SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,081
- 75,445
LIJINGALAO ulitaka ahamie Chama Cha Mataahira? Kwenda zako na ujinga wako.
Kwani kuna tatizo gani kama una nyumba ya vyumba 5 ukaamua kubadili chumba cha kulala?Ni swali chokonozi juu ya mustakabali wa Ukawa na malengo yake.Inakuwaje member wa Nccr wanahamia Chadema?Ikiwa Ukawa wana nia na lengo moja iwenye chama kimoja ndani ya Ukawa kiendelee kuwanyonya wanachama wa vyama vingine ndani ya Umoja huu?
umeandika nnNi swali chokonozi juu ya mustakabali wa Ukawa na malengo yake.Inakuwaje member wa Nccr wanahamia Chadema?Ikiwa Ukawa wana nia na lengo moja iwenye chama kimoja ndani ya Ukawa kiendelee kuwanyonya wanachama wa vyama vingine ndani ya Umoja huu?
huo ni ujinga,mnapandikiza ukabilaHapo ndio utajua kuwa ndio maana wauza maduka wengi ni kinamangi, maana wanajua biashara kupita kabila lolote lile hapa ulimwenguni
Kwenye sayansi kuna vitu viwili; mixture na compound,...nadhani mkuu unaelewa tofauti yake.Mkuu;
Nimesema hii dhana ya kusema Katiba haituruhusu kuungana ni kichaka cha kuficha ukweli kwa sababu kama kweli wanataka kuunda chama kimoja wanaweza kuvunja vyama vingine na kujiunga na chama kimoja.
Hivi unaamini kuna viongozi kwenye kambi ya upinzani wenye uwezo wa kufanya maamuzi unayoyatamani.
Hapa na paleCHADEMA na Waha wapinawapi?!!!
Wellcome home Kafulila.
Ukabila uko wap hapo mkuuhuo ni ujinga,mnapandikiza ukabila
Kama wote wako ukawa na wanalengo moja anahama chama kwanini na anaingia ukawa hiyo hiyoSawa shida nin?
Wapi mada imesema Ukawa ni chama cha siasa?UKAWA ni chama cha siasa?? Ngoja niishie hapo kwa leo.
Kama huijui sayansi ya siasa bora unyamaze. Kumbuka (kama ulikuwa tayari mtu mzima) Mzee Wassira alipohamia NCCR na kuwa mbunge aliyokuwa anasema kuhusu ccm na serikali yake. Lakini Wassira huyohuyo alirudi ccm na kuwa Waziri mwandamizi na Mshauri wa Rais katika mahusiano nafasi ambayo wapo wengi ndani ya ccm pamoja na kuwa hawajawahi kusogeza hata mguu nje ya chama hawawezi kupewa.Je Kafulila aliyekabidhiwa kadi na Mbowe leo ni yule yule aliyemtuhumu Mbowe kuwa alimuua Wangwe au ni mwingine? Tena akapanga maandamano Dar wakati viongozi wa CHADEMA wakiwa Tarime kwa kampeni za uchaguzi mdogo wa Ubunge kufuatia kifo cha Wangwe. Na yote hayo lengo ni kuonyesha Mbowe hafai kuwa mwenyekiti na kuwa Zitto alitakiwa achukue uenyekiti. Kama ndio Kafulila huyo huyo basi wengine hatuiwezi siasa