Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Status
Not open for further replies.
Jamani kama Watanzania hatupaswi kupuuza alichosema, tujipange kwa lolote hawa Warwanda wapo wengi Tanzania na wengine wamekuwa Raia wa Tanzania na Wanashirika lao la ndege linakuja Tanzania wanaweza pitisha vitu na ikaja kula kwetu.

Dont under estimate your Opponent.
 
Kagame Punguza maneno au ujaribu kufuta kaulizaka ambala cvyo unawaingiza matatizoni wananchi wako waishio Tanzani
 
Naambiwa Kagame napata refernce nyingi toka humu JF na anapata MATUSI mengi ya KUTUTUSI na KUMKOSEA heshima JK maana watu wake wenyewe tunamtusi
 
Rwanda kwa eneo lake ni ndogo kuliko mkoa wa Kilimanjaro ambao ni mdogo kuliko mikoa yote Tanzania. Tutamkanyaga kama kifaranga cha kuku akithubutu! Asidhani kuwa Tanzania ni kama Congo!

hahaa, nani aliyekuambia ukubwa wa kichwa ndo wingi wa akili..Kikwete ni mlopokaji anaingilia mambo yasiyomuhusu, mbona Kagame yy hajaingilia mauji police wa serikali ya kikwete wanayofanya kwa raia?
Kagame hata kwa dawa hapigiki, jamaa ni kichwa ndo maana nchi yake kaiendeleza kuliko sisi..Katoka katika vita vya wenyewe 1994 lkn angalia sisi hakuna hata cha vita lkn uchumi wetu ni aibu..
 
Kichaa sio lazima uvue nguo au uokote makopo. Huyo jamaa Kagame ni kichaa. Mwacheni na ukichaa wake
 
Rwanda kwa eneo lake ni ndogo kuliko mkoa wa Kilimanjaro ambao ni mdogo kuliko mikoa yote Tanzania. Tutamkanyaga kama kifaranga cha kuku akithubutu! Asidhani kuwa Tanzania ni kama Congo!

Udogo wa eneo na uchache wa watu haina maana udogo wa uwezo wa kivita. Rwanda is very very good in military; it has invested a lot in military. In fact, it has invested more than any country in East African community. Ulaya kuna wanyarwanda wengi kwenye military academies, mtoto wake pamoja na vijana wengi wa Kitusi wamesomea USA in renown military academy. Na wao wanajua kuwa wamezungukwa na maadui kote, kwa hiyo they seriously study military sio kama vijana wetu hata kwenda nje kusoma military wanachaguliwa kwa kujuana na wanaenda huko kutafuta pesa na sio mafunzo. Lakini pia Rwanda imekuwa kwenye vita muda wowote. Nilikuwa naongea na rafiki yangu mwanajeshi anayesomea mafunzo ya jeshi la anga huko Uingereza ananiambia kuwa Rwanda haihitaji hata wiki moja kuiangusha serekali ya DRC anasema makomandoo wao wengi wamejaa Kinshasa, Dar es Salaam na Kampala tayari tayari. Ila hawajafika tu Nairobi. Baada ya yule professor wa chuo kuuawa ndio nikakumbuka maneno ya huyu jamaa.
 
Wacha JK atusiwe kayatafuta mwenyewe, maji yasiyo kuhusu unayavulia nguo ya nn..Alitaka kuonekana anajua ndo maana huwa mlopokaji..Kagame hakuna wa cha kumfanya, na sasa hv subirini tu uchumi unavyoenda kuanguka, wenzetu wanapaa tu, cuz wanaongoza kwa akili, sio km huyo Kikwete anaendekeza urafiki na ufisadi..
 
Let's ignore dictator Kagame. He is going to pay for the bloodletting he caused in Rwanda!
 
Ile nchi ni ndogo lakini inaweza kutumaliza. Swala la msingi kila Mtu na dini yake na Mungu wake tuiombee nchi yetu.
 
.....“Those people [Tanzanian President Jakaya Kikwete] you just heard siding with Interahamwe and FDLR and urging negotiations… negotiations? Me, I do not even discuss this topic, because I will just wait for you [Tanzanian President Jakaya Kikwete] at the right place and I will hit you! He[Tanzanian President Jakaya Kikwete] did not deserve my answer. I did not waste my time answering him…It is well known. There is a line you cannot cross, there is a line, a line that you should never cross. It is impossible…”

"It is in these ominous terms that the Rwandan dictator General Paul Kagame threatened to get even with Tanzanian President Jakaya Kikwete, while addressing Rwandan Youth on June 30, 2013 during a summit called “Youth Konnect”", sponsored by his wife, Janet Kagame.

Relations between Tanzanian President Jakaya Kikwete and Rwandan leaders have soured in the last weeks. On several occasions Rwandan leaders called the Tanzanian President “a genocide and terrorist sympathizer”, “ignorant”, “arrogant”, and “mediocre leader”. The relations have deteriorated following the recommendation by President Jakaya Kikwete of open negotiations between Rwandan, Ugandan and Congolese leaders and their respective armed opposition in order to bring durable peace and security in the African Great Lakes region....

source..I will Just Wait For You At the Right Place And I will Hit You, Rwandan General Paul Kagame Threatens Tanzanian Jakaya Kikwete


VIDEO:


Kuanzia dk ya 57

attachment.php

attachment.php






To be honest i didn't get exactly the source, what reasons influence Poul Kagame to say so?
 
Last edited by a moderator:
udogo wa eneo na uchache wa watu haina maana udogo wa uwezo wa kivita. Rwanda is very very good in military; it has invested a lot in military. In fact, it has invested more than any country in east african community. Ulaya kuna wanyarwanda wengi kwenye military academies, mtoto wake pamoja na vijana wengi wa kitusi wamesomea usa in renown military academy. Na wao wanajua kuwa wamezungukwa na maadui kote, kwa hiyo they seriously study military sio kama vijana wetu hata kwenda nje kusoma military wanachaguliwa kwa kujuana na wanaenda huko kutafuta pesa na sio mafunzo. Lakini pia rwanda imekuwa kwenye vita muda wowote. Nilikuwa naongea na rafiki yangu mwanajeshi anayesomea mafunzo ya jeshi la anga huko uingerezbahima a ananiambia kuwa rwanda haihitaji hata wiki moja kuiangusha serekali ya drc anasema makomandoo wao wengi wamejaa kinshasa, dar es salaam na kampala tayari tayari. Ila hawajafika tu nairobi. Baada ya yule professor wa chuo kuuawa ndio nikakumbuka maneno ya huyu jamaa.

umenena mkuu.serkali ya CCM inawakenulia watusi tu.itakula kwenu!!jumuia ya afrika mashariki ni "BAHIMA EMPIRE."mtusi amejaa ikulu ya ZAIRE kwa jina bandia.alindaliwa hapa na watusi kwa kutumia rasilimali zetu.watanzania mtaamka lini????mpaka hawa watu waingie nyumbani kwenu????professor ameuawa,mnaona chadema ni maadui!

















'
 
hiviii...kagame ni nani hasa ukiondoa kuwa raisi wa nchi ndogo ya rwanda?...

A landlocked country inayotumia bandari ya mombasa kenya na dar es salaam tanzania kuingiza bidhaa zake na hasa za kivita in case wakianzisha vita na tanzania.

Mbona strategically kagame tushamshinda vita anayotaka kuianzisha dhidi yetu....anajuwa kuwa hata uhuru kenyata alipata urais wa kenya akitokea tanzania alikopewa mbinu za kiushindi na serikali ya ccm?
Atapitisha wapi silaha zake ili atushinde vita sie watanzania??..je anajuwa kuwa kila silaha aliyonayo sie tunaijuwa kwa sababau alipitisha nyumbani kwetu wakati kazinunua?

Je ..hajiulizi kimya chetu kinamshindo gani..coz tunajuwa rafiki yake wa karibu/mjomba wake museveni ndiye tegemeo lake kwenye vita hii anayoinunua...na je anajuwa tunafikiria kuwachapa wote kwa mpigo na kwa kushirikiana na rais wetu uhuru tunazuia silaha zisipite mombasa kama tulivyomdhibiti idd amin enzi zile za kenyata?

Muambieni kagame..uwepo wake kama rais wa rwanda unategemea huruma yetu sie tanzania na kwa kiasi fulani kenya pia .... Ila kenya nao wanakuwa makini na watu hawa coz waganda wameanza chokochoko huko migingo.

Kwa simple analysis ya war infrastructures and logistics nashindwa kumuelewa "kagame ni nani" mpaka tukae tukijaza server ya jf kwa post nyiiiiingi wakati he is a closed chapter and thats what keeps jk quite over his nonsense utters.
Hv wewe hivi hata unafuatilia upepo unaendaje katika nchi za East Africa...? Mseveni, Uhuru na Kagame wananizatiti kibiashara pamoja, na kama unajidanganya eti uhuru rais wako imekula kwako..TANZANIA SASA HIVI IMETEGWA SABABU YA HUYO MAGAMBA WENU MLOPOKAJI..Rwanda achana nao na km wangekuwa wanaitegemea sana tz, ndhn tungeizidi uchumi Rwanda..Eti tunajua siraha zao, mwenzako Kikwete kajua Moto aliouwasha ni wa petrol, ndo maana kaona anyamaze tu..
 
sioni kama akili ya kagame ilikuwa inafanyakazi wakati akitoa maneno haya. kikwete kaongea kidogo tu, kagame anabwabwaja utafikiri sio rais wa nchi? kwani mtu akikwambia zungumzia amani ya nchi yako kuna kosa gani. au yeye anaona kuendelea kuuwana ni fahari kwake, ajue rwanda aliikuta, na ataiacha,
 
Udogo wa eneo na uchache
wa watu haina maana udogo wa uwezo wa kivita. Rwanda is very very good
in military; it has invested a lot in military. In fact, it has invested
more than any country in East African community. Ulaya kuna wanyarwanda
wengi kwenye military academies, mtoto wake pamoja na vijana wengi wa
Kitusi wamesomea USA in renown military academy. Na wao wanajua kuwa
wamezungukwa na maadui kote, kwa hiyo they seriously study military sio
kama vijana wetu hata kwenda nje kusoma military wanachaguliwa kwa
kujuana na wanaenda huko kutafuta pesa na sio mafunzo. Lakini pia Rwanda
imekuwa kwenye vita muda wowote. Nilikuwa naongea na rafiki yangu
mwanajeshi anayesomea mafunzo ya jeshi la anga huko Uingereza ananiambia
kuwa Rwanda haihitaji hata wiki moja kuiangusha serekali ya DRC anasema
makomandoo wao wengi wamejaa Kinshasa, Dar es Salaam na Kampala tayari
tayari. Ila hawajafika tu Nairobi. Baada ya yule professor wa chuo
kuuawa ndio nikakumbuka maneno ya huyu jamaa.
endelea kuwa na propaganda na majivuno ya kitusi! mtapotea dimba muda c mrefu
 
Wadau nashangaa kagame kuongea kauli ile, hivi kweli kagame anajiamini kiasi hicho? anatafuta nini kagame? yaani ndio kuthubutu kusema kwamba anasubiri wakati amtandike kikwete yaani anaweza kuyapiga majeshi ya nchii hii? kagame kafikia hapo jamani?

yaani pamoja na kuwasitiri wakiwana na vita na burundi bado anajeuri ya namna hiyo?hayo ni maneno ya kutamka kweli hiyo kagame? au ana hamu na vita?

kikwete ni mvumilivu sana.
Ingekuwa mimi tayari ningepeleka majeshi kagera na kigoma alafu nimjibu akjibu simjibu tena bali naagiza majeshi waanze kurusha makombora.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom