AK 47
Senior Member
- May 16, 2013
- 149
- 20
I fully supporting Kagame Tanzania taifa la mfalme juha....chapa makofi Kikwete
Ndio tatizo lenu wakimbizi mliotoroka kambini mkiingia uraiani mnarudia kulipenda taifa lenu
I fully supporting Kagame Tanzania taifa la mfalme juha....chapa makofi Kikwete
Mkuu waeleze hawa vijana wetu wanaoshabikia vita kisa kwasababu eti Kikwete katukanwa. Vijana wenyewe hata JKT na mafunzo ya Mgambo hawakwenda. Siku hiyo vita ikitokea wakatakiwa kwa lazima kwenda vitani vitambi vyao vitawashuka na wengi watasingizia wanaugua magonjwa ya ajabu ajabu.nani kakuambia hivyo,wakati wa vita kisheria hata kama wewe ni ofisa serikalini unaweza ukawa drafted kwa nguvu kwenda vitani, na hii sheria iko nchi zote hata huko usa, si unakumbuka enzi zile za vita ya vietnam hata muhamad ali alilazimishwa kwenda vietnam unajua yaliompata baada ya kukataa, na kwa morali wa jeshi bado ni mkubwa juzi juzi niliona usaili wa vijana kwenda jkt huko vijijini wamejitokeza vijana wengi sana kupita idadi inahitajika, kama wewe huna uzalendo nyamaza au wewe ni mtutsi uliyekulia bongo.!!!
Free advice to the Rwandan dictator Mr Kagame
No matter how hopeless the situation appears, the Rwandan dictator can save his regime but more importantly save Rwanda from another disastrous episode. Here is free advice to the Rwandan dictator.
- Have courage for once and take charge of the Rwandan government for which you were supposedly elected to govern for seven more years. Forget your preferred candidate who will succeed you. You do not know if you will survive your term.
- Put Jack Nziza and company on trial for national and international terrorism after all you claimed in your M15 meeting that such people were acting on their own without your knowledge when they sent killers to eliminate Rwandans abroad.
- Tell your wife to stay out of governmental affairs. She is not an elected official. Let her stay in the business of running NGOs, if she is any good at that anyhow.
- Remove Jeannette Kagames stooges from your office, beginning with Ines Mpambara. Such persons cannot run their own homes let alone complex government machinery.
- Instead of the pathetic conventions that supposedly showcase you as a world leader, prepare for a genuine national convention of all Rwandan leaders, including those you have imprisoned and exiled, and together share wisdom as to how you can save Rwanda.
- Seek for forgiveness from Rwandans who you betray every day by, among other things, living far beyond available national resources, and lastly:
- Stop New Times from pedaling vulgar PR on your grand achievements accomplishments are best experienced than shoved in peoples faces. Most people do not believe this garbage. They laugh at you and your newspaper. Whatever you think you may have accomplished, Rwanda is still the poorest nation in East Africa by any definition, save for Burundi.
Mkuu haihitaji macho kuwaona!Ndio tatizo lenu wakimbizi mliotoroka kambini mkiingia uraiani mnarudia kulipenda taifa lenu
Ye gihako nama ki se?Hili liwe fundisho JK usiwe unaandikiwa kila kitu, wewe huwa unasema akili ya kwaambiwa changanya na yako. we kila unachoambiwa na kuandikiwa unakubali tu, Hongera sana Kagame.
Nakusikitikia ndugu mawe ya nin sasa hujui kama mko ktk nyumba ya vioo kwa taarifa ndugu wa Kihutu wako hapo kigali, Tz,Ug,buja na kongo wanasubir tu neno "Go"siuna jua zao hawasomeki kivile kama kondoo flan- nyie jipen ma hope na gachacha yenuMwambien uyo Dhaifu ajaribu kutia pua Rwanda aone,atakula mateke ya mbavu
Wajaribu waone unafikir Kagame ni sawa na huyo jamaa wenu mwenye degree ya Udhaifu,anaogopa kwenda Rwanda anajua atarudi na maturu na jeshi la mbu la tz wanatambwela..Nakusikitikia ndugu mawe ya nin sasa hujui kama mko ktk nyumba ya vioo kwa taarifa ndugu wa Kihutu wako hapo kigali, Tz,Ug,buja na kongo wanasubir tu neno "Go"siuna jua zao hawasomeki kivile kama kondoo flan- nyie jipen ma hope na gachacha yenu
Sina ushahid na udhaifu wake ila najua Tupo "unofficial" Congo kuziba taratibu O2 yenu!Wajaribu waone unafikir Kagame ni sawa na huyo jamaa wenu mwenye degree ya Udhaifu,anaogopa kwenda Rwanda anajua atarudi na maturu na jeshi la mbu la tz wanatambwela..
Rwanda kwa eneo lake ni ndogo kuliko mkoa wa Kilimanjaro ambao ni mdogo kuliko mikoa yote Tanzania. Tutamkanyaga kama kifaranga cha kuku akithubutu! Asidhani kuwa Tanzania ni kama Congo!
Kwa nini msiwe official zaidi,ilo Koti limembwela kwa Kagame ila kwenye upizani anajibu haraka,kama yeye kidume apeleke pua Rwanda aone kama hutujengi mnara wake wa kumbukumbu ya Dhaifu na sio shujaa,chezea kagameSina ushahid na udhaifu wake ila najua Tupo "unofficial" Congo kuziba taratibu O2 yenu!
Wewe mtu,hii ni JF usibishane na watu humu ukadhani hatuna akili.Hii habari imetoka tar 3 july 2013 alafu wewe unasema eti mlijadili huko Wanabidii zaidi ya mwezi while hata hiyo speech Kagame aliifanya tar 30 June 2013.
Hii habari imewekwa Wanabidii tar 9 July 2013 saa 3.12 PM while imetua hapa JF tar 9 July 2013 saa 14.56.
Hiki ndio ulichokuwa unataka? Chukua hiyo!
Wajaribu waone unafikir Kagame ni sawa na huyo jamaa wenu mwenye degree ya Udhaifu,anaogopa kwenda Rwanda anajua atarudi na maturu na jeshi la mbu la tz wanatambwela..