganisha huku na huku ili wao waweze ku-get back to kagame..., they know wao hawamuwez kagame bt wakichochea ugomvi wa kagame na tanzania, basi ni rahisi kwa vita kutokea and MAY BE kagame akawa defeated... pia hiyo source its a blog tu, ambayo hata wewe leo waweza anzisha na kulisha watu maneno!
inawezekana Kagame kasema kitu kinachofanana na hicho lakini je hivo ndivo haswaa alivosema?can anyone here verify hizi habari bila ya shaka?
 
kagame u stupid and ur family njoo hata kesho.
 
.....“Those people [Tanzanian President Jakaya Kikwete] you just heard siding with Interahamwe and FDLR and urging negotiations… negotiations? Me, I do not even discuss this topic, because I will just wait for you [Tanzanian President Jakaya Kikwete] at the right place and I will hit you! He[Tanzanian President Jakaya Kikwete] did not deserve my answer. I did not waste my time answering him…It is well known. There is a line you cannot cross, there is a line, a line that you should never cross. It is impossible…”“
It is in these ominous terms that the Rwandan dictator General Paul Kagame threatened to get even with Tanzanian President Jakaya Kikwete, while addressing Rwandan Youth on June 30, 2013 during a summit called “Youth Konnect”“, sponsored by his wife, Janet Kagame.

Relations between Tanzanian President Jakaya Kikwete and Rwandan leaders have soured in the last weeks. On several occasions Rwandan leaders called the Tanzanian President “a genocide and terrorist sympathizer”, “ignorant”, “arrogant”, and “mediocre leader”. The relations have deteriorated following the recommendation by President Jakaya Kikwete of open negotiations between Rwandan, Ugandan and Congolese leaders and their respective armed opposition in order to bring durable peace and security in the African Great Lakes region....

source..I will Just Wait For You At the Right Place And I will Hit You, Rwandan General Paul Kagame Threatens Tanzanian Jakaya Kikwete
[URL="http://www.afroamerica.net/AfricaGL/2013/07/03/i-will-just-wait-for-you-at-the-right-place-and-i-will-hit-IMG][/URL]

"I will just wait for you at the right place and I will hit..."

Rwandans are already fighting with tz. Au hamjui mambo ya battalion za JW dhidi M23 huko DRC yamegusa masilahi ya ka Game. Mpango mzima ni kuwa, baada ya kuwapoteza M23 then waibukie Kigali. Nahisi jamaa kishapata tetesi,ndo right place anayosubiria. Subirini mtayaona.
 
bado kidogo kagame atatembea bila nguo kabisa tena mchana kweupe.
 
Mnamtetea nini huyo msema hovyo wa chalinze? Aliyewaambia kagame ana bifu na watz nani? Kwama kauli za ------ nazo hazina hekima wala staha. Again he is a mediocre leader of tz.
 
If this dictator is threatening our president, then he must know for sure that, whatever happens to our president in and out of Tanzania ,he will be held as a number one suspect.
Let him know that we will defend our commander in chief and country with vigour, with vangeance he has never seen before!!. and if he make us troubles, we will indeed make it to him double!.
 
Look at this fool.Ajaribu aone jinsi watanzania tutakavyoungana kumfunza adabu and dump him huko lake Tanganyika.Na sisi tumekua wapole mno maana mimi ningemuonyesha cha moto.Hakuna cha intetnational community!
Huyu jamaa inabidi apelekewe wale migambo wa city tu wanamtosha
 
Kagame is very right, kama jamaa ni MNYONGE, HIT HIM UP...

Mbona huku mitaani ipo sana wale jamaa wanyonge wanamegewa wake zao kila siku. Wala sishangai mimi Kagame kutaka kum_Hit Kikwete, its human nature kumdharau mnyonge. Sisi tumejidhalaulisha mno kwa kutembeza bakuli dunia nzima kuomba misaada hadi majirani wanaona tu wanyonge na dhaifu. Hata Simba mgonjwa na dhaifu huvutwa sharubu tu na kukaa kimya.
 
Anajua nguvu za kupigana na Tanzania hana huyo ni mbwa anayebweka tu,JK usimnyamazie atazoea,leo katukana hivyo siku nyingine atakukana matusi ya nguoni,hata kama ni dhaifu lakini huyu sasa anatudharau Watanzania wote.Anategemea msaada wa Mseveni hajui vita ikianza tu jambo la kwanza ni kuukamata mpaka wake na uganda na kuudhibiti sijui atafurukutaje!!!!???
 
Kimbelembele cha kikwete,mbona yeye hakai meza moja na wapinzani anatuma polisi na sokwe wa mpanda kutamka matamshi ya kijinga"wapigwe tu"udogo sio issu mbona north Korea ni ndogo lakn UsA inavibrate,kwa uzembe wa uongozi twaweza pigwa tu,kama hata mwanamke wa malawi anatutisha
 
Tanzania Nchi yangu imekuwa kama ISRAEL... Majirani wote wanatutolea macho ....


MALAWI - bibie joyce banda anatuchokoza

KENYA- wanaitamani ardhi yetu ..

UGANDA- wamejitolea kabisa eneo la kikao na kuunda umoja wao KKK

KAGAME - ameanza vitisho...


HIVI HAWA WOTE WAKITUINGILIA KWA PAMOJA TUTAPONA KWELI....? INABIDI TUANZE USHIRIKIANO WA KIJESHI NA NCHI ZA KUSINI .....
 
Kagame u r a murder,dictator,stupid,mwizi wa mali za congo,hopeless

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ndugu yangu Kagame

Hapa ninasema haya nikiamini kwamba ni kweli haya yalioandikwa hapa ni maneno yako, ila kama sio natanguliza ombi la samahani.

Hivi wewe ndugu yangu una matatizo gani ?
Mbona hushauriki wala huambiliki ?
Ama mmelishana upepo mlipokutana Uganda (the KKK) ?
Kwa nini unataka kuharibu nchi yako na ukosane na jirani yako ?
Kipi ni muhimu kwako na wanyarwanda ? Ni amani au ushujaa wa kijinga ?

Hebu kaa chini ndugu yangu utafakari haya.

Ule ulikuwa ni ushauri tuu, pima na kama unaona haukufai sii uupotezee ?
Kwa nini tujiingize kwenye matatizo nyakati hizi ngumu ?

Tafakari ndugu yangu Kagame, narudia tena, kama sii maneno yako natanguliza samahani

Respect !!!
 
This loon need to be tought a lesson he wont forget in a hurry.
I think it's time our army starts to do some exercise on lake Tanganyika, fly some jet fighters near the border as a show of force and the idiot will know who we are, We don't need to hit him, just show him who we are!

Kwanza mabomu mengi hayajatumika kwa muda mrafu sana ndio maana yanalipuka hovyo kule mbagala , ni bora yakatumike kama majaribio huko Rwanda border kwenye mazoezi. Halafu kuna faida gani ya kuwa na vifaa vikali vya kijeshi bila kuvitumia? Rwanda can be a good training ground for our soldiers
 
Kama kweli amesema hivi, Kagame mgonjwa wa akili! Huwa mimi maoni yangu ni kwamba watu watenganishe siasa na ukabila, na wakati mwingine nakuwa accused of supporting PK, nikisema chondechonde achene kuwashambulia Watutsi.Lakini sasa kama Kagame amesema haya manneo, basi apigwe! make tumechoka, atakuwa hafai kuwa raisi kabisa! Ila sasa kuna wanyarwanda weeengi ambao ni wapinzani wa kagame, kazi yao ni kuandika kwenye internet anti-kagame propaganda. Moja ya website inaitwa Afroamerican web. Ebu tu google kama hii piece haijaanzia pale. make hii afroamerican forum ni ya genocidaires, ukisoma articles zao A-Z so ni vigumu kupata ukweli...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom