Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Status
Not open for further replies.
ACHA KAGAME ATUTOLEE HUYU J.K MAANA MIE NAONA NI DIKTETA ZAIDI ZAIDI NA MTU WA VISASI NA UPENDELEO KWA WATU WA DINI YAKE SANA.:embarrassed1:

Akitolewa na wewe utakuwa wapi. Akili kama hizi sio kichwa kimefikiri bali makalio labda
 
Rwanda kwa eneo lake ni ndogo kuliko mkoa wa Kilimanjaro ambao ni mdogo kuliko mikoa yote Tanzania. Tutamkanyaga kama kifaranga cha kuku akithubutu! Asidhani kuwa Tanzania ni kama Congo!
utamkanyaga wewe na kina nani? mtajijua wewe na aliyeongea hivyo sisi hatukumtuma, msituingieze kwenye matatizo, tuliyonayo yanatutosha please!!
 
It seems Kagame's childhood missed total parental care!!! He sounds like he grew up in the midst of culprits

Alikulia kambi ya wakimbizi Uganda japo hiyo siyo sababu ya kumfanya awe KIAZi kiasi hiki!!! Anaongea kama MUHUNI MTAANi na hali ni Rais wa nchi??!!!
 
Ninachomkubali huyu jamaa ni so specific kwa JK! Kagame anaonesha kweli yeye commender in chief na rais wa nchi, sio JK anajiita Amir Jeshi Mkuu lakini anachekacheka tu!

We ndo unavyomuona anachekacheka,ngoja uone sasa upande wake wa pili wa shilingi...
 
utamkanyaga wewe na kina nani? mtajijua wewe na aliyeongea hivyo sisi hatukumtuma, msituingieze kwenye matatizo, tuliyonayo yanatutosha please!!

Fuso pia anafikiria kwa makalio aisee
 
Hii tabia ya JK naweza kuifananisha na baba ambaye anatoa ushauri au ankaua kimbelembele wa kutoa ushauri kwa wenzake juu ya namna bora ya kuishi na familia au kulea familia, wakati yeye familia yake imemshinda...
 
Watanzania mnaifanya issue ya Kagame kama vile mechi ya simba na yanga ambayo ikiisha kila mtu anachukua time yake. Aliyefungwa na aliyefunga.

Hi issue ni serious, wengine wanasema wana jeshi zuri ukiwauliza hawana data, wengine wanasema nchi yetu kubwa hiyo nayo haina mashiko, kubwa so what? wengine wanasema wanatz wana uzalendo hawana data, na wengine wanasema tutamnyongelea mbali hawajui hata uwezo wa jeshi letu.

Wapo wenye data za mwaka 47 ambazo matokeo yake tulishayaona mbagala na gongo la mboto. Na simple research kwenye mikutano ambapo polisi wakituliza ghasia wanaua, huo umakini wetu uko wapi??? mpaka tujisifu?????

Hivyo hili swala sio mpira wa yanga na samba la sivyo itatu cost sana.

Acha kupandikiza nidhamu za uoga..
 
Guys Kagame alichoongea ni tofauti kabisa na watu wanachoongea humu na wala has nothing to do with Kikwete,hizi ni politics za wapinzani wake,source ya hiyo news ni wapinzani wakubwa na big supports wa FDLR,hakuna haja ya kutoa mapovu
 
Guys Kagame alichoongea ni tofauti kabisa na watu wanachoongea humu na wala has nothing to do with Kikwete,hizi ni politics za wapinzani wake,source ya hiyo news ni wapinzani wakubwa na big supports wa FDLR,hakuna haja ya kutoa mapovu

Tusaidie basi kuyaweka aliyosema kagame into perspective kama kweli hao jamaa wamemzushia.
Video ya event nzima hii hapa: Youth Connekt dialogue -- Rwandan Youth Meet President Kagame- Kigali, 30 June 2013 - YouTube kuanzia dakika ya 57 ya hiyo video, anazungumza habari za kuhit somebody, tusaidie tuelewe anamlenga nani?
 
Tusaidie basi kuyaweka aliyosema kagame into perspective kama kweli hao jamaa wamemzushia.
Video ya event nzima hii hapa: Youth Connekt dialogue -- Rwandan Youth Meet President Kagame- Kigali, 30 June 2013 - YouTube kuanzia dakika ya 57 ya hiyo video, anazungumza habari za kuhit somebody, tusaidie tuelewe anamlenga nani?
We usihangaike na Koba si ndio walewale kil siku anajaribu kumtetea kagame lakini kila akimtetea ukweli hujitenga. sijui kaahidiwa ukuu wa majeshi maana kule kwao kila siku wanabadilisha Mkuu wa Majeshi na mawaziri wa ulinzi ajabu wote wanaobadilishwa huwa wanaishia kusepa maana wakibaki kule tayari utasikia wamefanyiwa kama ya Ingabire na Bizimungu. hawachelewi kuwagacaca.
 
simlaumu Kagame....JK amezidi kukaa kimya hata kwa issue serious, ndiyo maana kila mtu anaweza kumtukana na akaendelea kukaa iddle...silent diplomacy has limit. For the sake of his and this country's dignity anapaswa kumjibu Kagame kwa ukali na ampe ultimutum ya kufuta matapishi yake....
 
Mkuu vita ya Kagera vijana walikuwa wanakamtwa na kupewa mafunzo ya kushoot,kulenga shabaha na ukakamavu kwaharakaharaka.Na wengine wanafanywa mgambo.Sasa hivi hawawezi fanya hivyo dunia iko kama kijiji.Kuna kitu kinaitwa draft,ila ikifikia hapo,ni lazima serikali husika iwe inapendwa na wananchi vya kutosha.

nani kakuambia hivyo,wakati wa vita kisheria hata kama wewe ni ofisa serikalini unaweza ukawa drafted kwa nguvu kwenda vitani, na hii sheria iko nchi zote hata huko usa, si unakumbuka enzi zile za vita ya vietnam hata muhamad ali alilazimishwa kwenda vietnam unajua yaliompata baada ya kukataa, na kwa morali wa jeshi bado ni mkubwa juzi juzi niliona usaili wa vijana kwenda jkt huko vijijini wamejitokeza vijana wengi sana kupita idadi inahitajika, kama wewe huna uzalendo nyamaza au wewe ni mtutsi uliyekulia bongo.!!!
 
.....“Those people [Tanzanian President Jakaya Kikwete] you just heard siding with Interahamwe and FDLR and urging negotiations… negotiations? Me, I do not even discuss this topic, because I will just wait for you [Tanzanian President Jakaya Kikwete] at the right place and I will hit you! He[Tanzanian President Jakaya Kikwete] did not deserve my answer. I did not waste my time answering him…It is well known. There is a line you cannot cross, there is a line, a line that you should never cross. It is impossible…”

"It is in these ominous terms that the Rwandan dictator General Paul Kagame threatened to get even with Tanzanian President Jakaya Kikwete, while addressing Rwandan Youth on June 30, 2013 during a summit called “Youth Konnect”", sponsored by his wife, Janet Kagame.

Relations between Tanzanian President Jakaya Kikwete and Rwandan leaders have soured in the last weeks. On several occasions Rwandan leaders called the Tanzanian President “a genocide and terrorist sympathizer”, “ignorant”, “arrogant”, and “mediocre leader”. The relations have deteriorated following the recommendation by President Jakaya Kikwete of open negotiations between Rwandan, Ugandan and Congolese leaders and their respective armed opposition in order to bring durable peace and security in the African Great Lakes region....

source..I will Just Wait For You At the Right Place And I will Hit You, Rwandan General Paul Kagame Threatens Tanzanian Jakaya Kikwete


VIDEO:


Kuanzia dk ya 57



7481088476_5924df4951_b-1.jpg


7478927916_1953f88426_b.jpg


Power corrupts. Absolute power corrupts absolutely. Power has absolutely corrupted Kagame. Advised by Museveni, he will certainly manipulate Rwanda's constitution to seek another term in office. Idi Amin started with similar statements against Tanzania. What followed is now history. Bearing in mind the Amin experience, Kagame should think twice before he does anything ridiculous. Tanzania is more than ready. It seems what he is intending to do, and considering his early upbringing, there are some many similarities with Adolf Hitler.
 
Last edited by a moderator:
Labda sasa Kikwete atamwambia Joyce Banda,'' I will hit you,why do you want to take the whole lake?''
 
Labda sasa Kikwete atamwambia Joyce Banda,'' I will hit you,why do you want to take the whole lake?''
ingekuwa enzi za dingi wako dharau kama hizi tunazofanyiwa zisingekuwepo.
hivi ni kwanini dingi wako hakuweka siri ya kumkataa JK kuwa rais?
 
Kagame kaguswa pabaya ndio maana haishi kutapatapa. Ni mjinga mkubwa asiye na shukrani pamoja na wakimbizi kutoka nchini mwake kupewa hifadhi humu. Nadhani siku zake za utawala wa kidikteta zinafikia mwisho.
 
Kikwete, tunataka kuona kama kwenye hili janga utatutoa kimasomaso. Please Kikwete hivi unavumilia hizi dharau kama balozi wa nyumba kumi?

Fucck Kagame off, kick his buts. Sasa mabomu na silaha zote zinazotumika dhidi ya raia zimserukambe Kagema.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom