MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 6,606
- 11,820
Kwanza wewe siyo mtanzania what you need from tanzania,shem on you.
JK is naive,Tz na mtu ka huyu Siku ingine RWANDA na UG will attack TZ,why UG wamenunua Sokhoi fighter jet?
Kwanza wewe siyo mtanzania what you need from tanzania,shem on you.
Yupi alianza kumuongelea mwenzake? kama siyo baba Mwanaisha, Poor mwenyekitiSiku zote ukiona mtu mzima anaongea upumbavu mbele ya media au watu dhidi ya kiongozi mwenzake ujue ana matatizo.
Tanzania Nchi yangu imekuwa kama ISRAEL... Majirani wote wanatutolea macho ....
MALAWI - bibie joyce banda anatuchokoza
KENYA- wanaitamani ardhi yetu ..
UGANDA- wamejitolea kabisa eneo la kikao na kuunda umoja wao KKK
KAGAME - ameanza vitisho...
HIVI HAWA WOTE WAKITUINGILIA KWA PAMOJA TUTAPONA KWELI....? INABIDI TUANZE USHIRIKIANO WA KIJESHI NA NCHI ZA KUSINI .....
Umempasha sana huyu --------! Anadhani anaweza akajua mambo ya ndani ya vyombo vyetu vya ulinzi!..akili yako inatosha kwenye kifuniko cha soda tu wala huyajui mambo mengi ya vyombo vyetu vya dola unaongea bila hata ya fact na ukiona mtu anaizalau mpaka nchi yake anachuki binafsi na watu walioko madarakani wala huna lolote.
Kagame amepata kichwa baada ya kusikia kauli ya Mnyika Bungeni.Mnyika ndo amezalisha yote haya ya Rais wetu kudharauliwa.
Hili liwe fundisho JK usiwe unaandikiwa kila kitu, wewe huwa unasema akili ya kwaambiwa changanya na yako. we kila unachoambiwa na kuandikiwa unakubali tu, Hongera sana Kagame.
Jk azungumze na Kagame yaishe.
Ninaamini ukimya wa Tanzania dhidi ya huyu kiumbe anayeitwa kagame utakuwa na mshindo mkubwa. Ngoja tusubiri. Haitashangaza tukisikia kesho hayupo madarakani.
Yaani mkuu wangu hapa jukwani kuna watu wanatia kinyaa hadi kutapisha! Yaani walivyo wapuuzi wanazani political interests zao zitakuja kumalizwa na watu wa nje!! Uunapokutana na Thread kama hii ndipo unaweza kufahamu mpinzani wa kweli ni nani na mamluki ni nani! Hawa mamluki wapo tayari hata kutumika just for the sake of their political interests!Inawezekana wewe ukawa ni Mnyarwanda, lakini ujue sisi WaTz hata kama tuna malumbano yetu ya vyama au na Rais wetu, ujue linapokuja tishio kwa usalama wa nchi yetu kutoka nje, basi ujue utaifa wetu huja kwanza. Kiburi anachokionesha Kagame kinafanana na kile cha Iddi Amin wa Uganda na Adolf Hitler wa Ujerumani. Asithubutu kutuchezea kama anavyoichezea Congo!
Look at this fool.Ajaribu aone jinsi watanzania tutakavyoungana kumfunza adabu and dump him huko lake Tanganyika.Na sisi tumekua wapole mno maana mimi ningemuonyesha cha moto.Hakuna cha intetnational community!
Heri JK apigwe apate akili. Usanii kwa kila kitu me kananiboa ka JK.