Kafulila: Nimerejea CHADEMA rasmi leo

Kafulila: Nimerejea CHADEMA rasmi leo

Hapana mkuu naona ni bora ili tuwe na chama kimoja kikubwa kuliko utitiri wa vyama ikiwezekana hta kina mbowe waivunje chadema na mtatiro aivunje cuf waunde chama kimoja chenye nguvu maana Ukawa haupo kisheria na katiba mpya ambayo ingeweza kutambua coallition za kisiasa ndo imeota mbawa so naona ni kma transition ya kuelekea chama kimoja cha upinzani bara na zanzibar.
Mkuu;
Nimesema hii dhana ya kusema Katiba haituruhusu kuungana ni kichaka cha kuficha ukweli kwa sababu kama kweli wanataka kuunda chama kimoja wanaweza kuvunja vyama vingine na kujiunga na chama kimoja.

Hivi unaamini kuna viongozi kwenye kambi ya upinzani wenye uwezo wa kufanya maamuzi unayoyatamani.
 
Ni swali chokonozi juu ya mustakabali wa Ukawa na malengo yake.Inakuwaje member wa Nccr wanahamia Chadema?Ikiwa Ukawa wana nia na lengo moja iwenye chama kimoja ndani ya Ukawa kiendelee kuwanyonya wanachama wa vyama vingine ndani ya Umoja huu?
Haya ndio mawazo mfu na mgando ya misukule ya lumumba.

Ni wivu tu ndio unakusumbua na kukunyima usingizi. Na wewe hama tu acha masengenyo na fitina kwa ukawa.
 
Huyu huyu Kafulila alitoka Chadema akaenda Nccr na huko walipitaka kumfukuza na ilikuwa akose ubunge alilia kilio kama mtoto mdogo, sasa anarejea pale pale alipopakimbia kwanza akitadai chadema kuna ubaguzi. Jee leo huo ubaguzi umeisha?

Huyu bila ya msaada wa zitto hana kitu, hata huo ubunge aliupata kwa mgongo wa Zitto na linajulikana wazi, kwani hilo lilimletea zitto tatizo chadema na uhusiano wake na Dr Slaa ndipo ulipoanza kudondora, kwani mbunge wa chadema kwa msaada wa zitto angeweza chukua jimbo la kasulu.

Huyu hana shukrani na baada ya mwaka tutasikia huyo mbayuwayu tena kahamia mti mwengine
 
Ni swali chokonozi juu ya mustakabali wa Ukawa na malengo yake.Inakuwaje member wa Nccr wanahamia Chadema?Ikiwa Ukawa wana nia na lengo moja iwenye chama kimoja ndani ya Ukawa kiendelee kuwanyonya wanachama wa vyama vingine ndani ya Umoja huu?
MBAYUWAYU HATULII KWENYE MTII MMOJA
 
Ni swali chokonozi juu ya mustakabali wa Ukawa na malengo yake.Inakuwaje member wa Nccr wanahamia Chadema?Ikiwa Ukawa wana nia na lengo moja iwenye chama kimoja ndani ya Ukawa kiendelee kuwanyonya wanachama wa vyama vingine ndani ya Umoja huu?
POLITICAL PROSTITUTION IS ACCEPTED AND TOLERATED IN UKAWA.
 
Ninakupa kazi:Ukiwa mwanafalsafa mzuri,kama alivyo kijana mwenzako Mr. Polepole,kaeni meza moja,shaurini na kuunda "JUKWAA HURU LA VYAMA VYA SIASA". Jukwaa hilo pamoja na mambo mengine,liweke utaratibu wa namna nzuri ya uendeshaji wa siasa za vyama vingi hasa kabla na baada ya chaguzi kuu. Naamini uwezo huo unao.
 
Huyu huyu Kafulila alitoka Chadema akaenda Nccr na huko walipitaka kumfukuza na ilikuwa akose ubunge alilia kilio kama mtoto mdogo, sasa anarejea pale pale alipopakimbia kwanza akitadai chadema kuna ubaguzi. Jee leo huo ubaguzi umeisha?

Huyu bila ya msaada wa zitto hana kitu, hata huo ubunge aliupata kwa mgongo wa Zitto na linajulikana wazi, kwani hilo lilimletea zitto tatizo chadema na uhusiano wake na Dr Slaa ndipo ulipoanza kudondora, kwani mbunge wa chadema kwa msaada wa zitto angeweza chukua jimbo la kasulu.

Huyu hana shukrani na baada ya mwaka tutasikia huyo mbayuwayu tena kahamia mti mwengine
Historia inaonyesha, wanasiasa maarufu duniani walipitia vyama tofauti kabla ya kufanikiwa.
 
Karibu sana kamanda tuendeleze mapambano yakumuondoa ili likaburu ccm.
 
sasa hv kilichopo ni usanii usanii tu wa kusaka tonge kwa muono wangu kwa sasa hakuna chama cha siasa kwa ajili ya wananchi tunawasaka fursa wa ukawa/chadema na wezi wenzao wazoefu ccm

HERI WENYE MOYO SAFI
 
Siasa ni ajira kwenu hatutegemei wanasiasa muwakomboe wanyonge.

Hakuna tofauti ya wale wa CUF, CCM, CHADEMA au ACT wote lenu moja. " kutumia kodi za walalahoi kiurahisi kushibisha matumbo yenu".

Karbia sana kamanda watanzania wanakusubiri uwapiganie na kuwasemea dhidi ya utawala wa mkaburu mweusi(ccm).
 
ila usije ukawa kama machale,cjui kala maharage ya wap, Kafulila kaza msur h kombineshen ya lisu,lema,huku kafulila hakika majukwaa yatakoma next election when lowasa will the president elect! kuwen makin na magu 2 basi!
 
Siasa ni ajira kwenu hatutegemei wanasiasa muwakomboe wanyonge.

Hakuna tofauti ya wale wa CUF, CCM, CHADEMA au ACT wote lenu moja. " kutumia kodi za walalahoi kiurahisi kushibisha matumbo yenu".
Umekula maharage ya wapi na wewe.

Nyie ndio wale wale mnaotuletea mijitu kama hii inayovuruga nchi.

Siasa ni maisha na maisha ni siasa. Kila ukifanyacho ni lazima siasa iwepo. Siasa ni mipango,mbinu,hoja makini na zenye mantiki,sululisho,tafakuri yakinifu,taaluma,sera na mipango.

Bila siasa usingeleta kimbelembele cha kucomment hapa jukwaani.
 
UKAWA minus CUF (Lipumba) is equal to CHADEMA. Numbers (mathematics) don't lie.
Sasa na wewe umeandika nini.!!

Kumbe ata hesabu hujui ata za kutoa umeshindwa rudi shule ukasome.

Nyie ndio wale div.5 mnaokimbilia wasanii kwenye mikutano ya ccm badala ya sera.
 
Lakini ndugu yangu uache kidomodomo chako hao CHADEMA watakumwaga sasa hivi.

Namshukuru Mungu kwa siku ya leo kurejea CHADEMA rasmi. Kwa heshima kubwa Namshukuru Mungu kwa tukio la leo. Namshukuru sana Mwenyekiti Freeman Mbowe kwa heshima kwa kunikabidhi kadi mbele ya kikao muhimu cha Kamati Kuu leo jijini Mwanza. Ninaawaahidi wanachadema na wazalendo wote mnaopigania mabadiliko ya taifa hili kuwa nitatumia nguvu na akili yangu kuchangia mabadiliko tunayoamini! Ni wito wangu kwa wazalendo wote tuunganishe nguvu CHADEMA kuliokoa taifa letu linalopita nyakati ngumu kiuchumi na majaribu makubwa kiuongozi.
 
Back
Top Bottom