Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Status
Not open for further replies.
Generals, what is our next line of action not defense, our strength is in our ability to hit back and hit hard not to defend from being attacked.

This is what must be put into consideration with TPDF generals. Jakaya Kikwete should sit together with Chief of Difence Force and discuss about this.
 
Huyu jamaa inabidi apelekewe wale migambo wa city tu wanamtosha

Ndugu yangu Lukosi Heshima yako mkuu!!!! Unamkumbuka Mobutu Sese Seko? wa Zaire sasa DRC. huyu alikuwa Mtu wa vita Yeye aliingia kwa mtutu madarakani na utawala wake uliimarika sana tena kwa muda mrefu wengi tunajua.

Katika kipindi chake uovu ulitamalaki sana Rushwa kubwa kubwa na ndogo, watawala hawakutenda haki kabisa nchi iliporomoka sana kiuchumi uonevu mwingi kwa raia ,wizi ujambazi, ukatili,utesaji watu masikini wakaongezeka sana.Mabosi au wateule wote waliokuwa wa Mobutu ndiyo walio neemeka kwa ukwasi na familia zao.watu wengi walifungwa kwa kusingiziwa,dhuluma kibao,pesa ikawa na haki na sauti kuliko mtu na utu wake, uongo mwingi propaganda za kupindukia.Sasa hii si tofauti sana na TZ yetu ya sasa

NB.
Waasi 'Wanyamlenge' walipoivamia nchi ile waliikuta imechoka, upinzani ulijitokeza lakini waasi wakajitwalia nchi kilaini nadhani unakumbuka. watu wengi waliijiunga na waasi wakijua kuwa mkombozi wao kaja na raia ndiyo wakawa wapelelezi wa kuwasaidia wanyamulenge;Hapakuwa na uzalendo ,mshikamano wala uchungu wa nchi yao. Tafakari

Mwisho;Sisi wa TZ tutapataje kupona katika hili la wanyarwanda tusipojali angalizo kuu kama la Mobutu Sese Seko kama vita itazuka kweli!
 
Kuna msemo unaema usipokuwa makini utachekwa hata na mbwa...[/QUO

Kale kajamaa sijui kamesahau rwanda ilikuwa ni eneo la Tanganyika.Asitukumbushe tuanze kudai eneo letu.Ohoooo.
Haya mwache aendelee.Tutamzunguka tukiwa tumeshikana mikono sijui atakimbilia wapi.Na The Hague wanamhitaji sana sijui kama anakumbuka hilo hebu mkumbusheni jamaa yenu.
 
Hili liwe fundisho JK usiwe unaandikiwa kila kitu, wewe huwa unasema akili ya kwaambiwa changanya na yako. we kila unachoambiwa na kuandikiwa unakubali tu, Hongera sana Kagame.

hata kama unamchukia rais kikwete, lkn siyo vizuri kuona rais na nchi yako vinadhalilishwa na kasha ukaunga mkono. huyu kagame hafai kuvumiliwa kwa kauli zake. jk alishauri akutane na waasi. Tanzania tuna fursa nyingi za kibiashara na congo. amani ikipatikana congo, bandari yetu itaingiza mapato zaidi
 
Kwanini haami kuwa tamko alilotoa mara ya kwanza lilitosha? Je atarudia rudia mara ngapi ili aamini/aridhike kuwa amesikika? Nilikuwa namheshim kumbe ametindikiwa na busara kwa kiwango cha juu namna hii!
 
Kaka wanaosema jeshi letu lina nguvu wana refer kipindi tofauti kabisa na wanaosema nchi yetu kubwa nao pia ni wafinyu wa mawazo, ukubwa wa nchi sio kushinda vita. Kumbuka Tony Blair ndiye mshauri wa Rwanda na ana reputation kubwa sana yule mzee na ushawishi mkubwa na anaheshimiana na Kagame kwa sababu kagame anatumia ushauri wa yule mzee. Hawa wanaotaka kutupiga ni wazungu tu walitaka kupitia ziwa nyasa wameona wanachelewa sasa hivi wanapitia Rwanda. Vita ni mbaya, hivi kabla ya vita tuko taabani je tukiingoia vitani mnadhani itakuwaje??? Baba Mwanaisha anahamisha familia yake yote na ndio itakayokuwa nafasi ya mafisadi kuba zaidi. Tukiingia vitani umaskini hautakuja ututoke kwa miaka mingi sana

Mkuu!!!! nakupa Big up ni kweli
 
Huyu Kagame ana matatizo huyu...This insult can no longer be tolerated...
 
Kagame and Kikwete again? I think this matter is more of a personal issue and it has nothing to do with any of the two countries. By the way the former is only as fool as the later
 
Kagame you are still young dont boast urself b'cause u are presedent of a small piece of land,that is not a matter and u must know that,If Jakaya wants to hit u,he can do so within no time and he will no longer waiting for any line to cross as u expect.This is ur last worning,stop ur nosens
 
This is an insult to all of us Tanzanians.... Something should be done. Kwa hali hii tuanze kuufunga Ubalozi wetu Kigali. Hatuna hakika ni kwa muda gani Balozi wetu ataendelea kubaki salama huko Rwanda........

Let's do something Kikwete..
 
Look at this fool.Ajaribu aone jinsi watanzania tutakavyoungana kumfunza adabu and dump him huko lake Tanganyika.Na sisi tumekua wapole mno maana mimi ningemuonyesha cha moto.Hakuna cha intetnational community!

bwana ben najua kuwa huipendi serikali ya ccm. umekua ukiikosoa kila siku. nimependa coment yko kwa sababu imejaa uzalendo na utaifa. imetukanwa nchi na rais wetu na sbb kubwa ni sisi kupeleka majeshi ya kulinda amani congo. sasa hivi kumetulia hamna la m23 wala kagame au museveni. jeshi letu lina nguvu na nidhamu ya hali ya juu. kagame asipoangalia tuna uwezo wa kumtoa madarakani dikteta huyu mkubwa wa Rwanda. ktk mambo ya kimataifa tuwe tunaungana. ktk mambo yetu hapa nyumbani, tukosoane
 
Rwanda kwa eneo lake ni ndogo kuliko mkoa wa Kilimanjaro ambao ni mdogo kuliko mikoa yote Tanzania. Tutamkanyaga kama kifaranga cha kuku akithubutu! Asidhani kuwa Tanzania ni kama Congo!


Kama angesema kuwa analeta majeshi yake ni kwamba tungeweza kusema hivyo. Lakini kwa kuwa amesema tu I will hit you hatujui atatumia mbinu gani kwa sababu hiyo itatubidi tuwe makini na watu wanaoingia humu kwetu na badala ya watu kuhangaika sana na Chadema kuhangaika na usalama wa nchi na rais wetu zaidi.
 
Kiburi cha Kagame ni urafiki wake na Museveni, lakini hayo anayosema ni ya kipuuzi sana, na hana lolote la kuifanya Tanzania. Hii ni jazba.
 
Kawida mbwa hubweka akiwa nyumbani kwake so kwa kauli za Kagame lazm kuna nchi zilizo nyuma yake ndo maana anathubutu kuyanena hayo aliyoyanena, hatuna budi kuwa makini ktk hilo
 
Alichosema Mh JK ni jambo zuri, lakini mahali aliposemea ndipo panaleta huu ukinzani. Mh JK alitakiwa kuzungumza na President Kagame in person na kuangalia msimamo wake, sio kukimbilia majukwaani na kushauri kitu kizito kama hiki. Pres Kagame amesema "I do not even discuss this topic, because I will just wait for you [Tanzanian President Jakaya Kikwete] at the right place and I will hit you" hii ni busara sana. Vita sio ukubwa wa nchi au ukubwa wa jeshi, bali ni vifaa, utaalaam na nidhamu. JWTZ wanalalamikiwa huko Mtwara kwa ku rape wanawake, kupiga vikongwe, watoto, wanawake bila sababu yeyote, no discipline at all, jeshi limegeuzwa tawi la CCM kufanya uchafu. Mnaotaka kujua nguvu na nidhamu ya Kagame, nendeni Rwanda ndipo mtajua jamaa ni jembe.
 
Nia ya kumpiga...!sababu za kumdunda.....!uwezo wa kumgaragaza...!apigwe!apigwe kagame!apigwe tukawaoe warembo wa kitusi na Kihutu!
 
Uganda na Rwanda ni nchi moja. Tukipigana na Rwanda basi tujue tutapigana na Rwanda. Lakini pamoja na umoja wao bado nina amini tutawapiga kama kumsukuma mlevi vile.
 
I have been a vehement opposer on how my President runs the internal affairs of this country but I fully appreciate his efforts to bring peace and tranquility in this region.
I'm not a member of the ruling party to which Kikwete is their Chairman, I belong to the opposition CHADEMA but I remain firmly behind him in this and regard Kagame's remarks as an insult to all Tanzanians.
President Kikwete was right to propose dialogue between feuding factions that contribute to instability in the neighboring DRC and to be perfectly candid, Kagame has been a major source of all chaos in the neighboring DRC by arming insurgents and sometimes invading the sovereign territory of his neighbor.
He once invaded and threatened to overthrow the Kinshasa government only to be stopped by the gallant Zimbabwean Forces.
He is blood thirsty and has been behind several kidnappings, torture and killings of his opponents worldwide.
He has transformed himself to be a dictator of Iddi Amin or Bokassa type and hates any type of criticism.
An attack to Kikwete, be it physical or invasion of our sovereign territory will surely unite us all to get rid of this marauding tyrant now posing as a threat to all his neighbors.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom