Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Status
Not open for further replies.
Watusi kwa ujumla wao ni flamboyant ile mbaya - Kagame anaona ana haki ya kumtaka Kabila kuzungumza na M23 - yeye na mwana clan wake Museveni wasifanye hivyo kwa wakinzani wao!!.

JK ana uzoefu wa eneo hili la maziwa unaoanzia kabla Kagame hajazaliwa. Wote Kabila, Kagame na Mseveni wakae na respective mahasimu wao ndipo amani itaweza patikana au la ni SPIRAL ANARCHY
 
IF THOSE WORDS ARE REAL FROM K!!!
Its good also for him to know this IF HE KNOWS THE TIME AND STRATEGIES OF STARTING THE HIT[I MEAN WAR] HE WONT KNOW THE TIME AND STRATEGIES OF ENDING AND WINNING THE HIT [WAR].

For my Country [Tanzania-I mean Command in Chief] Sometimes ACTIONS SPEAK louder than WORDS.!!!

Lets end this rumors and speculations, zilizotokana na kumsifia sana mgema [Mageuzi ya Uchumi wa Rwanda] basi tembo kalitia maji!!

Waswahili [Sisemi wazungu] wanasema ukicheka na Mbwa atakufuata Mskitini!!!!
 
I have never been a fun of Kikwete whatsoever, but this time around Kagame has crossed the borders. Ameendeleza vita ya maneno wakati mwenzie yuko kimya tu. Kagame, for your information, despite the economic hardships, Tzania is the Military giant in East Africa!
 
Kama Kagame alipitia mafunzo ya kijeshi hapa Tanzania tuna kila sababu ya kuwa makin nae isije kuwa ya Osama na Marekani
 
Kwa mara ya kwanza nadiriki kusema Kagame amelewa madaraka!
 
Kagame alitakiwa kabla hajamaliza sentenso awe amepigwa. Hana adabu
.....“Those people [Tanzanian President Jakaya Kikwete] you just heard siding with Interahamwe and FDLR and urging negotiations… negotiations? Me, I do not even discuss this topic, because I will just wait for you [Tanzanian President Jakaya Kikwete] at the right place and I will hit you! He[Tanzanian President Jakaya Kikwete] did not deserve my answer. I did not waste my time answering him…It is well known. There is a line you cannot cross, there is a line, a line that you should never cross. It is impossible…”“
It is in these ominous terms that the Rwandan dictator General Paul Kagame threatened to get even with Tanzanian President Jakaya Kikwete, while addressing Rwandan Youth on June 30, 2013 during a summit called “Youth Konnect”“, sponsored by his wife, Janet Kagame.

Relations between Tanzanian President Jakaya Kikwete and Rwandan leaders have soured in the last weeks. On several occasions Rwandan leaders called the Tanzanian President “a genocide and terrorist sympathizer”, “ignorant”, “arrogant”, and “mediocre leader”. The relations have deteriorated following the recommendation by President Jakaya Kikwete of open negotiations between Rwandan, Ugandan and Congolese leaders and their respective armed opposition in order to bring durable peace and security in the African Great Lakes region....

source..I will Just Wait For You At the Right Place And I will Hit You, Rwandan General Paul Kagame Threatens Tanzanian Jakaya Kikwete
 
Siku zote ukiona mtu mzima anaongea upumbavu mbele ya media au watu dhidi ya kiongozi mwenzake ujue ana matatizo.

Rwanda ni kama sisimizi kwetu, kama anazungumzia vita Tanzania inaweza kuichukua rwanda na kuifanya wilaya kama biharamulo tu.

This idiot must be stopped now.

Kagame ni muuaji na --------, huwezi kukataa kumaliza matatizo na adui yako hata uwe nani labda tu uamini kuwa unaweza kuwaua wote ubaki peke yako. Leo tunaona marekani yenye uwezo wa kuwamaliza kabisa Taleban imekubali kukaa chini na kuongea nao sembuse Rwanda na interahamwe ambao ni wahutu na Rwanda ni nchi yao?
eee bwana unawajua lakini hao wahutu tabia zao, kwa mimi ninavyo wajua hao waasi wa 1994 genocide hawafai kabisa wao wapo radhi mkafanya urafiki miaka hata 100 lakini lao lipo moyoni siku wa kilipuka ni majuto yaani kwa ujumla watu wa rwanda si wa kufanya nao urafiki hata kidogo aidha uwe inferior ndiyo mambo yatakuwa sawa . fuatilia historia ya kagame na kuchukua kwa nchi tangu alivyokuwa ana jifunza u commandoo na mpaka ushiriki wake katika taifa la uganda utafikiri ni mganda , aim kubwa ni kuja kuwa president wa rwanda na wahutu walalijua hilo na kumkosa kumuua antwerp , khartoum na alitembea kutoka msitu wa uganda mpaka rwanda na kukutana na kikosi cha watoto wa RPF kabla hajachukua nchi . kwa hiyo kagame yupo right sana kwa maamuzi na ni miongoni mwa macomando waliofanya vizuri sana huko marekani mpaka USA wanamkumbali enzi za mafunzo yake kumbuka hata mafunzo alikuwa hajakaribia kumaliza lakini USA walimpa baraka kwenda kukomboa nchi na kwa kuwa historia ya nchi na watu wake anaijua ndiyo maana mnyarwanda ana kawaida ya kutosuluhishwa mfano angalia hapo NGARA , au oa mke wa kitusi , au fika rwanda ingia disco na pata mwanamke halafu muache huku anakupenda utaona cha moto. ila kingine kizuri kwetu TZ ni ukimya wa kikwete kwa sababu ameonyesha kumpuuza na ndiyo kitu kinachowauma sana , juzi kaitisha kikao cha uganda , kenya ili wasipitshe mizigo kwetu sisi kimya saaafi sana .
 
Hongereni Watz kwa wingi wa maneno
"YENU DU, YA WENZENU MIDOMO JUU"
 
Tusimdharau Kagame anaweza kufanya tukio dhidi ya TZ na kuandika historia duniana.nashauri Tz wamwite balozi wa Tz nchini Rwanda,na kisha balozi wa Rwanda nchini Tanzania atimuliwe mara moja.baada ya hapo tuwape nafasi waeleze shida ipo wapi,na kama ni uchokozi basi,Tanzania ina uwezo wa kumwondoa Kagame madarakani na kuikabidhi nchi kwa mnyarwanda mwenye heshima na adabu!
 
Sijapata kuona Rais mwoga duniani kama Kikwete
 
Rwanda kwa eneo lake ni ndogo kuliko mkoa wa Kilimanjaro ambao ni mdogo kuliko mikoa yote Tanzania. Tutamkanyaga kama kifaranga cha kuku akithubutu! Asidhani kuwa Tanzania ni kama Congo!

kabla ya kufikiria kupigana lazima tupate ukweli kuhusu ukweli wa hawa watu wanagombea nn haswa??
 
Tanzania ni taifa kubwa lakini kwa bahati mbaya viongozi wameruhusu tugawanyike. We are now a divided nation. Uzalendo kwa wengi ni wa kulazimishia. Mtu anawezaje kuwa mzalendo katika nchi ambayo watu wanapigwa na Polisi na wengine kufa huku viongozi wakiweka mbele siasa?? Kiongozi anatakiwa kuwaunganisha watu wake na kuonesha kujali maisha ya kila mmoja.
Inawezekana kabisa Kagame anajua kwamba hatuna umoja tena.
CCM take care with te kind of politics you are doing.
Mimi nitaumia Kagame akianza kuisema vibaya Tanzania, JK kusemwa vibaya hainiumizi kichwa!
JK hajafanikiwa kuishi ikulu kama rais, anaishi ikulu kama Mwenyekiti wa CCM! Hiyo ndiyo picha kubwa ninayoishi nayo.
 
Nina imani vijana wengi humu ni watoto waliozaliwa baada ya miaka ya CCM. Kama ulizaliwa kabla ya CCM basi unajua madhara ya vita. Na kumbuka vita ya kumtoa nduli Idd Amin tulipigana na akina Museven, Kagame, Sallim (Mdogo wake) na Watusi wengine wengi tu. Wanatufahamu sana ndani na nje na wanajua jinsi ambavyo kwa sasa tumeshajichokea.

Msifanye dharau ya kusema mtaweza kumpiga Kagame kirahisi namna hiyo.

Anaweza ndiyo kuwaachia nchi yote kama Bush alivyoshinda Afghanistan na Iraq ila ukweli hadi leo hajashinda.

HAKUNA VITA NDOGO duniani. Wao sasa Kagame na Kikwete ndiyo wakae wayamalize mezani.

BTW: Hivi hii habari ni ya kweli au wamemlisha meneno KAGAME?
Mkuu mi nadhani kagame ni kumwacha aendelee kupiga kelele tu wakati huo na cc tukijipanga vilivyo kama vita aitangaze yeye na sioni haja ya jk kukaa na kagame sioni kosa la jk stupid kagame.
 
Tanzania ni taifa kubwa lakini kwa bahati mbaya viongozi wameruhusu tugawanyike. We are now a divided nation. Uzalendo kwa wengi ni wa kulazimishia. Mtu anawezaje kuwa mzalendo katika nchi ambayo watu wanapigwa na Polisi na wengine kufa huku viongozi wakiweka mbele siasa?? Kiongozi anatakiwa kuwaunganisha watu wake na kuonesha kujali maisha ya kila mmoja.
Inawezekana kabisa Kagame anajua kwamba hatuna umoja tena.
CCM take care with te kind of politics you are doing.
Mimi nitaumia Kagame akianza kuisema vibaya Tanzania, JK kusemwa vibaya hainiumizi kichwa!
JK hajafanikiwa kuishi ikulu kama rais, anaishi ikulu kama Mwenyekiti wa CCM! Hiyo ndiyo picha kubwa ninayoishi nayo.
Wewe ndiyo siyo mzalendo.
 
Siku zote ukiona mtu
mzima anaongea upumbavu mbele ya media au watu dhidi ya kiongozi
mwenzake ujue ana matatizo.

Rwanda ni kama sisimizi kwetu, kama anazungumzia vita Tanzania inaweza
kuichukua rwanda na kuifanya wilaya kama biharamulo tu.

This idiot must be stopped now.

Kagame ni muuaji na --------, huwezi kukataa kumaliza matatizo na adui
yako hata uwe nani labda tu uamini kuwa unaweza kuwaua wote ubaki peke
yako. Leo tunaona marekani yenye uwezo wa kuwamaliza kabisa Taleban
imekubali kukaa chini na kuongea nao sembuse Rwanda na interahamwe ambao
ni wahutu na Rwanda ni nchi yao?

hapo ndipo ninapowapenda watanzania. wanaweza kuwa na tofauti zao za kisiasa lakini inapofika mahali pa usalama wa nchi yao kutoka vitisho vya nje au rais wao kudharauliwa huwa ni wamoja. HEKO.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom