Look at this fool.Ajaribu aone jinsi watanzania tutakavyoungana kumfunza adabu and dump him huko lake Tanganyika.Na sisi tumekua wapole mno maana mimi ningemuonyesha cha moto.Hakuna cha intetnational community!
Weak Leadership! Tanzanians we are very sorry kwa kweli and no wonder tukasambaratishwa kwasababu heshima ya TZ sasa imeshuka sana katika jumuia ya kimataifa huku ndani CDM wametushinda, Malawi wanakuja juu and ths has been there for a long but wameona ndo wakati sahihi kupigania ziwa lao, Kagame bila aibu anatishia kwa upande mwingine,EAC Kenya ,Uganda wanafanya ya kwao wamechoka, USA wanataka na ni sasa hivi no discusion na sasa usalama wetu upo UCHI system nzima ya ulinzi ilitekwa hili halifanyiki kwenye taifa lolote lililohuru, Wachina wanataka na sasa hivi msishangae RED BRIGED wafadhili ndo haohao tuchapane wachote mali zetu.Hatuna viongozi nchi imesambaratishwa watz tusimame imara tuipiganie nchi yetu Hatuna UONGOZI.Verry Sorry!
Ile nothern corridor which Mseveni talked about in his meeting with Kagame na Kenyatta, haya ndo matokeo yake. Kwa mtazamo wangu, mpango ulikuwa ni hivi silaha ziingie Rwanda na Uganda kupitia Kenya. Hakuna cha biashara wala nini pale, tusidanganyane!!