Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

Status
Not open for further replies.
Kagame's days as president of Rwanda are numbered.

Kikwete, allow us to simply walk over and suffocate him.
We should learn from Idi Amin and his constant utterences against Tanzania from 1972 up to 1978.

Mimi nafarijika because as we speak vijana wetu wako Goma, na ni vizuri kutojibizana na mtu anaye suffer from paranoia, kitu ni kumpiga kabali pale anapostahili wakati muafaka ukifika.
 
Hivi, why do you relate what he said with blood shed? Did Kikwete attack Rwanda militarily? No, the issue here is the advice that Kikwete gave to President Kagame and categorically Kagame refused! However, why shouldn't we think of the fact that General Kagame would hit back with the same kind of "utter ignorant advice"? That when things go wrong in our country, for instance, the issue of Mtwara or rallies of opposition parties with a particular interest a case of CHADEMA, Kagame could advise Kikwete NOT to engage TPDF (JWTZ) to address the situation or to attack them, he would rather use police force or hold diplomatic talks with the opposition or Wananchi of Mtwara who have been opposing construction of Pipeline from Mtwara to Bagamoyo!! Jamani, nikikumbuka madhara yatokanayo na vita ya 1978 dhidi ya Iddi Amini (siyo Uganda), we won the war but we were left paralyzed economically to date what we are suffering from economically are the spilling and rolling over effects of post war!! Watanzania nawashauri, jengeni uchumi wenu, invest heavily in education forget about wars, you are all grown up, how men people whom you differ categorically have you ended up fighting them physically? Grow up young men, wengi wenu hamjapita JKT that's why WAR is BAD in every aspect!!
 
Siku zote ukiona mtu mzima anaongea upumbavu mbele ya media au watu dhidi ya kiongozi mwenzake ujue ana matatizo.

Rwanda ni kama sisimizi kwetu, kama anazungumzia vita Tanzania inaweza kuichukua rwanda na kuifanya wilaya kama biharamulo tu.

This idiot must be stopped now.

Kagame ni muuaji na --------, huwezi kukataa kumaliza matatizo na adui yako hata uwe nani labda tu uamini kuwa unaweza kuwaua wote ubaki peke yako. Leo tunaona marekani yenye uwezo wa kuwamaliza kabisa Taleban imekubali kukaa chini na kuongea nao sembuse Rwanda na interahamwe ambao ni wahutu na Rwanda ni nchi yao?

this is zero sum, keep it to yourself. Kagame hold your stance the hard way.
 
Ni upuuzi sana kuendelea kuendekeza kauli za .Kipumbavu. za huyu jamaa! Anaidhalilisha sana ofisi ya rais na kimsingi lazima tuoneshe kutokukubaliana nae kwa maneno na vitendo!

Yupi sasa....BABA RIZIWANI au PR. PAUL KAGAME.
 
Chunga lugha yako wewe. Umejianika hadi picha na jina na simu zako zote.

Vijana wa Kagame watakutembelea huko UK na kukufanya kitu kibaya. Usitegemee JWTZ waje wakusaidie hadi huko.

Mwisho kumbuka kuwa Israel na udogo wake, ilipigana na nchi 6 za kiarabu kwa siku sita tu na kuziacha hoi kama bata dume amemaliza shughuli.
Kwa hiyo wewe ni mnyarwanda?,

Sasa unafanya nini huku? si uende kwenu kuhesabia mafuvu
 
Ni upuuzi sana kuendelea kuendekeza kauli za .Kipumbavu. za huyu jamaa! Anaidhalilisha sana ofisi ya rais na kimsingi lazima tuoneshe kutokukubaliana nae kwa maneno na vitendo!

Rais yupi?na ofisi ipi ya rais?tanzania mnadharaulika kwa kuwa na rais mwenye uwezo mdogo!!soma hii ndo ujue why anadharauliwa
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1373387842.728153.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1373387842.728153.jpg
    32.5 KB · Views: 96
Hhaaaaaa rais jk
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1373387887.124129.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1373387887.124129.jpg
    61.2 KB · Views: 84
nilitokea kumchukia sana kikwete kwa sababu ya serikali yake lakini iwapo mtu wa nje tena rais naona anaitukana Tanzania yetu ambayo tunaipigania iwe huru.
Kagame should be stoped at any cost....this stupid Kagame!!!
Ila hapa sijamaliza bifu langu na serikali yake ya ccm,hapa tunampiga kwanza adui wa nchi halafu tutaendelea na adui wa maendeleo ya nchi ambaye ni kikwete na ccm yake
 
Ndugu Kagame, Chonde chonde usije ichokoza Tanzania, wewe umeshapendeza Duniani na ndani ya Rwanda, kuwa adui wa Tanzania kutakuharibia sana. mimi nilikuwa nakukubali sana... kwa sasa sina uhakika
 
Tanzania ni taifa kubwa lakini kwa bahati mbaya viongozi wameruhusu tugawanyike. We are now a divided nation. Uzalendo kwa wengi ni wa kulazimishia. Mtu anawezaje kuwa mzalendo katika nchi ambayo watu wanapigwa na Polisi na wengine kufa huku viongozi wakiweka mbele siasa?? Kiongozi anatakiwa kuwaunganisha watu wake na kuonesha kujali maisha ya kila mmoja. Inawezekana kabisa Kagame anajua kwamba hatuna umoja tena. CCM take care with te kind of politics you are doing. Mimi nitaumia Kagame akianza kuisema vibaya Tanzania, JK kusemwa vibaya hainiumizi kichwa! JK hajafanikiwa kuishi ikulu kama rais, anaishi ikulu kama Mwenyekiti wa CCM! Hiyo ndiyo picha kubwa ninayoishi nayo.
unachosema ni sahihi sana mkuu.JK ametuangusha sana ndani na nje ya nchi!Kagame anapata wapi kiburi cha kumdharau rais wa Taifa kubwa kama TANZANIA lililokuwa linaheshimika duniani kote.
 
If this dictator is threatening our president, then he must know for sure that, whatever happens to our president in and out of Tanzania ,he will be held as a number one suspect.
Let him know that we will defend our commander in chief and country with vigour, with vangeance he has never seen before!!. and if he make us troubles, we will indeed make it to him double!.

Maneno 'SISIMUZI' Unaweza dhani tayari tupo vitani. Nimekubali
 
Na hawa ndo wanajeshi wetu mahiri sanaaaa
 
What is our government's reaction to this? JK/Membe, say something!
 
Rais yupi?na ofisi ipi ya rais?tanzania mnadharaulika kwa kuwa na rais mwenye uwezo mdogo!!soma hii ndo ujue why anadharauliwa
Kutokana na hiyo quote ni wazi wewe ndiye mbu mbu mbu hapo.
Nini usichoelewa kuhusu positive attributes na effects za investments.
 
Ukifika Sikonge na uulize familia ya Lugusha na tawala zake zote hapa Sikonge, utamkuta Babu yangu.

Hata Fundikira Original (mtemi mwenyewe wa kwanza) alipokuja Sikonge, alifikia nyumbani kwa Babu yangu.

SIKONGE jina kubwa sana hapa Sikonge na hata kwenye kitabu cha HISTORIA YA WANYAMWEZI, jina la babu yangu limeandikwa. Kama hujawahi kukisoma basi kitafute na utowe HESHIMA kwa Mnyamwezi halisi.

Ninasikitika tu hadi leo, sijui kwa nini Mirambo hakuanzia Iringa amfunze adabu huyo Mkwawa wenu......

163_23_04_10_12_26_06_0.jpg

Kwa hiyo wewe ni mnyarwanda?,

Sasa unafanya nini huku? si uende kwenu kuhesabia mafuvu
 
Habari zenu,

Kauli ya Kagame hiyi hapa: (0:57:00)



 
Last edited by a moderator:
Chunga lugha yako wewe. Umejianika hadi picha na jina na simu zako zote.

Vijana wa Kagame watakutembelea huko UK na kukufanya kitu kibaya. Usitegemee JWTZ waje wakusaidie hadi huko.

Mwisho kumbuka kuwa Israel na udogo wake, ilipigana na nchi 6 za kiarabu kwa siku sita tu na kuziacha hoi kama bata dume amemaliza shughuli.
Mkuu Watanzania si waoga ki hivyo, Kagame aje na tutamsolve tu, bila wasi wasi.
 
Tatizo siyo woga ila GHARAMA. Hakuna vita rahisi duniani. Ile miaka 5 ya Mwalimu tuliyofunga mikanda na ikaja kuwa miaka zaidi ya 10 mie siitaki.
Mkuu Watanzania si waoga ki hivyo, Kagame aje na tutamsolve tu, bila wasi wasi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom