na wewe unaojua mambo kwa kufuata upepo una chongo ya kufirikiria. kuna mambo ambayo hata usipotumia akili hupati shida kuyajua. kwani wewe ni mtanzania au mnyarwanda. unaijua Tanzania kwa kupitia comment za jf. huijui Tanzania kwa namna nyingine yoyote ile. kama wewe ni mtanzania mwenye kujua nchi yako na kuipenda, huwezi kufurahi raisi wa nchi anatukanwa et kwa sababu tu, kisiasa mnatofautiana.