khairun
Member
- May 10, 2012
- 68
- 42
Kauli yake inanitisha kwa usalama wa Rais wetu na nchi yetu, tuna wanyarwanda wengi sana Tanzania, Zunguka Biharamulo, Ngara, Karagwe hata Chato. Sasa isije ikawa anapanga kum Hit kwa kumdhuru hata pale atakapokuwa amekwenda sehemu hizo kwa kazi za kiserikali, kagame naweza kuwatumia watu wake kumdhuru Rais wetu, Baya zaidi anawalisha Vijana wadogo sumu, hasa pale anaposema hatumuwezi kwa Anga, kwa majini hata kwa ardhini, anajivunia nini mpaka aseme hivyo?, Hebu sasa kama inawezekana hawa Raia wa Rwanda waliopo Tanzania wasakwe popote walipo na warudishwe kwao kwa usalama wa nchi yetu na rais wetu.