Dingi mchafu
Member
- Oct 17, 2012
- 85
- 13
Bila kujali itikad za vyama kama hizi kauli ni kweli basI kagame hana adabu kwa nchi yetu
Wewe mtu,hii ni JF usibishane na watu humu ukadhani hatuna akili.Hii habari imetoka tar 3 july 2013 alafu wewe unasema eti mlijadili huko Wanabidii zaidi ya mwezi while hata hiyo speech Kagame aliifanya tar 30 June 2013.
Hii habari imewekwa Wanabidii tar 9 July 2013 saa 3.12 PM while imetua hapa JF tar 9 July 2013 saa 14.56.
Hiki ndio ulichokuwa unataka? Chukua hiyo!
"Ukitaka kula lazima uliwe",rwanda hapaliki ila bongo shamba la bibi kama congo,rais mzururaji hakuna mfano wake,kwa style hiyo hata akiingia chumbani kwa Obama hawatamzuia coz wanakula,viva Kagame usiliogope Koti ni dhaifu mbaya..mimi nadhani jk haogopi kwenda popote ila pk nadhani yeye anaenda uganda tu na si pengine!!!juzi juzi huko uk oxford wamemtimua kwa mayai viza, huko usa alikoalikwa kwenye college fulani alitokea mlango wa nyuma the hunter has become the hunted!!!!
Subutu, hebu kajaribu kama hatukuingia rwanda na kukakamata.Nadhani unajua kilicho-mHIT President Juvenil Habyarimana wa RWANDA... we have to be very carefull...
Balozi yupo Tz ulitaka asemeje-TumestukaUmemsikia Kagame akisema hivyo au umeambia? Au umeiona kwenye mtandao, ambako mtu yeyote anaweza akaiweka huko? Soma usiwe mtu wa kusimuliwa:Raia Mwema - Rwanda yafunguka kuhusu uhusiano wake na Tanzania
rwanda kwa eneo lake ni ndogo kuliko mkoa wa kilimanjaro ambao ni mdogo kuliko mikoa yote tanzania. Tutamkanyaga kama kifaranga cha kuku akithubutu! Asidhani kuwa tanzania ni kama congo!
uwezo wa nchi kijeshi hautegemei ukubwa wa nchi kijiografia mfano ezrael
simlaumu Kagame....JK amezidi kukaa kimya hata kwa issue serious, ndiyo maana kila mtu anaweza kumtukana na akaendelea kukaa iddle...silent diplomacy has limit. For the sake of his and this country's dignity anapaswa kumjibu Kagame kwa ukali na ampe ultimutum ya kufuta matapishi yake....
Umemsikia Kagame akisema hivyo au umeambia? Au umeiona kwenye mtandao, ambako mtu yeyote anaweza akaiweka huko? Soma usiwe mtu wa kusimuliwa:Raia Mwema - Rwanda yafunguka kuhusu uhusiano wake na Tanzania
Bado ww ni mgumu kuelewa. Nenda wanabidii, soma michango ya watu wote ndo uje tena hapa. Kwan haiwezekani kwamba imewekwa wanabidii mara 2? Au ndo uoga wa vita unakusumbua?
Inaonekana Jf ipo nyuma sana ktk kufuatilia matukio. Mbon hii ishu ilishajadiliwa wanabidii kama mwezi mmoja uliopita na ikaonekana sio ya kweli na serikali kupitia gazeti la raiamwema ikasema sio habari ya kweli?
Guys Kagame alichoongea ni tofauti kabisa na watu wanachoongea humu na wala has nothing to do with Kikwete,hizi ni politics za wapinzani wake,source ya hiyo news ni wapinzani wakubwa na big supports wa FDLR,hakuna haja ya kutoa mapovu
Rwanda kwa eneo lake ni ndogo kuliko mkoa wa Kilimanjaro ambao ni mdogo kuliko mikoa yote Tanzania. Tutamkanyaga kama kifaranga cha kuku akithubutu! Asidhani kuwa Tanzania ni kama Congo!