Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Status
Not open for further replies.
Inaonekana Jf ipo nyuma sana ktk kufuatilia matukio. Mbon hii ishu ilishajadiliwa wanabidii kama mwezi mmoja uliopita na ikaonekana sio ya kweli na serikali kupitia gazeti la raiamwema ikasema sio habari ya kweli?
 
KWENYE HILI LA KAGAME ....MIMI NITAMUUNGA MKONO KIKWETE ...HATA KAMA INGEKUWA KIKWETE NDIO KACHEMSHA....

LAZIMA TUWE WAZALENDO PALE KIONGOZI WETU ANAPOSHAMBULIWA NA WATU WA NJE ......YEYE NDIO NEMBO YETU.......HAKUNA MTU WA NJE MWENYE KIBALI CHA KUMSEMA RAISI WETU.........SISI WATANZANIA PEKEE NDIO TUNAYO HAKI HIYO........NA ASIFIKIRI KWA AJILI TUNAMPIGA MAWE KWENYE "yetu" ....Tutamuunga mkono yeye ...Kagame....WATANZANIA TUNAUNGANA DHIDI YA ADUI YEYOTE.........


Rwanda kuna wapinzani ambao wako tayari KUUNGANA na yeyote ili kumuuangusha....ila Tanzania hakuna yeyote aliyetayari KUUNGANA na Wageni dhidi ya nchi yetu...Sisi tunawaweka viongozi kwa Kura tu!!!!!

NASHAURI WATU WA IKULU WAMWAMBIE RAISI ASIMJIBU LOLOTE KAGAME.....DHAHIRI HAYA KWA MAFUMBO........HATA WIZARA YA NJE WASIMJIBU CHOCHOTE .......KAZI HIYO IPEEEWE WATU WENGINE....JUNIORS ....KABISA....

 
hha ahaha ahahah.....acha kutoa mapovu wewe ,ndio nyie mnasikia umetukanwa na jirani basi huulizi na unajifanya una hasira kuliko na mtaa mzima haukaliki,wajanja wamewapata this time na huko walipo wanacheka mbavu hawana wakisoma mnachoandika humu


Wewe shukuru bado unaishi kama mkimbizi, huwezi kurudi kwenu umebaki kulialia kama kasuku. Pauli hatakupa cheo ng'o ...... .... endelea kumtetea lakini dunia nzima inafahamu siku zake zinahesabika. Umesoma kiroboto wako alivyosema au umeamua kubwabwaja kama kawaida yako? Au andika basi alivyosema kiroboto wako.

FYI hakuna hata nchi moja inayotuzunguka ambayo ina ubavu wa kutubabaisha kwa njia yoyote ile - Fact. Nyie pigeni majungu hapa mkifikiri sisi tumelala, mipango yenu yote inajulikana kama mlifikiri tumelala mnajidanganya.
 
Excuse me mr/mrs mimi sio msemaji wa Rwanda ila kwa mwenye akili anayeijua Rwanda angeangalia ile source tuu angejua whats going on

Mnajiitaje great thinkers while you cannot google? Kuna source nyingi tu zilizomnukuu kagame akisema maneno haya. Sasa mnataka na hizo tuwaletee? Pambaf sana. Msiwe kama ikulu ya tanzania ilikaa kimya hata baada ya kutolewa vitisho ya kagame!
 
Siku za Kagama zinahesabika. Siku zote mtu anapokaribia mwisho wa maisha yake duniani uwa anafanya vitu vya hajabu na kuweweseka. Huyu mtu aliua sana na bado anazidi kuua watu wanaomkimbia kwani hataki waseme ukweli juu yake, tunamuhesabia tu siku zake.
 
Mnajiitaje great thinkers while you cannot google? Kuna source nyingi tu zilizomnukuu kagame akisema maneno haya. Sasa mnataka na hizo tuwaletee? Pambaf sana. Msiwe kama ikulu ya tanzania ilikaa kimya hata baada ya kutolewa vitisho ya kagame!
ha ahaha ahaha ahah...unajifanya unajua kumbe lodi rofa tuu,kaa kimya!!!
 
Rwanda kwa eneo lake ni ndogo kuliko mkoa wa Kilimanjaro ambao ni mdogo kuliko mikoa yote Tanzania. Tutamkanyaga kama kifaranga cha kuku akithubutu! Asidhani kuwa Tanzania ni kama Congo!

labda anataka kumdungua kama Habyalimana lakini ajue kwa kitendo hicho atakuwa amerasimisha vita na sisi!
 
Umefika wakati wa Kikwete na yeye kusema neno. Kuendelea kukaa kimya akuna manufaa kwake wala Tanzania
 
hold on guys and take it easy,kabla hamjaanza kutoa gas zenu angalieni source ya hiyo news kwanza ndio mtaelewa whats goin on? Naona hapa mnaingizwa king bila kujua na wengine tayari naona mko tayari kwa combat,the fact is hiyo blog/site ni ant rwanda and big supporter wa fdrl and as a matter of fact theres no such thing kagame alisema or anything close na kilichoandikwa,presidential transcript ya huo mkutano ipo na wala haikuwa secret,hiyo website inajiita afroamerican lakini everything is about ant rwanda/tutsi,well,naona hate propaganda za fdlr zinaanza kufanikiwa jf,angalieni nyie msije mkaingizwa kwenye ugomvi usiowahusu


hilo pia tuwe makini nalo ...lazima wapinzani wa kagame watajitahidi kutia chumvi ili kuchomganisha ....kwa sababu wanajuwa watanzania system yetu ikichukia inao uwezo wa kumuondoa kagame madarakani...anytime anytime !!!!!!

Kagame anayo pesa kuliko hata serikali yake .....na pesa yote hiyo anaipora congo....ndio maana anamuambia kikwete ameingilia mstari wake na kuuvuka!!!!
 
udhaifu wa Rais wetu ndo unasabisha hata majirani wanatupanda kichwani!, katishwa na mwanamke kakaa kimya, anatushushia hadhi Tanzania yetu!
 
Kanihadithia dada yako juzi alipokuja kunifanyia Massage. Ila inawezekana pia nikawa muongo maana ndiyo first time WASIKIA.

HONGERA X-KIZIWI kwa kusikia hatimaye neno MIAKA 5.
Wacha uongo wewe hiyo 5 umeipata wapi? First time nasikia miaka 5 hapa JF au ulihadisiwa?
 
Wakuu.
Mbona tunapotoka hivi.
Kama Kagame kayasema haya kweli
Basi hiyo itakuwa ni issue binafsi kati ya KJ na Kagame
Ya nini kutuingiza wa Tanzania kwenye migogoro ya watu binafsi????
 
Inaonekana Jf ipo nyuma sana ktk kufuatilia matukio. Mbon hii ishu ilishajadiliwa wanabidii kama mwezi mmoja uliopita na ikaonekana sio ya kweli na serikali kupitia gazeti la raiamwema ikasema sio habari ya kweli?

Acha fix wewe! sio hii! asilimia 99 ya wanabidii ni member hapa.
 
labda anataka kumdungua kama Habyalimana lakini ajue kwa kitendo hicho atakuwa amerasimisha vita na sisi!

For the sake of exisistense of his cronies ....He dare do that!!!!......hao wafuasi wake wote watafutwa....na uchaguzi huru utafanywa...
 
Ni rahisi wewe kumtonya maana wengine sasa hivi tupo huku Kamchatka na kesho naingizana zangu ziwani Baikal kula Samaki.
Mkuu usipate mfadhaiko, Kagame anahara na anajua fika anachoweza kukikabili, pindi akituchokoza.
Kama uko karibu naye mtonye.
 
Wakuu.
Mbona tunapotoka hivi.
Kama Kagame kayasema haya kweli
Basi hiyo itakuwa ni issue binafsi kati ya KJ na Kagame
Ya nini kutuingiza wa Tanzania kwenye migogoro ya watu binafsi????

Acha hizo ...Yeye alifikirii akimu address JK ..peke yake .watanzania watakaa kuangalia Rais wao anatukanwa...Kama anataka kumtukana binafsi tuwe kimya asubiri mwaka 2016....akiwa Msoga ...ndio awake nae bifu Sio Sasa!!!!!!
 
Wangekuwa ni CHADEMA ungesikia akina Mwigulu kuja front na Dhihaka Kibao tu.
Lakini kwa Kagame Kimyaaaaaa.
Sasa watu wakitaka Kumtusi JK watakuwa wanamtumia Kagame
 
Tukae kimya vijana wapo congo pale na ni hao hao watafagia njia mpaka kigali.na baada ya hapo huyu bwana hana pa kukimbilia.kagera hawezi kigoma hawezi,uganda anajua kabisa museveni hacheui kwetu hivyo halali yake itakua ukimbizi na the hague inamngoja.
 
Acha hizo ...Yeye alifikirii akimu address JK ..peke yake .watanzania watakaa kuangalia Rais wao anatukanwa...Kama anataka kumtukana binafsi tuwe kimya asubiri mwaka 2016....akiwa Msoga ...ndio awake nae bifu Sio Sasa!!!!!!

Sasa wa Tanzania mbona mnaishia kutoa Povu tu hata.
What is the next Move.
Kagame ndo kashatukana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom