Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Status
Not open for further replies.
Du,kuna watu hawajipendi dunia hii,we kweli Kagame na ka nchi kako hako kama mkoa mmoja wa tz unatubabaisha ama unataka kujitafutia kifo kwetu na watu wako,
 
Mimi nadhani Kagame shida yake si kauli ya JK.Kuna kitu watu wanashindwa kung'amua. Kagame na M7 mipango yao ya kuendelea kukamua madini ya Kongo inataka kuvugika kwa Upelekaji wa Majeshi yetu Kongo jambo ambao litawaweka wao kwenye hali ngumu kifedha hivyo ni lazima kuanzisha na kuendeleza Propaganda hizi na hasa pakuanzia kumepatikana kauli ya JK.
 
Wizara ya mambo ya nje inapaswa kutoa kauli juu ya hili jambo, sababu tukiendelea kukaa kimya wakati hatujui Kagame anapanga kufanya nini, ni hatari kwa Taifa letu.Mheshimiwa Membe tafadhali tuelezeni watanzania kuhusu hizi kauli za kichochezi za Kagame. Mungu Ibariki Tanzania.
 
Nadahani ni vyema ndugu JK, amawambie mkuu wa wilaya ya Karagwe au Ngara ajibizane na mkuu wa wilaya mwenzake wa wilaya ya Rwanda anayeitwa kagame.
 
waswahili wanasema "mjinga mpe mda" kagame anatapatapa tu, atapambana na tz,report za UN zote zimemuangukia kuhusu vitendo vyake huko mashariki mwa kongo, marekani na uingereza ambao walikuwa wanampa bichwa wamejiwithdraw kumpa misaada, sifa zake kwamba anaendelea kuliko wote ktk ukanda wa afrika mashariki hazipo tena, Kikwete alichokisema c Kigeni, mbona Museveni hakureact kama yeye?..ukitupa jiwe gizani atakaye gugumia ujue limempata!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nakubaliana nawe mkuu:' there must be more to this story than meet the eyes? Haiwezekani mtu innocently kutaka suluhu ya amani akaishia kutukanwa namna hii. Mimi pia ni katika wale wasiopenda uongozi wa JK (kama tutauita uongozi, naona ni kuburuzwa tu). JK pia si mtu serious, challenged mentally na kusema kweli ni mzuri kwa Watanzaniaa tu. Kma alikuwa kweli na imani hiyo angemfahamisha kwanza mwenziwe kwa faragha badala ya kwenda kuonesha u star.
Kuna watu wanaojifutua hapa na kusema tutampiga aakicheza!Thubutu, hawa hawasomi alama za nyakati. Jeshi laa Tanzania la sasa si kama la miaka ya 70, halina imaani, sera wala uzaalendo baada ya kuona mijitu inaharibu nchi naa wao hawapatilizwi. I am sure hakuna mtu atakayepigaana kwa ajili ya magamba. Wee wadhania kinachoishinda DRC ni nini? Si ukosefu wa silaha wala wanajeshi....ni kuwa jeshi halina imani. Wakati huo huo wanapigana na jeshi la Rwanda ambalo, kama Israel, lina itikadi na nidhamu ya hali ya juu. Huwezi kulishinda kipuuzi jeshi kama hilo, uliza Uganda kule Kisangani!

lakini ni jeshi hilohilo la Rwanda likatolewa kamasi na wanajeshi wa angola na zimbabwe huko congo hadi lengo lao la kumng'oa joseph kabila likafail.
 
Katapiga kweli hakatishii,kamezoea kuua haka Kagame,Wacha kaanze noma tukazunguke tukateke tukaweke lockup.
 
Acheni tujenge barabara jamani,vita ya nini tena.Huyu kaongea tu,ingekua kila anayekuongea unapigana nae,basi Marekani angekua kasharusha mabomu kwa nchi kama Venezuela nk.Muacheni aongea mwishowe atakojoa na kulala.Tujenge Tanzania,vita baadaeeeee sana siyo sasa.
 
a

Nafuu umesema asilimia 99 na sio 100! Ungekuwa na busara ungeenda kwanza wanabidii ndo uje hapa unibishie.

Wewe mtu,hii ni JF usibishane na watu humu ukadhani hatuna akili.Hii habari imetoka tar 3 july 2013 alafu wewe unasema eti mlijadili huko Wanabidii zaidi ya mwezi while hata hiyo speech Kagame aliifanya tar 30 June 2013.

Hii habari imewekwa Wanabidii tar 9 July 2013 saa 3.12 PM while imetua hapa JF tar 9 July 2013 saa 14.56.

Hiki ndio ulichokuwa unataka? Chukua hiyo!
 
Ninachomkubali huyu jamaa ni so specific kwa JK! Kagame anaonesha kweli yeye commender in chief na rais wa nchi, sio JK anajiita Amir Jeshi Mkuu lakini anachekacheka tu!
Kagame atambue wazi tofauti ya watanzania kwa ndani ya nchi siyo sababu ya kutengana katika kumshughulikia ajaribu aone moto utakavyomuwakia mpaka katika kitanda anacholalia, katika hili watanzania ni lazima tushikamame si fedheha ya JK ni yetu sote
 
Nimeongea na watu wa Rwanda, hawakupenda kabisa maneno ya Kagema. Kagema is a dictator, thinks he know everything. Anafikiri support ya mjombake M7 itamsaidia. Lakini nani ataumia, yeye atakimbilia Ubelijiji na kuacha watu wakiumia. Apuuzwe ni kichaa, --------, ----- na jasusi uchwwara
 
hiviii...kagame ni nani hasa ukiondoa kuwa raisi wa nchi ndogo ya rwanda?...

A landlocked country inayotumia bandari ya mombasa kenya na dar es salaam tanzania kuingiza bidhaa zake na hasa za kivita in case wakianzisha vita na tanzania.

Mbona strategically kagame tushamshinda vita anayotaka kuianzisha dhidi yetu....anajuwa kuwa hata uhuru kenyata alipata urais wa kenya akitokea tanzania alikopewa mbinu za kiushindi na serikali ya ccm?
Atapitisha wapi silaha zake ili atushinde vita sie watanzania??..je anajuwa kuwa kila silaha aliyonayo sie tunaijuwa kwa sababau alipitisha nyumbani kwetu wakati kazinunua?

Je ..hajiulizi kimya chetu kinamshindo gani..coz tunajuwa rafiki yake wa karibu/mjomba wake museveni ndiye tegemeo lake kwenye vita hii anayoinunua...na je anajuwa tunafikiria kuwachapa wote kwa mpigo na kwa kushirikiana na rais wetu uhuru tunazuia silaha zisipite mombasa kama tulivyomdhibiti idd amin enzi zile za kenyata?

Muambieni kagame..uwepo wake kama rais wa rwanda unategemea huruma yetu sie tanzania na kwa kiasi fulani kenya pia .... Ila kenya nao wanakuwa makini na watu hawa coz waganda wameanza chokochoko huko migingo.

Kwa simple analysis ya war infrastructures and logistics nashindwa kumuelewa "kagame ni nani" mpaka tukae tukijaza server ya jf kwa post nyiiiiingi wakati he is a closed chapter and thats what keeps jk quite over his nonsense utters.
 
eee bwana unawajua lakini hao wahutu tabia zao, kwa mimi ninavyo wajua hao waasi wa 1994 genocide hawafai kabisa wao wapo radhi mkafanya urafiki miaka hata 100 lakini lao lipo moyoni siku wa kilipuka ni majuto yaani kwa ujumla watu wa rwanda si wa kufanya nao urafiki hata kidogo aidha uwe inferior ndiyo mambo yatakuwa sawa . fuatilia historia ya kagame na kuchukua kwa nchi tangu alivyokuwa ana jifunza u commandoo na mpaka ushiriki wake katika taifa la uganda utafikiri ni mganda , aim kubwa ni kuja kuwa president wa rwanda na wahutu walalijua hilo na kumkosa kumuua antwerp , khartoum na alitembea kutoka msitu wa uganda mpaka rwanda na kukutana na kikosi cha watoto wa RPF kabla hajachukua nchi . kwa hiyo kagame yupo right sana kwa maamuzi na ni miongoni mwa macomando waliofanya vizuri sana huko marekani mpaka USA wanamkumbali enzi za mafunzo yake kumbuka hata mafunzo alikuwa hajakaribia kumaliza lakini USA walimpa baraka kwenda kukomboa nchi na kwa kuwa historia ya nchi na watu wake anaijua ndiyo maana mnyarwanda ana kawaida ya kutosuluhishwa mfano angalia hapo NGARA , au oa mke wa kitusi , au fika rwanda ingia disco na pata mwanamke halafu muache huku anakupenda utaona cha moto. ila kingine kizuri kwetu TZ ni ukimya wa kikwete kwa sababu ameonyesha kumpuuza na ndiyo kitu kinachowauma sana , juzi kaitisha kikao cha uganda , kenya ili wasipitshe mizigo kwetu sisi kimya saaafi sana .

Kweli mkuu uliyo yasema as if nawe umetokea kanda ya ziwa nilisha kuwa na mahusiano na myarwanda mmoja mwanzoni tuu alinionyesha style fulani nikastuka haraka sana na mtu akanidokeza kwa makini na nimyarwanda wa kiume aliniambia kuwa makini na hao dada zangu nawajua nika katisha kabisa mahusioano.

Mbali na hilo Kagame ile kuitisha vikao vyao yeye kenyata na museveni tulikijua fika na wanajifanya wana jua sana Poa hii nasi tutajipanga ingawa inatuuma kiasi fulani ila upande mwingine Museveni anatambua fika wapi alitoka na ndio maana haongei kabisaaa ako kimya kimya me nadhani imefika sasa muda viongozi wetu tuwe very strong kwenye hii EAC na hao wote wanaogopa kabisa wana mashaka nasi kuwa twaweza toka any time kwa EAC maana kuna mikutano mingi inayo endelea huku arusha baadhi ya wajumbe ukiwauliza wana dai kuwa kuna tetesi TZ twajiandaa kujitoa na hiyo kwangu ni bora nasi tujipange kiuchumi najua hawa wote walio tuzunguka sie ndio mama na baba zao na tukifunga boarder zote kimya kina isha chote, Sasa ni jinsi sisi serikali yetu kujipanga na kuacha gutter Politics its a time to focus.

Kagame anataka kujifanya anajua history sana ili ajibatize kwa maovu aliyo yafanya huko nyuma aonekane yeye ndie mwema na hajuai kilicho tokea.

Sawa nasi tunakungojea sasa When it comes Counrty First we all in the same side we'll HIT YOU


 
hapa chama tunaweka pembeni thn 2dscusss issue za utaifa . kagame lazma adhibitiwe wala c wakumtetea coz z mtu mzuri hata kidogo ktk amani ya nchi .
 
KUNA MCHEKESHAJI MMOJA ALIKUWA ANAMUELEZEA BRUCE LEE, HE SAID " HE WAS NOT A BIG GUY, 5'7FT BUT HE WAS A FIGHTER, WHEN HE CAME AT THE DOJO,and HE JUST ASKED THOSE GUYS(MANY) IF THEY WANT TO FIGHT 1 BY 1 OR ALL TOGETHER.. bruce ALIJIAMINI NA NINI???, so cha kujiuliza ni kuwa 1. Bruce anaweza akawa alikuwa amejifunga bomu mwilini, na ndio maana alikuwa anajiamini pamoja na udogo wake kwamba atalipuka na nyie wote BUT 2. Labda kweli ni anagawa dozi kisawasawa na ndio maana hakuogopa kuwaambia waje wote kwa pamoja. SO kwa KAGAME SIO KWAMBA HAJIJUI KWAMBA YEYE NCHI YAKE NI NDOGO(MKOA WA TZ) ANALIJUA VIZURI TU, NA HATA YULE MAMA WA MALAWI NA ANAJUA KABISA KUWA KANCHI KAKE NI KADOGO KABISA....CHA KUJIULIZA HAPA NI KUWA PAMOJA NA KULIJUA HILO KWANINI KAGAME ANAJIAMINI KIASI HIKI......ndio kama BRUCE LEE alivyokuwa anajiamini hivyo pamoja na udogo wa umbo lake........sio tu mnapiga kelele za oooh kanchi kale kadogo mara nini....jiulize swali moja je ni KIPI KINACHOMPA JEURI...ukishapata jibu na liwe sahihi na sio la kishabiki, ndio uje uongelee la ukubwa wa nchi, coz kagame anajua kuwa nchi yake ni ndogo yeye sio mjinga kwamba halijui hilo......
MY TAKE:1. kagame anaweza akawa na watu wake TISS, JWTZ, POLICE nk. so anajua kila linaendelea TZ in terms of usalama. 2. Kama alivyoandika MTIKILA kwenye makala yake kuwa kagame anajipa jeuri coz anasema watanzania wananunulika kirahisi sana ( rushwa) tunaona hata kwa viongozi wetu, wakionyeshwa hela tu roho zinawatoka....je tutapona. 3............4............5............ mtaendelea....unadhani kwanini anajiamini hivyo?
 
Kauli za kukingana kidiplomasia ni kawaida kwa Banana Republic zetu hizi...

Rwandese political leadership is too emotional and sensitive about its past and uses it arrogantly to justify its diplomacy very much like Israel (Where the jews believe they are the victims of history and all humanity should heed to their senseless needs, Kagame and his RPF ideological machine believe the same in the great lakes region). The main difference btn the two societies is that while Israel is a Middle eastern Superpower, Rwanda is not a superpower in the great lakes region and the hoards of Hutu extremists and nationalists within and outside Rwanda are waiting patiently for any distraction to take over Rwanda again. Kagame should be more diplomatic in his approach on this note and not the one picking up little fights here and there.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom