Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Status
Not open for further replies.
Chunga lugha yako wewe. Umejianika hadi picha na jina na simu zako zote.

Vijana wa Kagame watakutembelea huko UK na kukufanya kitu kibaya. Usitegemee JWTZ waje wakusaidie hadi huko.

Mwisho kumbuka kuwa Israel na udogo wake, ilipigana na nchi 6 za kiarabu kwa siku sita tu na kuziacha hoi kama bata dume amemaliza shughuli.

Kwani Israel ni nchi? ya kina nani? mbona kwa mtizamo ile ni Kambi ya Jeshi la Wayahudi wa Dunia nzima? kwa hiyo unatutishia Nyau sio? kwa kuwa Rwanda ni ndogo japo teknologia yake ni kumenya Mihogo ndio mnajiridhisha kwa kujifananisha na Jamii ya Wasomi, Wafanyabiashara, Wanasayansi wa Dunia yaani Israel? je mshajua kuchamba? kama bado basi tieni maji, na la mwisho, mikwara mbuzi kwenu hukohuko... shika adabu yako (mimi Mtanzania wa Kabila ndugu na Watutsi kwa hiyo huniambii kitu)
 
Tatizo siyo woga ila GHARAMA. Hakuna vita rahisi duniani. Ile miaka 5 ya Mwalimu tuliyofunga mikanda na ikaja kuwa miaka zaidi ya 10 mie siitaki.
Heshima ina gharama yake, na kwa bahati nzuri si Tanzania iliyoanza seke seke hili.
Imekuwa nongwa kumwambia Kagame ongea na nduguyo Mhutu?
Kuna kitu kilcho jificha nyuma ya msimamo wa Kagame .
 
Mhh hapa me yangu macho,swali ni je source ya zarau hii nini?
 
kuna wakati ilitokea.....mtu akanivurugia dili langu, basi nilivurumusha maneno makali na uzushi mwingi kumfedhehesha na kumghadhibisha.....
 
Look at this fool.Ajaribu aone jinsi watanzania tutakavyoungana kumfunza adabu and dump him huko lake Tanganyika.Na sisi tumekua wapole mno maana mimi ningemuonyesha cha moto.Hakuna cha intetnational community!

Isije ikawa anatusaidia tusipigwe na mabomu kwenye mikutano ya CHADEMA, maana ana hasira sana na Kikwete na katika utawala wake ndio CDM inapigwa sana na mabomu.

Ningekushauri unyamaze huwezi kujua Mungu anataka kutusaidia kupitia njia gani.
 
Wakati wabongo tunapiga porojo Kagame anatafuta angle ya kudhihirisha ubabe wake
 
Rwanda ni nchi huru kama ilivyo Tanzania na wana haki zote za kumaliza shida zao bila kuingiliwa na taifa linguine lolote nje yao,hivyo wanaona ni dhihaka kuzungumza na adui yao na wana haki pia ya kukutaa ushauri wowote sawa sawa na kuunganisha ndoa usiyo ijuakwa undani kwani siri inaendelea kubaki ndani ya nyumba husika na anaweza kutoka mmoja wao kati ya wanandoa akapakaza mbaya kwa mwenza kama huna busara uta conclude. Mwacheni Kagame na nchi yake ila akithubutu sasa kuvamia hapo ndipo tumwoshe kuwa sisi ni nani

Wewe usituletee utusi wako humu. Umepenyapenya ukaingia tz umeachwa sasa unaanza kuropoka. Unatufaham ww! Au ufuatiliwe?
 
Heshima ina gharama yake, na kwa bahati nzuri si Tanzania iliyoanza seke seke hili.
Imekuwa nongwa kumwambia Kagame ongea na nduguyo Mhutu?
Kuna kitu kilcho jificha nyuma ya msimamo wa Kagame .

Msimamo wake uko wazi.
Ana bifu na Baba Mwanaasha kama Baba Mwanaasha Personally.
 
eee bwana unawajua lakini hao wahutu tabia zao, kwa mimi ninavyo wajua hao waasi wa 1994 genocide hawafai kabisa wao wapo radhi mkafanya urafiki miaka hata 100 lakini lao lipo moyoni siku wa kilipuka ni majuto yaani kwa ujumla watu wa rwanda si wa kufanya nao urafiki hata kidogo aidha uwe inferior ndiyo mambo yatakuwa sawa . fuatilia historia ya kagame na kuchukua kwa nchi tangu alivyokuwa ana jifunza u commandoo na mpaka ushiriki wake katika taifa la uganda utafikiri ni mganda , aim kubwa ni kuja kuwa president wa rwanda na wahutu walalijua hilo na kumkosa kumuua antwerp , khartoum na alitembea kutoka msitu wa uganda mpaka rwanda na kukutana na kikosi cha watoto wa RPF kabla hajachukua nchi . kwa hiyo kagame yupo right sana kwa maamuzi na ni miongoni mwa macomando waliofanya vizuri sana huko marekani mpaka USA wanamkumbali enzi za mafunzo yake kumbuka hata mafunzo alikuwa hajakaribia kumaliza lakini USA walimpa baraka kwenda kukomboa nchi na kwa kuwa historia ya nchi na watu wake anaijua ndiyo maana mnyarwanda ana kawaida ya kutosuluhishwa mfano angalia hapo NGARA , au oa mke wa kitusi , au fika rwanda ingia disco na pata mwanamke halafu muache huku anakupenda utaona cha moto. ila kingine kizuri kwetu TZ ni ukimya wa kikwete kwa sababu ameonyesha kumpuuza na ndiyo kitu kinachowauma sana , juzi kaitisha kikao cha uganda , kenya ili wasipitshe mizigo kwetu sisi kimya saaafi sana .

Kwa hiyo hapo unachotaka kusema ni kwamba WAHUTU ni wabaya kuliko WATUSI maana naona unachanganya mada hapa
 
Siku zote ukiona mtu mzima anaongea upumbavu mbele ya media au watu dhidi ya kiongozi mwenzake ujue ana matatizo.

Rwanda ni kama sisimizi kwetu, kama anazungumzia vita Tanzania inaweza kuichukua rwanda na kuifanya wilaya kama biharamulo tu.

This idiot must be stopped now.

Kagame ni muuaji na --------, huwezi kukataa kumaliza matatizo na adui yako hata uwe nani labda tu uamini kuwa unaweza kuwaua wote ubaki peke yako. Leo tunaona marekani yenye uwezo wa kuwamaliza kabisa Taleban imekubali kukaa chini na kuongea nao sembuse Rwanda na interahamwe ambao ni wahutu na Rwanda ni nchi yao?

Wewe uharo unatoka wenyewe utaweza kupigana! Acha maneno bwana. Vita si ukubwa wa nchi wala wingi wa watu.
 
"Those people [Tanzanian President Jakaya Kikwete] you just heard siding with Interahamwe and FDLR and urging negotiations… negotiations? Me, I do not even discuss this topic, because I will just wait for you [Tanzanian President Jakaya Kikwete] at the right place and I will hit you! He[Tanzanian President Jakaya Kikwete] did not deserve my answer. I did not waste my time answering him…It is well known. There is a line you cannot cross, there is a line, a line that you should never cross. It is impossible…""It is in these ominous terms that the Rwandan dictator General Paul Kagame threatened to get even with Tanzanian President Jakaya Kikwete, while addressing Rwandan Youth on June 30, 2013 during a summit called "Youth Konnect"", sponsored by his wife, Janet Kagame.
Relations between Tanzanian President Jakaya Kikwete and Rwandan leaders have soured in the last weeks. On several occasions Rwandan leaders called the Tanzanian President "a genocide and terrorist sympathizer", "ignorant", "arrogant", and "mediocre leader". The relations have deteriorated following the recommendation by President Jakaya Kikwete of open negotiations between Rwandan, Ugandan and Congolese leaders and their respective armed opposition in order to bring durable peace and security in the African Great Lakes region.
First the Rwandan Foreign Affairs Minister Louise Mushikiwabo and Defense Minister, James Kabarebe, publicly cursed the Tanzanian President and called him a sympathizer of "genocidaires", a "genocide denier", and other names.
Then, General Paul Kagame, while addressing a closed door meeting with his close aides, called the Tanzanian President "4Bs", which in Rwandan language means "an opportunist, attention seeker, arrogant and contemptible person."
Then the Rwandan puppet Hutu Prime minister Prime Minister called the Tanzanian President a mediocre leader .
The latest public threats by General Paul Kagame against the physical person of the Tanzanian President are arguably the most serious sign of how worse the relations among the two countries and the their leaders have become. According to sources in Kigali, General Kagame has also been frustrated by the attention Tanzanian President has been receiving from World powers. Until a few years ago, Rwanda and its dictator was the darling of the West. The attention from the West has since dwindled.
The recent visit by US President Barack Obama to Tanzania may have further increased the frustration and perhaps led to the grave public threats by General Paul Kagame against the Tanzanian President Jakaya Kikwete.
The upcoming days and months promise to be full of anticipation and sursprises in the Great Lakes Region of Africa.
2013 AfroAmerica Network. All Rights Reserved.
Tagged as: FDLR, General Kagame, Jakaya Kikwete, President Barack Obama,Rwanda, Tanzania



Nicheke mie .... ...... ..... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee all the rhetoric si uanze basi vitisho vya nini? Pauli wewe huwezi kumsumbua rais wa Tanzania, kama huelewi hicho nenda shule kwanza then ndio urudi hapa. Wewe ni kama kiroboto tu unaamua ni lini unataka kukiondoa. Hivi sasa tupo kwenye hali nzuri ya kupanga safu safi ya uongozi wewe pamoja na viroboto wenzako tutawaondoa wakati ukifika.

BTW uliza wenzako waliokuwa wanafikiria kama wewe wako wapi? Hii ni Tanzania wala usifikiri tutakosa usingizi kwa sababu ya kuwa na kiroboto kama wewe. Vile vile pitia historia uangalie ni mataifa mangapi yamewahi kuitishia Tanzania baada ya uhuru.
 
kagame karibu tanzania halafu kitakachokukuta hata mda wa kusimulia hutaupata .

Kwa Tanzania hii ambayo raia tumeambiwa tupigwe na askari, Kagame na wenzake they know this is the right time, wasingeweza wakati mwingine wowote.

Hii Tanzani ya sasa imeparaganyika vibaya sana na ni rahisi sana kupigwa, kwanza tuna tension kila mahali, Malawi, Rwanda, Kenya, n.k
 
Kagame hana ishu tukipanga mkono tunamfuta kirahisi tu akae atulieeee
 
Hold on guys and take it easy,kabla hamjaanza kutoa gas zenu angalieni source ya hiyo news kwanza ndio mtaelewa whats goin on? naona hapa mnaingizwa king bila kujua na wengine tayari naona mko tayari kwa combat,the fact is hiyo blog/site ni ant Rwanda and big supporter wa FDRL and as a matter of fact theres no such thing Kagame alisema or anything close na kilichoandikwa,Presidential transcript ya huo mkutano ipo na wala haikuwa secret,hiyo website inajiita afroamerican lakini everything is about ant Rwanda/tutsi,well,naona hate propaganda za FDLR zinaanza kufanikiwa JF,angalieni nyie msije mkaingizwa kwenye ugomvi usiowahusu
 
Pharaoh, hueleweki kabisa. Naona utakuwa Mwaarabu maana ndiyo wanaosema Israel haipo ila ukweli ni kuwa Palestine ndiyo haipo leo kwenye ramani kwa sabau Israel ndiyo Palestine yenyewe.

Useme utakavyo, hao wanajeshi wa Kiyahudi kwa siku 6 walizichapa nchi sita za Kiarabu hadi zikawa hoi kama Kibaka aliyebakwa kwenye bweni la Wanawake la Secondary ya Weruweru.
Kwani Israel ni nchi? ya kina nani? mbona kwa mtizamo ile ni Kambi ya Jeshi la Wayahudi wa Dunia nzima? kwa hiyo unatutishia Nyau sio? kwa kuwa Rwanda ni ndogo japo teknologia yake ni kumenya Mihogo ndio mnajiridhisha kwa kujifananisha na Jamii ya Wasomi, Wafanyabiashara, Wanasayansi wa Dunia yaani Israel? je mshajua kuchamba? kama bado basi tieni maji, na la mwisho, mikwara mbuzi kwenu hukohuko... shika adabu yako (mimi Mtanzania wa Kabila ndugu na Watutsi kwa hiyo huniambii kitu)

Heshima? Sisi wenyewe kama Nchi tunajiheshimu? Tanzania hatuna heshima tena zaidi ya shamba la bibi.

Hebu ona Secrety Service walivyomfanya Kova siku chache kabla ya mwezi wa Ramadhani:
http://www.mwananchi.co.tz/habari/K...-mbwa/-/1597296/1903334/-/8d3bol/-/index.html
Heshima ina gharama yake, na kwa bahati nzuri si Tanzania iliyoanza seke seke hili.
Imekuwa nongwa kumwambia Kagame ongea na nduguyo Mhutu?
Kuna kitu kilcho jificha nyuma ya msimamo wa Kagame .
 
Aongee hazarani cyo kwa mafumbo kama aha jeuri atangaze vita,kwanza kama umefika rwanda ni ka nchi kakipumbavu kabisa cyo hata kakutupotezea muda,Membe aliongea wazi kabisa kama kukanusha wangekanusha ndani ya mkutano cyo kusemea nje,tena ni wapumbavu kabisa,hata kama wanataka vita yeye ndio atahasirika sababu ana maadui wengi sana ndani ya Rwanda.
 
Tatizo siyo woga ila GHARAMA. Hakuna vita rahisi duniani. Ile miaka 5 ya Mwalimu tuliyofunga mikanda na ikaja kuwa miaka zaidi ya 10 mie siitaki.


Wacha uongo wewe hiyo 5 umeipata wapi? First time nasikia miaka 5 hapa JF au ulihadisiwa?



Hajasema Tanzania amesema him yaani Kikwete.


Unaweza kwenda shule tena kabla ya kukaa kwenye mijadala kama hii?
 
Kwa hiyo hapo unachotaka kusema ni kwamba WAHUTU ni wabaya kuliko WATUSI maana naona unachanganya mada hapa
ndugu unisome vizuri wote tu ni wabaya kihistoria zao , ila anayeanzisha maafa ndiye mmbaya zaidi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom